endelevu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwl.RCT

    SoC03 Uraia Pacha: Kuunganisha Tanzania na Diaspora kwa Maendeleo Endelevu

    URAIA PACHA: KUUNGANISHA TANZANIA NA DIASPORA KWA MAENDELEO ENDELEVU. Imeandikwa na: Mwl.RCT UTANGULIZI Uraia pacha ni hali ya kuwa raia wa nchi mbili kwa wakati mmoja. Inawawezesha watu kufurahia haki na huduma za kisheria, kiuchumi, kisiasa, na kijamii katika nchi zote mbili wanazohusika...
  2. E

    SoC03 Maendeleo

    Uwajibikaji na utawala bora ni mambo muhimu katika kujenga nchi yenye maendeleo endelevu na ustawi wa wananchi. Kupitia uwajibikaji na utawala bora, serikali inawajibika kwa wananchi na kuhakikisha kuwa rasilimali za umma zinatumika kwa ufanisi na kwa manufaa ya wote. Hapa chini nimeelezea mambo...
  3. Mwl.RCT

    SoC03 Kuongeza Uwazi na Uwajibikaji kwa Utawala Bora Endelevu nchini Tanzania

    Kuongeza Uwazi na Uwajibikaji kwa Utawala Bora Endelevu nchini Tanzania Imeandikwa na: MwlRCT UTANGULIZI: Andiko hili linajadili umuhimu wa kuongeza uwazi na uwajibikaji kwa utawala bora endelevu nchini Tanzania. Litaangazia athari za rushwa kwa uwajibikaji na utawala bora, mambo yanayochangia...
  4. Mzee wa Malengo

    Miradi mipya na endelevu ya maendeleo Tanzania

    Kichwa kinajieleza, hapa ningependelea tuweke video, picha na hata maelezo yanayohusu miradi inayotekelezwa na kila hatua iliyofikia ili kujuzana wapi tumetoka, wapi tupo na wapi tunaelekea. Kama ambavyo tunafanya kwenye ile thread ya Nairobi vs Dar es salaam. Naamini kuna watanzania wengi...
  5. L

    #COVID19 Mwitikio wa China wa miaka mitatu wa COVID-19 ni endelevu, wa utaratibu na unaendana na nyakati

    Ripoti iliyotolewa wiki hii na kituo cha Yuyuantantian, kinachomilikiwa na shirika kuu la Habari la China (CMG) inaonyesha kuwa Mwitikio wa China wa miaka mitatu wa COVID-19 ni endelevu, wa kimfumo na unaendana na nyakati na pia umeokoa maisha ya watu. Pamoja na hatua za kuzuia na kudhibiti...
  6. Lanlady

    Si rahisi watu kufanana namna ya kufikiri na kutoa maoni! 'Critics' lazima ziwepo ili kufikia maendeleo endelevu!

    Kwamba kwenye nchi hii haitakiwi kuwa na maoni tofauti? Kwamba kila mwenye maoni tofauti ni mpinzani wa maendeleo? Basi watafukuzwa wengi!
  7. beth

    Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs): Digitali ina mchango gani?

    Ukuaji wa Teknolojia unachochea Matumizi ya Digitali kwa kiwango kikubwa. Majukwaa ya Kidigitali yanaweza kuwa na mchango mkubwa katika kutimiza Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs) kupitia; 1) Fursa za Ujasiriamali ambazo husaidia kuinua Uchumi 2) Utoaji Elimu na Maarifa ya Kidigitali...
  8. V

    SoC02 Baada ya Sensa ya 23, Agosti 2022, Tuhamie kwenye Sensa Endelevu. Teknolojia imekua

    UTANGULIZI: Sensa ya watu na makazi ni nini? Ni utaratibu wa kukusanya, kuchambua, kutathimini na kuchapisha na kusambaza takwimu za kidemographia, kiuchumi na kijamii kuhusiana na watu wote na makazi yao katika nchi kwa kipindi maalum. Kwa maana nyingine, sensa ni zoezi maalum lenye lengo la...
  9. Stephen Ngalya Chelu

    SoC02 Tunahitaji kujenga taasisi huru na imara ili kuyafikia maendeleo endelevu

    UTANGULIZI Taasisi ni vyombo vinavyoanzishwa kisheria na serikali na kupewa mamlaka ya kusimamia au kutekeleza majukumu maalum ili kuisaidia serikali katika utendaji. Ili maendeleo yawe na manufaa kwa wananchi, yanapaswa kuwa endelevu kwa kuhakikisha kuwa kunakuwepo misingi imara ya kiuchumi...
  10. Tonytz

    SoC02 Tudumishe Kiswahili kwa maendeleo endelevu na nyenzo ya kudai haki

    UTANGULIZI Kwanza napenda kumshukuru Mungu kwa pumzi ya uzima na uwezo wa kuniongoza katika kuandika Makala hii yenye kuleta tija hapa nchini Tanzania na duniani kwa ujumla. Pia, nawashukuru na kuwapongeza JF kwa kuweka shindano hili na jukwaa hili ili kuinua vipawa vy vijana wengi hapa nchini...
  11. Meneja Wa Makampuni

    Hivi upi ni uchumi endelevu kati ya kuuza wanyama au kuvutia watalii waje kuwatazama?

