Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
ni vyama vya siasa 17 vyenye sifa za kisheria ndivyo vinashiriki chaguzi hizo kote nchini gentleman 🐒Unashindana na nani sasa ili ushinde chawa mwajiriwa?
ni vyama vya siasa 17 vyenye sifa za kisheria ndivyo vinashiriki chaguzi hizo kote nchini gentleman 🐒Unashindana na nani sasa ili ushinde chawa mwajiriwa?
ni vyama vya siasa 17 vyenye sifa za kisheria ndivyo vinashiriki chaguzi hizo kote nchini gentleman 🐒
unajiskia uchungu nini gentleman, kwakua chama chako hakina sifa ya kushiriki uchaguzi na hakimo miongoni mwa vyama vya siasa 17 vinavyoshiriki chaguzi ndogo kote nchini?Vyama 17 ahsante sana 😀 😀 ! Nilijua una akili kumbe nilijikosesha ufahamu tu am out boy!
Chama cha Mapinduzi kinajuwa uchaguzi? Si kilishapinduwa uchaguzi?unafanyika leo maeneo mbalimbali nchini, utafanyika tena 2029 serikali za mitaa, na 2030 utafanyika uchaguzi mkuu huru,wa wazi na wa haki gentleman.
fikra na dhana potofu nonsense hazitazuia uchaguzi wowote ulio kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi gentleman 🐒
Gentleman,Chama cha Mapinduzi kinajuwa uchaguzi? Si kilishapinduwa uchaguzi?

Kweli kwa wana Mapinduzi ni nonsense wakati vyombo vya dola ndivyo vinavyotumiwa kufanya huu uchafuzi unaouita uchaguziGentleman,
kushiriki uchaguzi, kushinda uchaguzi kwa kishindo na kukamata dola ndio msingi mkuu wa kuanzishwa kwa CCM, kinyume na hapo ni porojo nonsense tupu![]()
dhana potofu useless kama hizo haziwezi kamwe kufanya uchaguzi wa kikatiba usifanyike nchi hii ndugu mdau wa JF, kawaambie na wenzako bila kificho kuhusu hiliKweli kwa wana Mapinduzi ni nonsense wakati vyombo vya dola ndivyo vinavyotumiwa kufanya huu uchafuzi unaouita uchaguzi

Stakeholder yeyote (kwenye hizo chaguzi) ambaye hajui mshindi atakuwa nani bila shaka ni mgeni kwenye chaguzi za Tanzania!Wagombea 108 kutoka Vyama vya Siasa 17 wanatarajiwa kuwania nafasi za Ubunge na Udiwani katika uchaguzi wa leo Juni 1, 2026, Jimbo la Ismani, mkoani Iringa, pamoja na Kata 12 za Tanzania Bara.
Jimbo la Ismani, wagombea 17 wanachuana kuwania nafasi ya Ubunge. Kati yao, wagombea 8 (asilimia 47.06) ni Wanaume na wagombea 9 (asilimia 52.94) ni Wanawake.
Upande wa Kata 12 zinazofanya uchaguzi mdogo wa Udiwani, jumla ya wagombea 91 wanashiriki, miongoni mwao, wagombea 61 (asilimia 67.03) ni Wanaume na wagombea 30 (asilimia 32.97) ni Wanawake.
UPDATES
wewe unaona ni dhana potofu hii ndio kazi ya CCmdhana potofu useless kama hizo haziwezi kamwe kufanya uchaguzi wa kikatiba usifanyike nchi hii ndugu mdau wa JF, kawaambie na wenzako bila kificho kuhusu hili![]()
huo upotoshaji utakuathiri sana kisaikolojia na kamwe hauwezi kuzuia uchaguzi wa kikatiba Tanzania usifanyike ndugu mdau 🐒wewe unaona ni dhana potofu hii ndio kazi ya CCm
View attachment 3599499
huo upotoshaji utakuathiri sana kisaikolojia na kamwe hauwezi kuzuia uchaguzi wa kikatiba Tanzania usifanyike ndugu mdau 🐒
Mmeharibu sana nchi, watu hawana imani tena na mahakama au uchaguzi wowote unaofanyika sasa, unaona sawa lakini hata wewe, familia yako na watu wako mta suffer kwa huu uhuni mnaofanya, bila haki hakuna maendeleo wala amani,Samia ni zaidi ya shetanihuo upotoshaji utakuathiri sana kisaikolojia na kamwe hauwezi kuzuia uchaguzi wa kikatiba Tanzania usifanyike ndugu mdau 🐒
huenda unaharibu nchi ni wewe na anaeharibikiwa kisaikolojia ni wew pia.Mmeharibu sana nchi, watu hawana imani tena na mahakama au uchaguzi wowote unaofanyika sasa, unaona sawa lakini hata wewe, familia yako na watu wako mta suffer kwa huu uhuni mnaofanya, bila haki hakuna maendeleo wala amani,Samia ni zaidi ya shetani
Yaani unajifanya CCM kuliko huyu aliye na damu ya kijani , . Msikilize anaongea nini
View: https://youtu.be/p8nKOnkVx8c?is=dA0vxekQsuMgsYCC
KAILIMA na MWAMBEGELE ni wateja watarajiwa wa JEHANAMUWagombea 108 kutoka Vyama vya Siasa 17 wanatarajiwa kuwania nafasi za Ubunge na Udiwani katika uchaguzi wa leo Juni 1, 2026, Jimbo la Ismani, mkoani Iringa, pamoja na Kata 12 za Tanzania Bara. Jimbo la Ismani, wagombea 17 wanachuana kuwania nafasi ya Ubunge. Kati yao, wagombea 8 (asilimia 47.06) ni Wanaume na wagombea 9 (asilimia 52.94) ni Wanawake. Upande wa Kata 12 zinazofanya uchaguzi mdogo wa Udiwani, jumla ya wagombea 91 wanashiriki, miongoni mwao, wagombea 61 (asilimia 67.03) ni Wanaume na wagombea 30 (asilimia 32.97) ni Wanawake. UPDATES Mgombea wa Ubunge wa Jimbo Ismani Emmanuela Mtatifikolo ametangazwa kuwa Mshindi na Tume ya Taifa ya Uchaguzi baada ya kupata kura 70,905 sawa na asilimia 93.5 katika Uchaguzi uliofanyika Juni 01, 2026 ambapo jumla ya Wananchi 76,556 sawa na asilimia 85 walijitokeza kupiga kura. Uchaguzi huo umefanyika katika Jimbo la Ismani lenye tarafa tatu ikiwemo Ismani, ldodi na Pawaga ambapo pia Jimbo hilo lina jumla ya Kata 13 na viji 60 vilivyoshiriki katika zoezi la Uchaguzi. Uchaguzi huo ulifanyika kufuatia kifo cha aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo, William Lukuvi ambapo Emmanuela ambaye awali alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Babati mkoani Manyara ameshinda nafasi hiyo.
Hawasongi mbele,sema wanapiga kelelenkwenda mbele!Lioneni hili boya, wenzenu wanasonga mbele nyie mmekariri upuuzi,
kwani kuna mechi hapo ??