Tengeneza kiinua mgongo chako Usije ukatoa laana kwa wanao

Utt amis ni nzuri kwa ajiri ya kujitengenezea kiinua mgongo chako ni nzuri kwa mfanya biashara, mjasiliamali, na mwajiriwa wa serikali na private ,Kuna kipindi utachoka tu. Utt amis ni best option
Hii kuweka kila mwezi utekelezaji wake mgumu labda utie mzigo baada ya muda fulani unapoona umeupata,let say lak2 au 4 n.k unatupia
Kwa anayedunduliza kupeleka monthly ni ishu,labda uwe una mshahara ambao upo fixed kila mwezi
 
Na kwa maoni ya wadau nilichojifunza hii mifuko miwili ni mizuri Liquid (ulwasi) fund,na bond fund

Kama uko vizuri unakuwa akaunt mifuko yote miwili,huku unatupia kote

Bond fund unaiacha mpaka umri wa kustaafu miaka 60 na liquid fund unaamua kukuzia mtaji tu na kuitoa anytime
 
Ata 50k tu inatosha
 
Iko poa Ata hiyo
 
Mfuko mwingine bora huu wa wote ni faida fund 10000 na 5000 kuongeza unakua sana kipande sahivi ni 133.1195 kutoka 100 mwaka 2023
 
NIKIWEKA UTT 20MIL (compound interest).....AFTER 3 YRS NTAPATA NGAPI ?
 
Itakua ni 28M na kitu

Angalia hapo mwisho kwenye expected amount
Screenshot_20250821-163953.jpg

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Sawa Beberu, lakini si kila mtu ana uhakika wa kuishi miaka 60 au kupata hiyo 14% kila mwaka, life is unpredictable. Plus, inflation inaweza kula hiyo return kimya kimya. Sometimes investing in skills, businesses, or even land gives more flexibility and control than UTT tu.
Utt sio lazima ifike miaka 60 unaweza weka hela uku inakua ili kupata ela ya uwekezaji mwingine rather than kukaa bank bila riba yoyote.
Mfano ukiwa wa 10m utt u can get 100k monthly while bank ukipewa sana ni 13%
 
MASWALI
1. Kwanini UTT wakati kuna Mutual fund 6 ndani ya Bongo?

2. Nani kakwambia kila mwaka interest ni 14% wakati sio fixed interest??

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Nimefanya Average tu br, haina shida hata ikiwa hio 12 au 13,

Lakin pia kama nilivyosema, kuna option nyingi sana za uwekezaji wa kiinua mgongo, hizo ni chache tu
 
Utt sio lazima ifike miaka 60 unaweza weka hela uku inakua ili kupata ela ya uwekezaji mwingine rather than kukaa bank bila riba yoyote.
Mfano ukiwa wa 10m utt u can get 100k monthly while bank ukipewa sana ni 13%
Ndio, Muda wowote ukipata majanga unasepa na chako bila kelele na mtu
 
Na kwa maoni ya wadau nilichojifunza hii mifuko miwili ni mizuri Liquid (ulwasi) fund,na bond fund

Kama uko vizuri unakuwa akaunt mifuko yote miwili,huku unatupia kote

Bond fund unaiacha mpaka umri wa kustaafu miaka 60 na liquid fund unaamua kukuzia mtaji tu na kuitoa anytime
Interest rate zao zinakaribiana so haina tofauti sana, wew chagua mmoja ishi nao tu
 
Hii kuweka kila mwezi utekelezaji wake mgumu labda utie mzigo baada ya muda fulani unapoona umeupata,let say lak2 au 4 n.k unatupia
Kwa anayedunduliza kupeleka monthly ni ishu,labda uwe una mshahara ambao upo fixed kila mwezi
Nidhamu tu inahitajika,
Unajiwekea laki au kama una kipato cha 30k kwa mwez unaweka tu an
 
Back
Top Bottom