empire game

  1. Jacobus

    EFM kipindi cha 'Empire game' kinaboa!

    Ki ukweli watangazaji Jonas Maziku na Abdul Razak wamekinogesha kipindi hiki cha kama dakika 15 hivi jioni. Sasa hivi huyu Jeff Lea ni kama anakifanya kuwa cha umbea umbea hivi na hii imetokea jana kwa kutupotezea muda kwa kutusimulia habari ya mke wa mchezaji huko Inglandi. Tafadhari...
Back
Top Bottom