Tengeneza kiinua mgongo chako Usije ukatoa laana kwa wanao

Beberu

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2017
Posts
4,720
Reaction score
10,282
Wapendwa katika Uchumi, Beberu J nimerudi tena, Salamu nimeacha mlangoni, ukizihitaji nenda kazifuate,

Anyway, back to topic, leo naongea na wote mlio U40, mmejiandaaje na uzee? Umejiandaaje kuzeeka pindi ambapo mwili utakuwa hautaki tena kufanya kazi? Kipind ambacho trip za Hospital zitakuwa kila wiki? Kipind ambacho chululu haisimami tena na maziwa yamelala kama ndala za lodge? 😂😂

Watu wengi tunasema nitafanya biashara nikistaaf, au wengine tunafungua maduka, ila kazi ya kusimamia maduka na biashara ni ngumu inayohitaji damu inayochemka,

Wengine wanasema watajenga nyumba ili wawe wanapangisha wale kodi uzeeni mwao mwote, Hawa ndo huwa wazee jau, kodi kabla ya week mbili anakupigia simu kila siku 😂😂😂😂
Ila changamoto nyingine nyumba inahitaji hela nyingi ya pamoja, eg Kununua kiwanja unahitaji at least 5M ya pamoja ambayo wengi hawana, changamoto za wapangaji pia zinaweza kukuliza sana, hivyo bas, mm Beberu wenu na mshauri wa masuala ya uchumi nikaingia chimbo na kuja na ushauri wa nn cha kufanya ili usiteseke uzeeni kwako, nacho ni simple tu,

WEKEZA UTT NA KWENYE MASOKO YA HISA,

kwa Tz niwe muwazi, kuwekeza UTT ni salama na uhakika zaidi ya kuwekeza kwenye soko la hisa kama vodacom kwa sababu ya uelewa mdogo wa wengi wetu juu ya soko la hisa na ufanyaji wake kazi,
So nitaeleza plan nzuri zaidi upande wa UTT,

Fungua acc ya UTT katika scheme ya Bond Fund, kwa mwaka wanatoa return ya hadi 14% (0.9% monthly na kama 3% thamani ya vipande kwa mwaka inaongezeka), kisha anza kuweka pesa kidogo kidogo toka ukiwa mdogo, mfano,

#1.Ukiamua kuweka 30,000 kila mwezi, toka ukiwa na miaka 25, hivyo baada ya miaka 35 utapofikisha miaka 60 ya kustaafu utakuwa na kiasi cha Tzs 343M + huku wewe ukiwa umechangia jumla ya 12M pekee nyingine zikiwa ni maajabu ya "compound Interest ya UTT"
1750494638904.jpeg

Kama una miaka 35 tunashauri uanze kuweka japo 50,000 ili baada ya miaka 25 utakuwa na 137M, Huku wewe ukiwa umechangia 15M pekee

1750494669959.jpeg

Kama una miaka 40 nashauri uanze kuweka japo 100,000 kila mwezi ili baada ya miaka 20 uwe na Tzs132M+ huku ukiwa umechangia 24M pekee

1750494704711.jpeg

Kwenye hizo screenshot mtaona hapo kuna Buying power ya hizo hela wakati huo ukifika, mfano kwa mtu wa miaka 40, inaonesha atapata 132M ila buying power yake itakuwa sawa na 73M ya leo, (ambayo sio ndogo),
Baada ya kufika miaka 60, unaweza acha kuchangia na kuanza kuvuna ile 0.9% inayotolewa na UTT kila mwezi kwa ajiili ya matumizi yako, hivyo kwa mtu mwenye miaka 40, atakuwa na 132M bank, atakuwa anapewa Tzs 1.2M kila mwezi, ambayo ukiweka buying power yake itakuwa sawa na kama 700,000/- hiv ya leo kila mwezi, hii pesa kwa matumizi ya kawaida ya mzee inatosha kabisa, labda uwe mzee kiborodinda,

Faida nyingine ni kuwa kutoa hizo hela kila mwez hazitaathiri maendeleo yako au plan zako nyingine, eg, kijana kila mwezi kutoa 30,000 hakutafanya ufe njaa, au ushindwe kujenga, au hata ushindwe kununua gari, maisha yako mengine yataendelea kwenda kama kawaida, hivyo maumivu ya kuikusanya hela hio yatakuwa madogo, ila faida yake inakuwa kubwa sana

