AlexProsper
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 3,416
- 6,290
Million 176+ kwenda mbele hukoMiaka 25
Million 176+ kwenda mbele hukoMiaka 25
ndiyondiyoMillion 176+ kwenda mbele huko
Miaka 25 ila naruhusiwa kuitoa muda wowote
au nikawa nakula 1.7m kwa mweziMillion 176+ kwenda mbele huko
ukweli kabisaPensheni nzuri sana hiyo
Kwa maisha yetu iyo inatosha kabisa kwa mweziau nikawa nakula 1.7m kwa mwezi
inatosha mno, huku 176m iko palepaleKwa maisha yetu iyo inatosha kabisa kwa mwezi
Mimi naanza kuweka 150k per month kwa 20 yearsinatosha mno, huku 176m iko palepale
Kweli kabisainatosha mno, huku 176m iko palepale
utakuwa umeupiga mwingi mnoMimi naanza kuweka 150k per month kwa 20 years
utakuwa umeupiga mwingi mno
Hapa unavuna ngapi at the 20th year?Mimi naanza kuweka 150k per month kwa 20 years
pwenti?😀😁😂🙌Pwenti ya msingi sana hii
112,388,304.81 kwa ya 12%Hapa unavuna ngapi at the 20th year?
Imekaa miaka mingapi?Mie niliweka 11M mara moja tu mfuko wa ukwasi, hivi sasa imefika 16m+
Ni sawa na kuweka milioni 1 na laki 8 mpaka milioni 2. Kila mwakaMimi naanza kuweka 150k per month kwa 20 years
Kweli kabisa kwa 20 years ni 36,000,000/= faida 76,388,304.81 kwa 12% apo inaweza shuka au kupanda kwa 12% estimated profits not actually profitNi sawa na kuweka milioni 1 na laki 8 mpaka milioni 2. Kila mwaka