Tengeneza kiinua mgongo chako Usije ukatoa laana kwa wanao

Ardhi haiwez kukusave ukipata shida ya 3M chap bila kuiuza yote hata kama ina thamani ya 30M,

Kingine huwez nunua ardhi kwa kuwekeza 30k kila mwezi
Kaka mimi naomba utumie muda wako utuelekeze namna ya kufungua akaunt UTT ya style hiyo. Hii dunia imevaa chupi. Mimi nimeanza kujitegemea miaka mingi tangu nikiwa mwanafunzi nasoma chuo. Kwa kifupi saa hizi ningekuwa nna hata milioni 100 huko UTT.
Anyway, it's not over until it's over. Natupia 5m kisha naweka mdogo mdogo kila mwezi.
Kwenye ukoo wetu tuna historia ya kuishi sana. Fainali uzeeni.
 
Na Je, mtu anaruhusiwa kuweka kiasi anachotaka ila isiwe below the agreed amount. Mfano umeweka mkataba wa 50,000 kila mwezi ila ukaamua kuwa unaweka zaidi ya 50, vipi inaruhusiwa?
 
Mfano account ya liquid....unavoanza lazima uweke 100,000.....kianzio

But unavoendela ni kuanzia 10,000 - kuendelea with no limit

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Na Je, mtu anaruhusiwa kuweka kiasi anachotaka ila isiwe below the agreed amount. Mfano umeweka mkataba wa 50,000 kila mwezi ila ukaamua kuwa unaweka zaidi ya 50, vipi inaruhusiwa?
Kiwango ni chochote boss kuanzia 8500,
Hakuna ukomo wa uwekezaji, weka hata B kila mwezi ni wew tu
 
Kaka mimi naomba utumie muda wako utuelekeze namna ya kufungua akaunt UTT ya style hiyo. Hii dunia imevaa chupi. Mimi nimeanza kujitegemea miaka mingi tangu nikiwa mwanafunzi nasoma chuo. Kwa kifupi saa hizi ningekuwa nna hata milioni 100 huko UTT.
Anyway, it's not over until it's over. Natupia 5m kisha naweka mdogo mdogo kila mwezi.
Kwenye ukoo wetu tuna historia ya kuishi sana. Fainali uzeeni.
Fanya hiv, nenda Tawi lolote la CRDB karibu yako, watakupa full info, na watakusaidia kuwekeza pia,
Btw, hongeren wew na ukoo wako kwa kuishi miaka mingi, ni muhimu kujiwekea uzeeni
 
Utt amis iko vizur sana kuishinda bond za bot kwenye ishu ya kukuza mtaji kwa sababu ya compound interest ukichukua million 5 after 20 years bot utakuwa na 14,238,406.13 kwa gawio ya 15.25% kwa sasa wanayotoa , hiyo hiyo million 5 kwa single sum investments mfuko wa utt amis after 20 years utapata 28,637,499.75 kwa gawio la 10%
 
Mfuko wa ukwasi faida inaingia kila siku afu hiyo faida inakuwa sehemu ya mtaji.
 
Back
Top Bottom