PostGE2025 Emmanuela Mtatifikolo arithi Kiti cha Lukuvi baada ya Ushindi wa asilimia 93.5 Ismani

PostGE2025 Emmanuela Mtatifikolo arithi Kiti cha Lukuvi baada ya Ushindi wa asilimia 93.5 Ismani

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
huenda unaharibu nchi ni wewe na anaeharibikiwa kisaikolojia ni wew pia.

Kama taifa tupo vizuri na tunaelekea pazuri zaidi bila kujali dhana useless na nonsense kama ulizonazo gentleman.

Chaguzi zote za Tanzania zinaendelea kufanywa kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi. Na mahakama huru za Tanzania zinaendelea kutekeleza wajibu wake kwa mujibu wa Katiba kama inavyotakiwa.

hakuna mbambamba kwenye hayo gentleman 🐒
Uchaguzi huru kama lile shetani lililojitangaza limeshinda kwa 98% na sasa linaendelea kuteka na kuua watu,Gentleman kama hufaidiki na mfumo utakuwa na mental illness
 
sina haya ya hiyo nonsense ndugu mdau. Kwanza unajifanyaje kwa mfano? Au wewe hua unajifanyaga?

huenda 93% ya Emmanuela imekuumiza na kukuchanganya sana 🐒

Wewe maadamu umezowea kuangushiwa makwato na mifupa unaona ndio nyama yenyewe, husikii huoni yaani wewe umshinde Ali Karume kuijuwa CCM ?? Kama umeona ukweli unakuumiza pole sana tafuta matusi ya kunitukana na endelea kula makwato
 
relax bas ndugu mdau,

ushindi wa CCM wa 93.5% kwa mbunge Emmnuela pale Isimani, ni salamu za DR.EMMANUEL JOHN NCHIMBI wa ccm urais uchaguzi mkuu2030,
hii inaweza kukurea zaidi kwasababu haizuiliki :pedroP:
 
Uchaguzi huru kama lile shetani lililojitangaza limeshinda kwa 98% na sasa linaendelea kuteka na kuua watu,Gentleman kama hufaidiki na mfumo utakuwa na mental illness
huenda Dr.Emmanuel John Nchimbi akashinda urasis wa Tanzani uchaguzi mkuu wa 2030 kwa kishindo cha 100% ya kura zote gentleman.

naona mtakasirika sana aise :pedroP:
 
Wagombea 108 kutoka Vyama vya Siasa 17 wanatarajiwa kuwania nafasi za Ubunge na Udiwani katika uchaguzi wa leo Juni 1, 2026, Jimbo la Ismani, mkoani Iringa, pamoja na Kata 12 za Tanzania Bara.

Jimbo la Ismani, wagombea 17 wanachuana kuwania nafasi ya Ubunge. Kati yao, wagombea 8 (asilimia 47.06) ni Wanaume na wagombea 9 (asilimia 52.94) ni Wanawake.

Upande wa Kata 12 zinazofanya uchaguzi mdogo wa Udiwani, jumla ya wagombea 91 wanashiriki, miongoni mwao, wagombea 61 (asilimia 67.03) ni Wanaume na wagombea 30 (asilimia 32.97) ni Wanawake.

UPDATES

Mgombea wa Ubunge wa Jimbo Ismani Emmanuela Mtatifikolo ametangazwa kuwa Mshindi na Tume ya Taifa ya Uchaguzi baada ya kupata kura 70,905 sawa na asilimia 93.5 katika Uchaguzi uliofanyika Juni 01, 2026 ambapo jumla ya Wananchi 76,556 sawa na asilimia 85 walijitokeza kupiga kura.

Uchaguzi huo umefanyika katika Jimbo la Ismani lenye tarafa tatu ikiwemo Ismani, ldodi na Pawaga ambapo pia Jimbo hilo lina jumla ya Kata 13 na viji 60 vilivyoshiriki katika zoezi la Uchaguzi.

Uchaguzi huo ulifanyika kufuatia kifo cha aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo, William Lukuvi ambapo Emmanuela ambaye awali alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Babati mkoani Manyara ameshinda nafasi hiyo.
Ni mtoto wa Lukuvi sio?
 
relax bas ndugu mdau,

ushindi wa CCM wa 93.5% kwa mbunge Emmnuela pale Isimani, ni salamu za DR.EMMANUEL JOHN NCHIMBI wa ccm urais uchaguzi mkuu2030,
hii inaweza kukurea zaidi kwasababu haizuiliki :pedroP:
Muda utasema , usije kulia tu na makwato yako unayotupiwa
 
Bila ukali na kugeuka Mbogo B- Level Baba angeenda na maji😂😂
 
Back
Top Bottom