Faida nyingine ni kuwa na fedha za emergency, ukiwa na nyumba uzeen ni idea nzuri, na nashauri kama unaweza jenga ndio apartments kibao upangishe utakula hela uzeeni, ila ukipata shida ya ghafla ya operation na inatakiwa 5M, huwez ipata kwa kuuza nyumba, bank hawatakukopesha kwa sababu huna vyanzo vya mapato, na hapo ndio utaona Nyumba ya 70M inauzwa 30M ili usolve shida, (ni huzuni sana, ila ukiwa na pesa zako UTT ni rahisi kuzitoa 5M na kuendelea na maisha as usual.

Nb,
#1. sijasema uwekezaji mwingine kwa ajiili ya uzee ni mbaya, uwekezaji wote ni mzuri, ila mm nimeongeza tu mbinu nyingine ili tukifika uzeen tuwe na vyanzo vingi vya mapato, tusitegemee watoto wetu au wapangaji wetu tu, kuwa na vyanzo vingi vya mapato hupelekea financial freedom nzuri sana,

#2.Hii ni nzuri sana kwa wale waliojiajiri, mana nchi hii imetusahau kabisa kwenye mipango ya kiinua mgongo, so tunajitengenezea wenyewe, wakati mwalimu anapostaafu anapokea zake 80M na wew boda pokea zako 340M

Mpaka wakati mwingine
Wenu mtiifu katika ujenzi wa taifa
Beberu J
Dar Es Salaam
 
Sawa Beberu, lakini si kila mtu ana uhakika wa kuishi miaka 60 au kupata hiyo 14% kila mwaka, life is unpredictable. Plus, inflation inaweza kula hiyo return kimya kimya. Sometimes investing in skills, businesses, or even land gives more flexibility and control than UTT tu.
 
Ni kweli, ila tambua unaweza fika miaka 80 pia, so ni vema kujiandaa, usipofika watakula hata watoto wako,
Au mke wako anaweza zitumia kuendeleza familia,

Halafu kila anaeweka hela atapata 14% return, labda useme vijana hawa hawa wenye miaka 25 na kuendelea wanaohonga sana wanashindwa hifadhi buku kila siku

Kuhusu inflation nadhani nimeizungumzia kwenye mada
 
Uzi huu n bora na WA kuthaminiwa sana.

Maisha ya uzeen yanataka maandalizi

Vingnevyo utakua n uzeen wa fedheha sana,uzee wa kuomba omba.

Tatizo wabongo wakifkiria uwekezaje wa miaka 20 mbele anawaza kufariki tu 😅😅

Anaona bora aztumbue leo leo,lkn hatujui kama ww ndio Mungu atakupa miaka 80.
 
Yanahitaji maandalizi ya mapema sanaaaaa
 
Wapendwa katika Uchumi, Beberu J nimerudi tena, Salamu nimeacha mlangoni, ukizihitaji nenda kazifuate,

Anyway, back to topic, leo naongea na wote mlio U40, mmejiandaaje na uzee? Umejiandaaje kuzeeka pindi ambapo mwili utakuwa hautaki tena kufanya kazi? Kipind ambacho trip za Hospital zitakuwa kila wiki? Kipind ambacho chululu haisimami tena na maziwa yamelala kama ndala za lodge? [emoji23][emoji23]

Watu wengi tunasema nitafanya biashara nikistaaf, au wengine tunafungua maduka, ila kazi ya kusimamia maduka na biashara ni ngumu inayohitaji damu inayochemka,

Wengine wanasema watajenga nyumba ili wawe wanapangisha wale kodi uzeeni mwao mwote, Hawa ndo huwa wazee jau, kodi kabla ya week mbili anakupigia simu kila siku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila changamoto nyingine nyumba inahitaji hela nyingi ya pamoja, eg Kununua kiwanja unahitaji at least 5M ya pamoja ambayo wengi hawana, changamoto za wapangaji pia zinaweza kukuliza sana, hivyo bas, mm Beberu wenu na mshauri wa masuala ya uchumi nikaingia chimbo na kuja na ushauri wa nn cha kufanya ili usiteseke uzeeni kwako, nacho ni simple tu,

