UTANGULIZI:
Tanzania ni miongozi mwa nchi za bara la Afrika zinazopatikana kusini mwa jangwa la Sahara, pia ni miongoni mwa nchi zinazoendelea kiuchumi duniani. Tanzania ni nchi iliyobarikiwa rasilimali nyingi ambazo ni pamoja na ardhi yenye rutuba, bahari ya Hindi, maziwa makubwa na madogo...