Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 23,040
- 33,028
Somo zuri Land vs UTT.Sawa Beberu, lakini si kila mtu ana uhakika wa kuishi miaka 60 au kupata hiyo 14% kila mwaka, life is unpredictable. Plus, inflation inaweza kula hiyo return kimya kimya. Sometimes investing in skills, businesses, or even land gives more flexibility and control than UTT tu.
Mkuu hii bond fund unajipangia miaka ya kuwekeza .mfano miaka 10...au mpaka ufike miaka retirement age 60Ardhi haiwez kukusave ukipata shida ya 3M chap bila kuiuza yote hata kama ina thamani ya 30M,
Kingine huwez nunua ardhi kwa kuwekeza 30k kila mwezi
Ishu ya kufikisha 60 isikuumize kichwa mzee, warithi si wapo. Ni bora ukifika huo umri uwe nazo kuliko kufika uanze kusumbuana na watoto na hii hali nut zinazidi kubana kila kukicha....Sawa Beberu, lakini si kila mtu ana uhakika wa kuishi miaka 60 au kupata hiyo 14% kila mwaka, life is unpredictable. Plus, inflation inaweza kula hiyo return kimya kimya. Sometimes investing in skills, businesses, or even land gives more flexibility and control than UTT tu.
Hapana mkuu,Mkuu hii bond fund unajipangia miaka ya kuwekeza .mfano miaka 10...au mpaka ufike miaka retirement age 60
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Nmeenda juz office zao .....nikapewa maelekezo mzur sana nikatupia la laki kangu.....Leo mkeka umesoma na kakiasi kimeongezeka [emoji91][emoji91] inshallah...mdogo mdg tutafikaHapana mkuu,
Muda wa kuwekeza unajipangia mwenyewe, yan unapotaka kuitoa unaitoa tu yote
Kwa miaka 10 inakuwaje?Wapendwa katika Uchumi, Beberu J nimerudi tena, Salamu nimeacha mlangoni, ukizihitaji nenda kazifuate,
Anyway, back to topic, leo naongea na wote mlio U40, mmejiandaaje na uzee? Umejiandaaje kuzeeka pindi ambapo mwili utakuwa hautaki tena kufanya kazi? Kipind ambacho trip za Hospital zitakuwa kila wiki? Kipind ambacho chululu haisimami tena na maziwa yamelala kama ndala za lodge? 😂😂
Watu wengi tunasema nitafanya biashara nikistaaf, au wengine tunafungua maduka, ila kazi ya kusimamia maduka na biashara ni ngumu inayohitaji damu inayochemka,
Wengine wanasema watajenga nyumba ili wawe wanapangisha wale kodi uzeeni mwao mwote, Hawa ndo huwa wazee jau, kodi kabla ya week mbili anakupigia simu kila siku 😂😂😂😂
Ila changamoto nyingine nyumba inahitaji hela nyingi ya pamoja, eg Kununua kiwanja unahitaji at least 5M ya pamoja ambayo wengi hawana, changamoto za wapangaji pia zinaweza kukuliza sana, hivyo bas, mm Beberu wenu na mshauri wa masuala ya uchumi nikaingia chimbo na kuja na ushauri wa nn cha kufanya ili usiteseke uzeeni kwako, nacho ni simple tu,
WEKEZA UTT NA KWENYE MASOKO YA HISA,
kwa Tz niwe muwazi, kuwekeza UTT ni salama na uhakika zaidi ya kuwekeza kwenye soko la hisa kama vodacom kwa sababu ya uelewa mdogo wa wengi wetu juu ya soko la hisa na ufanyaji wake kazi,
So nitaeleza plan nzuri zaidi upande wa UTT,
Fungua acc ya UTT katika scheme ya Bond Fund, kwa mwaka wanatoa return ya hadi 14% (0.9% monthly na kama 3% thamani ya vipande kwa mwaka inaongezeka), kisha anza kuweka pesa kidogo kidogo toka ukiwa mdogo, mfano,
#1.Ukiamua kuweka 30,000 kila mwezi, toka ukiwa na miaka 25, hivyo baada ya miaka 35 utapofikisha miaka 60 ya kustaafu utakuwa na kiasi cha Tzs 343M + huku wewe ukiwa umechangia jumla ya 12M pekee nyingine zikiwa ni maajabu ya "compound Interest ya UTT"
View attachment 3377568
Kama una miaka 35 tunashauri uanze kuweka japo 50,000 ili baada ya miaka 25 utakuwa na 137M, Huku wewe ukiwa umechangia 15M pekee
View attachment 3377569