WEKEZA UTT NA KWENYE MASOKO YA HISA,

kwa Tz niwe muwazi, kuwekeza UTT ni salama na uhakika zaidi ya kuwekeza kwenye soko la hisa kama vodacom kwa sababu ya uelewa mdogo wa wengi wetu juu ya soko la hisa na ufanyaji wake kazi,
So nitaeleza plan nzuri zaidi upande wa UTT,

Fungua acc ya UTT katika scheme ya Bond Fund, kwa mwaka wanatoa return ya hadi 14% (0.9% monthly na kama 3% thamani ya vipande kwa mwaka inaongezeka), kisha anza kuweka pesa kidogo kidogo toka ukiwa mdogo, mfano,

#1.Ukiamua kuweka 30,000 kila mwezi, toka ukiwa na miaka 25, hivyo baada ya miaka 35 utapofikisha miaka 60 ya kustaafu utakuwa na kiasi cha Tzs 343M + huku wewe ukiwa umechangia jumla ya 12M pekee nyingine zikiwa ni maajabu ya "compound Interest ya UTT"
View attachment 3377568

Kama una miaka 35 tunashauri uanze kuweka japo 50,000 ili baada ya miaka 25 utakuwa na 137M, Huku wewe ukiwa umechangia 15M pekee

View attachment 3377569

Kama una miaka 40 nashauri uanze kuweka japo 100,000 kila mwezi ili baada ya miaka 20 uwe na Tzs132M+ huku ukiwa umechangia 24M pekee

View attachment 3377571

Kwenye hizo screenshot mtaona hapo kuna Buying power ya hizo hela wakati huo ukifika, mfano kwa mtu wa miaka 40, inaonesha atapata 132M ila buying power yake itakuwa sawa na 73M ya leo, (ambayo sio ndogo),
Baada ya kufika miaka 60, unaweza acha kuchangia na kuanza kuvuna ile 0.9% inayotolewa na UTT kila mwezi kwa ajiili ya matumizi yako, hivyo kwa mtu mwenye miaka 40, atakuwa na 132M bank, atakuwa anapewa Tzs 1.2M kila mwezi, ambayo ukiweka buying power yake itakuwa sawa na kama 700,000/- hiv ya leo kila mwezi, hii pesa kwa matumizi ya kawaida ya mzee inatosha kabisa, labda uwe mzee kiborodinda,

Faida nyingine ni kuwa kutoa hizo hela kila mwez hazitaathiri maendeleo yako au plan zako nyingine, eg, kijana kila mwezi kutoa 30,000 hakutafanya ufe njaa, au ushindwe kujenga, au hata ushindwe kununua gari, maisha yako mengine yataendelea kwenda kama kawaida, hivyo maumivu ya kuikusanya hela hio yatakuwa madogo, ila faida yake inakuwa kubwa sana

Faida nyingine ni kuwa na fedha za emergency, ukiwa na nyumba uzeen ni idea nzuri, na nashauri kama unaweza jenga ndio apartments kibao upangishe utakula hela uzeeni, ila ukipata shida ya ghafla ya operation na inatakiwa 5M, huwez ipata kwa kuuza nyumba, bank hawatakukopesha kwa sababu huna vyanzo vya mapato, na hapo ndio utaona Nyumba ya 70M inauzwa 30M ili usolve shida, (ni huzuni sana, ila ukiwa na pesa zako UTT ni rahisi kuzitoa 5M na kuendelea na maisha as usual.

Nb,
#1. sijasema uwekezaji mwingine kwa ajiili ya uzee ni mbaya, uwekezaji wote ni mzuri, ila mm nimeongeza tu mbinu nyingine ili tukifika uzeen tuwe na vyanzo vingi vya mapato, tusitegemee watoto wetu au wapangaji wetu tu, kuwa na vyanzo vingi vya mapato hupelekea financial freedom nzuri sana,

#2.Hii ni nzuri sana kwa wale waliojiajiri, mana nchi hii imetusahau kabisa kwenye mipango ya kiinua mgongo, so tunajitengenezea wenyewe, wakati mwalimu anapostaafu anapokea zake 80M na wew boda pokea zako 340M

Mpaka wakati mwingine
Wenu mtiifu katika ujenzi wa taifa
Beberu J
Dar Es Salaam
Kinachotushinda wabongo wengi ni maamuzi tu, kwa mfano mimi nikisoma mada kama hizi pointi naiona wazi kabisa lakini shida inakuja kunyanyuka na kwenda kufungua hiyo akaunti ya UTT. Sijui nimelogwa???

