Habari wakuu:
Kichwa cha thread kinajieleza naomba mnisaidie njia ya kufoward email zangu zikiingia tu kasha la kupokelea zije moja kwa moja kwenye inbox ya kawaida kama SMS.
Nimegoogle nikakutana na msamiati "SMS gateway domain" hapo nikashindwa.
Mnisaidie kupata hiyo njia na maelezo ya huo...