Kama una miaka 40 nashauri uanze kuweka japo 100,000 kila mwezi ili baada ya miaka 20 uwe na Tzs132M+ huku ukiwa umechangia 24M pekee
View attachment 3377571
Kwenye hizo screenshot mtaona hapo kuna Buying power ya hizo hela wakati huo ukifika, mfano kwa mtu wa miaka 40, inaonesha atapata 132M ila buying power yake itakuwa sawa na 73M ya leo, (ambayo sio ndogo),
Baada ya kufika miaka 60, unaweza acha kuchangia na kuanza kuvuna ile 0.9% inayotolewa na UTT kila mwezi kwa ajiili ya matumizi yako, hivyo kwa mtu mwenye miaka 40, atakuwa na 132M bank, atakuwa anapewa Tzs 1.2M kila mwezi, ambayo ukiweka buying power yake itakuwa sawa na kama 700,000/- hiv ya leo kila mwezi, hii pesa kwa matumizi ya kawaida ya mzee inatosha kabisa, labda uwe mzee kiborodinda,
Faida nyingine ni kuwa kutoa hizo hela kila mwez hazitaathiri maendeleo yako au plan zako nyingine, eg, kijana kila mwezi kutoa 30,000 hakutafanya ufe njaa, au ushindwe kujenga, au hata ushindwe kununua gari, maisha yako mengine yataendelea kwenda kama kawaida, hivyo maumivu ya kuikusanya hela hio yatakuwa madogo, ila faida yake inakuwa kubwa sana
Faida nyingine ni kuwa na fedha za emergency, ukiwa na nyumba uzeen ni idea nzuri, na nashauri kama unaweza jenga ndio apartments kibao upangishe utakula hela uzeeni, ila ukipata shida ya ghafla ya operation na inatakiwa 5M, huwez ipata kwa kuuza nyumba, bank hawatakukopesha kwa sababu huna vyanzo vya mapato, na hapo ndio utaona Nyumba ya 70M inauzwa 30M ili usolve shida, (ni huzuni sana, ila ukiwa na pesa zako UTT ni rahisi kuzitoa 5M na kuendelea na maisha as usual.
Nb,
#1. sijasema uwekezaji mwingine kwa ajiili ya uzee ni mbaya, uwekezaji wote ni mzuri, ila mm nimeongeza tu mbinu nyingine ili tukifika uzeen tuwe na vyanzo vingi vya mapato, tusitegemee watoto wetu au wapangaji wetu tu, kuwa na vyanzo vingi vya mapato hupelekea financial freedom nzuri sana,
#2.Hii ni nzuri sana kwa wale waliojiajiri, mana nchi hii imetusahau kabisa kwenye mipango ya kiinua mgongo, so tunajitengenezea wenyewe, wakati mwalimu anapostaafu anapokea zake 80M na wew boda pokea zako 340M
Mpaka wakati mwingine
Wenu mtiifu katika ujenzi wa taifa
Beberu J
Dar Es Salaam
Huu uzi ntauprint nikawape vijana wanguWapendwa katika Uchumi, Beberu J nimerudi tena, Salamu nimeacha mlangoni, ukizihitaji nenda kazifuate,

Uzi mubashara ila ungetumia kikokotoo cha UTT ingekuw poa nao pia wana vikokotoo vyao vinaonyesha mapato kwa kila aina uwekezaji kuanzia wa kila mwez na ule wa mara moja.. so unaweza ukajipigia hesabu kuona kama Utaweka 30k kwa miaka 20 au ukaiweka 10m na kuisusa kwa miaka 10 utapata sh ngapiWapendwa katika Uchumi, Beberu J nimerudi tena, Salamu nimeacha mlangoni, ukizihitaji nenda kazifuate,

Ni kweli, nimeenda kwenye calculator yao nayo inaleta hesabu hiz hizi tu hazitofautianUzi mubashara ila ungetumia kikokotoo cha UTT ingekuw poa nao pia wana vikokotoo vyao vinaonyesha mapato kwa kila aina uwekezaji kuanzia wa kila mwez na ule wa mara moja.. so unaweza ukajipigia hesabu kuona kama Utaweka 30k kwa miaka 20 au ukaiweka 10m na kuisusa kwa miaka 10 utapata sh ngapi
Ukiwekeza initial capital 50,000/= na monthly 50,000/= kwa miaka 10 inakuwaje?Ni kweli, nimeenda kwenye calculator yao nayo inaleta hesabu hiz hizi tu hazitofautian
Angalia no 10Ukiwekeza initial capital 50,000/= na monthly 50,000/= kwa miaka 10 inakuwaje?
Yaaah mkuu....Kuna muda inabidi uweke mzigo heavyweight......kama IKIPATA pesa isiyo na kaziUtajiri at least unaanza kuonekana ukianza na miaka 20+ ,
Kwa miaka 10 lazima uanze na initial capital kubwa ndio utaona pesa ya maana ila sio hizi za kuweka 50,000 kila mwezi