Kwa mahesabu hayo mtu unaweza ukaamua kujirudisha nyuma ukawa na miaka 25 kwa kuanza na initial deposit kubwa. Kwa mfano, unapeleka zako kuanza na 3Mil. halafu unaendelea na 50 kila mwezi kinachosemwa hapa halafu kikawekewa mapuuza bila kuwa na plan B, tutakuja kukikumbuka wakati huo tukiwa "majutoni" yaani ikiwa imeshakuwa too late!

Maandika yanasema "ole wao wale wanayoijua kweli halafu wakatenda dhambi, adhabu yao itakuwa kali"

Hivyo hivyo hata katika mambo kama haya. Yaani tunasoma mada kama hizi halafu hatuna mipango yoyote na bado tunaipuuza! Mungu akitubariki umri mrefu tutajuta[emoji3]
 
Fungua acc ya UTT katika scheme ya Bond Fund, kwa mwaka wanatoa return ya hadi 14% (0.9% monthly na kama 3% thamani ya vipande kwa mwaka inaongezeka), kisha anza kuweka pesa kidogo kidogo toka ukiwa mdogo, mfano,

#1.Ukiamua kuweka 30,000 kila mwezi, toka ukiwa na miaka 25, hivyo baada ya miaka 35 utapofikisha miaka 60 ya kustaafu utakuwa na kiasi cha Tzs 343M + huku wewe ukiwa umechangia jumla ya 12M pekee nyingine zikiwa ni maajabu ya "compound Interest ya UTT"
Hiyo utt ni mali ya nani?
Tumezoea kutiwa moyo mwanzoni baadaye zinaanza danadana
 
Kinachotushinda wabongo wengi ni maamuzi tu, kwa mfano mimi nikisoma mada kama hizi pointi naiona wazi kabisa lakini shida inakuja kunyanyuka na kwenda kufungua hiyo akaunti ya UTT. Sijui nimelogwa???

Kwa mahesabu hayo mtu unaweza ukaamua kujirudisha nyuma ukawa na miaka 25 kwa kuanza na initial deposit kubwa. Kwa mfano, unapeleka zako kuanza na 3Mil. halafu unaendelea na 50 kila mwezi kinachosemwa hapa halafu kikawekewa mapuuza bila kuwa na plan B, tutakuja kukikumbuka wakati huo tukiwa "majutoni" yaani ikiwa imeshakuwa too late!

Maandika yanasema "ole wao wale wanayoijua kweli halafu wakatenda dhambi, adhabu yao itakuwa kali"

Hivyo hivyo hata katika mambo kama haya. Yaani tunasoma mada kama hizi halafu hatuna mipango yoyote na bado tunaipuuza! Mungu akitubariki umri mrefu tutajuta[emoji3]
Hapo kwenye huo mstari wa maandiko usidhani ni nje ya hapa inaongelewa, hiyo inaongelea hapahapa duniani mambo unayoyafanya😁😁
 
Kinachotushinda wabongo wengi ni maamuzi tu, kwa mfano mimi nikisoma mada kama hizi pointi naiona wazi kabisa lakini shida inakuja kunyanyuka na kwenda kufungua hiyo akaunti ya UTT. Sijui nimelogwa???

Kwa mahesabu hayo mtu unaweza ukaamua kujirudisha nyuma ukawa na miaka 25 kwa kuanza na initial deposit kubwa. Kwa mfano, unapeleka zako kuanza na 3Mil. halafu unaendelea na 50 kila mwezi kinachosemwa hapa halafu kikawekewa mapuuza bila kuwa na plan B, tutakuja kukikumbuka wakati huo tukiwa "majutoni" yaani ikiwa imeshakuwa too late!

Maandika yanasema "ole wao wale wanayoijua kweli halafu wakatenda dhambi, adhabu yao itakuwa kali"

Hivyo hivyo hata katika mambo kama haya. Yaani tunasoma mada kama hizi halafu hatuna mipango yoyote na bado tunaipuuza! Mungu akitubariki umri mrefu tutajuta[emoji3]
Mwaka wa pili huu tupo live.
 
H

Hio kujirudisha nyuma nzuri sana,
Una deposit 10M kisha unaendelea kidogo kidogo
 
Back
Top Bottom