Habari wandugu,
Je kwa level gani ya Elimu ya Automobile Engineering (namaanisha Certificate, Diploma au ni lazima iwe Bachelor Degree) mtu anaweza kufanya yafuatayo:-
Kufanya Diagnosis, Ku-interpret na ku-analyse data
Engine swapping
ECU Remapping
Electrical system maintainance
Mechanical...
Sisi watu tuna akili ndogo.
Kwa nini hawa wakoloni hawakulazimisha elimu kwa jamii yetu lakini wakalazimisha dini? Kwa malengo gani hasa tuzidi kuwa wapumbavu?
Mwafrika mweusi mwenzangu namuona takataka kwa sababu hayupo upande wangu wa kiimani hawa wakoloni walitutaka nini hasa sisi waafrika...
Moja kwa moja niende kwenye mada.Nakumbuka siku za nyuma waziri wa elimu alishawahi kupiga marufuku wakati wa likizo watoto wetu kuendelea kusoma kwa kisingizio cha madarasa ya mitihani waendelee kusoma kujiandaa na mitihani.
Waziri rudi tena kupiga marufuku kwa watoto wetu wanakosa muda wa...
Sina sababu ya kueleza mengi sna kuhusu Elimu na investment kwa kuwa kila mahali yanazungumzwa na kurudiwa rudiwa. Lakini watu wote wanasahau element muhimu sana ya network.
Network ni namna ambavyo unajijenga ndani ya kundi muhimu la marafiki, washirika, alumnus mbalimbali na ata wale wa...
Nchi zinazoongoza kwa kuamini ushirikina (uchawi) barani Afrika.
1. Cameroon
2. Tanzania.
DINI NI SABABU YA WATANZANIA KUAMINI SANA UCHAWI NA USHIRIKINA
Ukiamini dini za ukristo na uislamu ni lazima pia uamini na ushirikina maana imani hizo zinategemana.
Quran imeongelea ushirikina na ina...
Na sio hii kitu elimu ya dini, yaaaani serikali inafikia hatua kutilia mkazo tahahusi yza kidini wakati masuala ya umuhimu kama hapo juuu mtuu unakutana nayo secondary taifa tungekuwa mbali.
Nawasilisha.
Habari za jioni from Moshi town
Kuna vituko huko mikoani.
Kuna wakuu wa wilaya na Mikoa hawajulikani Wana sifa zipi na elimu zao, kulingana na ujuzi wao kupewa nafasi hizo muhimu.
Ninashauri Katiba mpya kuwepo kifungu cha Sheria kinachoonesha uwezo, sifa na elimu za wakuu wa wilaya na Mikoa.
Niwatakie mchana mwema.
Mwanzilishi wa maktaba ya kijamii wilayani Mwanga, Jennifer Dickson akifurahia tuzo ya Malkia wa Nguvu ajaye katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
------
Nyota ya Mwanafunzi wa Kike wa kitanzania Jennifer Dickson na mwanzilishi wa maktaba ya kijamii wilayani Mwanga anayesoma elimu ya...
Mimi si mtumishi wala kufanyakazi yoyote katika sekta ya elimu. Mimi ni mdau na mzazi.
Mh waziri. Kila mtu atasema anavyotaka kwa kuwa nchi yetu ina uhuru wa kujielezea ili mradi hakuna sheria inayokiukwa.
Mh. Katika sekta hii ya elimu siasa inatumika na haiepukiki. Lakini ni lazima tujiminye...
"Uko duniani asilimia kubwa ya wanavyuo wana part-time jobs inayowafanya kuepuka kuwa tegemezi pindi wanapograduate. Na hii inatokana na mifumo mizuri ya uendeshaji inayozingatia upatikanaji wa mda kwa mwanachuo kujitafuta nje ya ratiba ya masomo yake.
"Huku kwetu, nmekutana na kijana mmoja...
Salaam,
Napenda kuchukua fursa hii kuwapa elimu kwenu wamiliki wa makampuni (wasimamizi wake) na wasiomiliki kampuni kwa maana biashara Local au wasimamizi wa ajira zisizo rasmi hasa linapokuja Suala la UAJIRI.
Kitendo cha kumuajiri mfanyakazi kinakwenda sambamba na mambo yafuatayo:
1...
Watabisha sana lakini kauli ya waziri wa elimu kuhusu ajira za walimu ni kauli za udhalilishaji wa waalimu na Maprofesa wa vyuo husika!
Kama mitaala ya vyuo vya walimu inasimamiwa na wizara ya elimu! Kama vyuo vyetu vina ubora unaokidhi vigezo! Kwanini waziri anawataka walimu wafanye mitihani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.