Wagombea 108 kutoka Vyama vya Siasa 17 wanatarajiwa kuwania nafasi za Ubunge na Udiwani katika uchaguzi wa leo Juni 1, 2026, Jimbo la Ismani, mkoani Iringa, pamoja na Kata 12 za Tanzania Bara.
Jimbo la Ismani, wagombea 17 wanachuana kuwania nafasi ya Ubunge. Kati yao, wagombea 8 (asilimia...