PostGE2025 Emmanuela Mtatifikolo arithi Kiti cha Lukuvi baada ya Ushindi wa asilimia 93.5 Ismani

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
459
Reaction score
644
Wagombea 108 kutoka Vyama vya Siasa 17 wanatarajiwa kuwania nafasi za Ubunge na Udiwani katika uchaguzi wa leo Juni 1, 2026, Jimbo la Ismani, mkoani Iringa, pamoja na Kata 12 za Tanzania Bara.

Jimbo la Ismani, wagombea 17 wanachuana kuwania nafasi ya Ubunge. Kati yao, wagombea 8 (asilimia 47.06) ni Wanaume na wagombea 9 (asilimia 52.94) ni Wanawake.

Upande wa Kata 12 zinazofanya uchaguzi mdogo wa Udiwani, jumla ya wagombea 91 wanashiriki, miongoni mwao, wagombea 61 (asilimia 67.03) ni Wanaume na wagombea 30 (asilimia 32.97) ni Wanawake.

UPDATES

Mgombea wa Ubunge wa Jimbo Ismani Emmanuela Mtatifikolo ametangazwa kuwa Mshindi na Tume ya Taifa ya Uchaguzi baada ya kupata kura 70,905 sawa na asilimia 93.5 katika Uchaguzi uliofanyika Juni 01, 2026 ambapo jumla ya Wananchi 76,556 sawa na asilimia 85 walijitokeza kupiga kura.

Uchaguzi huo umefanyika katika Jimbo la Ismani lenye tarafa tatu ikiwemo Ismani, ldodi na Pawaga ambapo pia Jimbo hilo lina jumla ya Kata 13 na viji 60 vilivyoshiriki katika zoezi la Uchaguzi.

Uchaguzi huo ulifanyika kufuatia kifo cha aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo, William Lukuvi ambapo Emmanuela ambaye awali alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Babati mkoani Manyara ameshinda nafasi hiyo.
 
Wapiga Kura 222,218 walioandikishwa katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura watashiriki kwenye uchaguzi mdogo wa Ubunge katika Jimbo la Isimani lililopo Halamashauri ya Wilaya ya Iringa Mkoani Iringa na Kata 12 za Tanzania Bara.

Jaji Mwambegele amesema vituo vitafunguliwa saa 01:00 asubuhi na kufungwa saa 10:00 jioni.
Namtakia ushindi wa kishindo Emmanuela, mgombea ubunge jimbo la Isimani kupitia CCM.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Wagombea 108 kutoka Vyama vya Siasa 17 wanatarajiwa kuwania nafasi za Ubunge na Udiwani katika uchaguzi wa leo Juni 1, 2026, Jimbo la Ismani, mkoani Iringa, pamoja na Kata 12 za Tanzania Bara.

Jimbo la Ismani, wagombea 17 wanachuana kuwania nafasi ya Ubunge. Kati yao, wagombea 8 (asilimia 47.06) ni Wanaume na wagombea 9 (asilimia 52.94) ni Wanawake.

Upande wa Kata 12 zinazofanya uchaguzi mdogo wa Udiwani, jumla ya wagombea 91 wanashiriki, miongoni mwao, wagombea 61 (asilimia 67.03) ni Wanaume na wagombea 30 (asilimia 32.97) ni Wanawake.

UPDATES
Tanganyika na Zanzibar yake hakuna kitu kinachoitwa UCHAGUZI , Huo ni uchafuzi kama machafuzi mengine waliyoyafanya CCM toka wakati wa God father wake Nyerere
 
Wagombea 108 kutoka Vyama vya Siasa 17 wanatarajiwa kuwania nafasi za Ubunge na Udiwani katika uchaguzi wa leo Juni 1, 2026, Jimbo la Ismani, mkoani Iringa, pamoja na Kata 12 za Tanzania Bara.

Jimbo la Ismani, wagombea 17 wanachuana kuwania nafasi ya Ubunge. Kati yao, wagombea 8 (asilimia 47.06) ni Wanaume na wagombea 9 (asilimia 52.94) ni Wanawake.

Upande wa Kata 12 zinazofanya uchaguzi mdogo wa Udiwani, jumla ya wagombea 91 wanashiriki, miongoni mwao, wagombea 61 (asilimia 67.03) ni Wanaume na wagombea 30 (asilimia 32.97) ni Wanawake.

UPDATES
No Reform No Election
 
Lini kuliwahi kuwa na uchaguzi Tanganyika na zanzibar tokea 1964 ??
unafanyika leo maeneo mbalimbali nchini, utafanyika tena 2029 serikali za mitaa, na 2030 utafanyika uchaguzi mkuu huru,wa wazi na wa haki gentleman.

fikra na dhana potofu nonsense hazitazuia uchaguzi wowote ulio kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi gentleman 🐒
 
Bila kumwaga damu zamu hii? sisiemu bila damu hamnaga drama au show za namna hii, kwani mnashindana na nani?
Gentleman,
dhana potofu nonsense haziwezi kamwe kuzuia ushindi wa kishindo wa CCM katika kila uchaguzi katika nchi hii 🐒
 
Back
Top Bottom