    Nilikuwa najiuliza maswali haya. Mimi sio mtaalamu wa mambo ya utalii. Lakini nimeingiwa na udadisi kidogo. Nataka kuwauliza wenzangu. Hivi upi ni uchumi endelevu Kati ya kuuza wanyama au kuvutia watalii waje kuwatazama? Naombeni majibu ndugu zangu
  12. Pascal Mayalla

    Je, Kuna Haja ya Kutunga Sera ya CSR za Makampuni ili Ziwe Endelevu? Serikali Yaipongeza TotalEnergies Kwa CSR Endelevu Kuwajengea Uwezo Watanzania

    Wanabodi, Japo nchi yetu ni masikini, nchi wafadhili wa maendeleo waliokuwa wanatusaidia kwa misaada mbalimbali, wao ndio huamua wasaidie nini. Enzi za Mwalimu Nyerere, kuna wakati tulikosana na wafadhali kutokana na kupewa misaada yenye masharti, hivyo Nyerere akakataa, Mwinyi alipoingia...
  13. Kichwamoto

    Anayeoa hajui ndoa na anayeolewa hajui ndoa. Usela endelevu hauna tiba

    Hello, Je waoaji na waolewaji wanafahamu na kupata maarifa ya kutosha kuhusu ndoa, why ndoa? Uishije ndoa? Road map ya ndoa inarejea msingi ngapi na ni zipi. Usipojua haya huna tofauti na masela wenye jinsia tofauti ila wako ghetto na wana mishe mishe fulani. Hitimisho kama walioa na...
  14. Elius W Ndabila

    Tuiangazie Diplomasia katika kukuza uchumi endelevu

    DIPLOMASIA BORA NI MSINGI WA UCHUMI IMARA Na Elius Ndabila 0768239284 Diplomasia ni nadharia ambayo tumekuwa tunaitumia sana tukiwa tunalenga uhusiano baina ya mataifa duniani. Leo nitazungumzia kinagaubaga juu ya diplomasia katika sekta ya kukuza uchumi nchini. Uchumi na maendeleo kote...
  15. L

    Ushirikiano kati ya China na Afrika kwenye nishati endelevu ni fursa ya maendeleo na hatua muhimu ya kukabiliana na Mabadiliko ya Tabia Nchi

    Na Fadhili Mpunji Katika muda mrefu uliopita suala la matumizi ya nishati limekuwa changamoto kwa nchi nyingi za Afrika, na nchi nyingi za Afrika zikilazimika kutumia pesa nyingi za kigeni kuagiza mafuta kutoka nje ya nchi, na kutumia mafuta hayo kama chanzo kikuu cha nishati, au kutumia makaa...
  16. maganjwa

    Maendeleo endelevu hupatikana kama kuna siasa safi

    Wanajamvi nawasalimu nyote kwa jina la jamhuri ya muungano. Napenda nijadili kidogo kuhusu suala la siasa safi. Hili ni shida kubwa sana hapa kwetu tanzania. Siasa safi si kuwa na amani au kuwa na utulivu hapana kulingana na uelewa wangu. Amani na utulivu ni matokeo tu kipo kinachofanya watu...
  17. M

    Ni zipi njia za kudumu za kuondokana na tatizo la mbu?

    Wasalaam, Moja kati ya changamoto ambayo imekuwa ikinisumbua sana ni changamoto ya mbu nyumbani kwangu, ingawa kwa sehemu kubwa hili ni tatizo la maeneo mengi ya hapa Dar. Nimekuwa nikijaribu kutafiti njia mbalimbali za kuondokana na mbu lakini mpaka sasa sijapata ufumbuzi wa kudumu...
  18. J

    #COVID19 Ufuatiliaji wa usalama wa chanjo ya COVID-19 ni mchakato endelevu

    Ufuatiliaji wa usalama wa chanjo ni muhimu katika ngazi za kitaifa, kikanda na kimataifa. Baada ya chanjo yoyote kutambulishwa, WHO hufanya kazi na watengenezaji chanjo, maafisa wa afya, kamati za ushauri za kitaifa na washirika wengine kufuatilia maswala yoyote ya usalama kwa kila mara. Maswala...
  19. M

    SoC01 Namna Bora na Endelevu ya Kutatua Tatizo la Mrundikano wa Machinga Katika Maeneo Yasiyo Rasmi kwa Biashara

    Utguanlizi: Machinga ni jina maarufu wanaloitwa wafanya biashara ndogondogo wa mijini na vijijini kote nchini. Wafanyabiashara wa kundi hili wanatabia ya kuhamahama kutembea huku na kule kutafuta maeneo wanayoona wanapata wateja wengi wanaowaungisha bidhaa zao. Utamaduni huu wa kuhamisha...
  20. L

    Ripoti kuhusu mabadiliko ya tabia nchi yasema juhudi zikiwa endelevu tunaweza kuinusuru dunia

    Ripoti iliyotolewa Agosti 9 na jopo la kimataifa kuhusu mabadiliko ya tabia nchi (IPCC), imetoa tahadhari kuwa mabadiliko ya tabia nchi yanayoendelea kutokea duniani yanaweza kuchukua maelfu ya miaka kurudi katika hali ya kawaida. Lakini pia ripoti hiyo hiyo imetoa matumaini kuwa kama juhudi za...
Back
Top Bottom