emmanuel nchimbi

Emmanuel John Nchimbi (born 24 December 1971) is a Tanzanian CCM politician and was a Member of Parliament for Songea Town constituency from 2010 to 2015. Currently, he is Chama Cha Mapinduzi General Secretary. He was the Minister of Home Affairs.

View More On Wikipedia.org
  1. Cute Wife

    CCM wanatetemeka na kububujikwa machozi kwa uoga, waacha kurusha live mikutano ya Nchimbi, wanajua hamna kitu pale wasije kuaibika nchi nzima

    Salam kwa jina la Lucas Mwashambwa, Wakuu sasa hivi kama mmechunguza mikutano ya CCM anayofanya Nchimbi akiwa amembatana na Makala hairushwi live. Wanaweka tu vile vipande wanavyotaka kudanganya watanzania au wanavyowananga CHADEMA. Ukiona wamerusha ka video kama hawamsifii Rais Samia basi...
  2. Ojuolegbha

    Kishindo Cha Shinyanga Mapokezi ya Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi

    Kishindo Cha Shinyanga Mapokezi ya Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi.
  3. L

    Maelfu ya Wananchi Wamiminika Katika Mapokezi Mazito ya Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi na CPA Amos Makala Mkoani Simiyu

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika CCM ni Baba lao, ni tumaini la watanzania,ni nuru ya wanyonge,ni nyota ya matumaini.Hiki chama ndio kimebeba matumaini ya mamilioni ya watanzania.ndio kimeshikilia furaha ya mioyo ya mamilioni ya watanzania.ndio chama kiletacho tabasamu katika nyuso za watu...
  4. Komeo Lachuma

    Emmanuel Nchimbi ana akili na anajua Siasa. Sidhani kama atadumu kwa hiyo nafasi aliyo nayo

    Wengi sasa wameanza kumwangalia kwa jicho flani huyu msomi na jamaa mwenye utulivu flani. Wanasema anafaa kuwa Rais wa kupitia CCM yaani yeye ni bora kuliko manyang'au wengine. Hata uongeaji wake ni mtulivu na anahesabu maneno. Wakubwa wake wanatiririsha tu maji taka. Yeye anachuja. Nadhani...
  5. Lord denning

    Angezungumza kama alivyozungumza Emmanuel Nchimbi angepungukiwa nini?

    Baada ya Chadema kutangaza maandamano kupinga kutekwa na kuuwawa kwa Wanachama wao na Watanzania kulitokea ka tension kadogo. Tension hii ilipata msisimko baada ya Viongozi wa dini kuanza kukemea. Kwa kuwa tuhuma hizi zilikihusu Chama cha Mapinduzi na vyombo vya Serikali yake hasa Polisi na...
  6. S

    Katibu Mkuu wa CCM, Dr. Emmanuel Nchimbi, jitokeze kujibu hoja hizi za Bonifa Jacob alizozitoa kupitia mtandao wa X

    CCM ILITELEZA HAPA, IKAANGUKIA HAPA...! Nimemsikiliza Dr.Emmanue Nchimbi kwa zaidi ya mara tano kwa utulivu mkubwa sana. CCM naijua lakini Dr. Emmanuel Nchimbi namfahamu vizuri sana. Binafsi sioni ghilba wala ulaghai nikitazama “demeanour” yake na facial expression yake haina chembe ya uongo...
  7. Venus Star

    The Truth: Dkt. Nchimbi ni kiongozi mwenye maono na anajua demokrasia

    Balozi Dkt. Emmanueli Nchimbi, ambaye ni Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), anajulikana kwa kuwa kiongozi mwenye maono (visionary leader) na anayejali misingi ya demokrasia. Kumsifia kama kiongozi mwenye maono ina maana kuwa ana uwezo wa kutazama mbele, kuweka mikakati ya muda mrefu, na...
  8. Roving Journalist

    Pre GE2025 Nchimbi anazungumzia kifo cha Kibao wa CHADEMA, asema "Zikianza kelele ‘Mbowe Must Go’ zinashindikana"

    https://www.youtube.com/watch?v=dDbkWPfQv2c Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Emmanuel Nchimbi , Kuzungumza Na Wahariri na Waandishi waandamizi wa Vyombo Vya Habari Leo Jijini Dar es salaam. Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema “Kuna kauli ya BAVICHA tumeisikiwa...
  9. Sir John Roberts

    Pre GE2025 Dkt. Emmanuel Nchimbi ateuliwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa CCM kumrithi Daniel Chongolo

    Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa imemteua Ndg. Emmanuel Nchimbi kuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Nchimbi anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Daniel Chongolo ambaye alijiuzulu. Katibu Mkuu Dkt. Nchimbi ametanguliza shukrani zake za dhati kwa Mwenyekiti wa...
  10. R

    Pre GE2025 Dkt. Emmanuel Nchimbi kauli yako ya kuwaachia viongozi wa CHADEMA imekaa kimaigizo

    Salaam Shalom!! Umesikika ukitoa maelekezo kwa Waziri wa mambo ya ndani ndugu Masauni Ukiwa jukwaani kupitia Naibu wake uliyekuwa naye ziarani Geita, kuwa, " Si mambo yote ni ya kuyatatua kisheria, wanasiasa tuachwe tuzumgumze, tafuta namna ya kuwaachia huru viongozi wa upinzani waliokamatwa"...
  11. Cute Wife

    Nchimbi ataka wabadhirifu na wezi waombewe ili roho hizo za kuhujumu nchi ziwatoke!

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, amewataka Watanzania kuwaombea wanaofanya ubadhirifu na wezi ili roho hizo za kuhujumu nchi ziwatoke. Amesema haiwezekani Rais Samia anahangaika kutafuta fedha ndani na...
  12. B

    Maigizo ya Balozi Dkt. Nchimbi kwenye mikutano yake yanakidhalilisha chama, abadilishe mapigo kidogo

    Balozi Dr Emmanule Nchimbi kama mwanasiasa mbobevu ndani na nje ya Tanzania sikutegemea kama angefanya matukio ya kuigiza kwenye kila anachodai ni kusikiliza kero za Wananchi. Kwanza ifahamikw kwamba Kero na shida za Wananchi zinajulikana kazi walioshindwa Chama na serikali ya ccm ni kuzitatua...
  13. Cute Wife

    Nchimbi: Mtu anayetafuta madaraka kwa kufarakanisha wenzake hafai kuwa kiongozi kwenye chama chetu

    Katibu Mkuu wa chama tawala nchini Tanzania CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi amewataka wanachama wa CCM kudumisha umoja na kuepuka mifarakano inayoweza kukisambaratisha chama hicho. Nchimbi ametoa kauli hiyo wakati wa ziara yake mkoani Songwe na kuongeza kwamba “mtu anayetafuta madaraka kwa misingi ya...
  14. Informer

    Sophia Simba, Madabida wavuliwa uanachama CCM. Emmanuel Nchimbi apewa onyo kali

    Nimeiona kwny JF twitter: ========= UPDATES: Waliofukuzwa Uanachama wa CCM kuanzia leo: 1. Sophia Simba 2. Ramadhan Madabida 3. Mwenyekiti wa Mkoa wa Iringa 4. Mwenyekiti wa Mkoa wa Mara na 5. Mwenyekiti wa Mkoa wa Shinyanga ===== KWA UFUPI: Machi 11, 2017 - Dodoma Habari kutoka...
Back
Top Bottom