elimu ya uchumi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kutokuwa na elimu ya uchumi ndio kunafanya wengi waishi maisha ya kwangu kukavu tia mchuzi!

    Elimu ya uchumi nafikiri inatakiwa ianzie nyumbani, huko utaipata kwa vitendo na maneno, inaonyesha familia nyingi za uchumi wa kati na chini huwa haziwarithishi watoto elimu hiyo!, inaweza kuwa hawana ama ni kupuuzia mambo tu!. Mtu mpaka anakuja kufika miaka 30 hivi ndio anaanza kujua afanye...
  2. JamiiForums Tanzania Tengeneza kiinua mgongo chako Usije ukatoa laana kwa wanao

    Wapendwa katika Uchumi, Beberu J nimerudi tena, Salamu nimeacha mlangoni, ukizihitaji nenda kazifuate, Anyway, back to topic, leo naongea na wote mlio U40, mmejiandaaje na uzee? Umejiandaaje kuzeeka pindi ambapo mwili utakuwa hautaki tena kufanya kazi? Kipind ambacho trip za Hospital zitakuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…