eneo linauzwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Newcastle1234

    Eneo linauzwa Ali Hassan Mwinyi Road

    2240 SQM Title deed: 99 Years Alongside Ali Hassan Mwinyi Road Topographical map available for serious buyers Property is unique for Apartments, Business complex, Hotel. Asking price: $2 Million (negotiable) Call/WhatsApp 0788893364
  2. Sun Zu

    Eneo linauzwa, jirani na stand ya SGR DODOMA

    Eneo lina ukubwa wa 1200 Sq Meter Huduma zote muhimu zipo, ni jirani kabisa na stand ya SGR DODOMA. Eneo ni la kwangu binafsi, sio dalali. 15,000,000 (Milion kumi na tano), maongezi yapo. 0719928661
  3. R

    Eneo linauzwa Tabata Bima

    Eneo lenye Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Tabata Bima, Dar es salaam. Mahali: Mtaa wa Mbiu. Sifa za Nyumba: *Iko mita chache kutoka barabara ya kuelekea Tabata kimanga. *Ina Vyumba viwili vya kulala, chumba kimoja ni master, sebule na jiko. *Ina nafasi kubwa nje. *Ina fremu mbili nje...
  4. R

    Eneo linauzwa Tegeta Namanga

    Eneo linauzwa, Lina nyumba 3 ndani yake. Mahali: Tegeta Namanga, Mtaa wa Kibera. Eneo Liko mita chache kutoka barabara ya Bagamoyo. Ukubwa: SQM 1204. Nyaraka: Ina Hatimiliki. Bei: Milioni 300. Mazungumzo yanaruhusiwa. Gharama ya kwenda kuona Eneo itahusika. Mawasiliano: 0784 829565 0767...
  5. R

    Eneo linauzwa Makumbusho

    Eneo linauzwa Makumbusho. Mahali: Mtaa wa Samoyaz, Nyuma ya Mwanga Tower. Sifa za Eneo: Liko mita chache kutoka barabara ya Bagamoyo (New bagamoyo road). Liko barabara ya kuelekea kituo cha Daladala Makumbusho. Linafaa kwa matumizi yote, biashara au makazi. Ukubwa wa Eneo: SQM 988. Nyaraka...
  6. the maze

    Plot4Sale ENEO LINAUZWA, CHAMWINO - DODOMA

    ENEO ZURI, TAMBARARE LINAUZWA UKUBWA: 7,021 square meters, sawa na 1.735 acres). MAHALI: Kata ya Manchali, Wilaya ya Chamwino, Dodoma. Eneo lipo kando ya barabara kuu ya Dodoma - DSM. Ni umbali wa 20km kutoka Chamwino Ikulu, 38km kutoka Kituo Kikuu cha Mabasi Dodoma. DIRECTION LINK...
  7. R

    Plots, Apartments for Sale

    Apartments for Sale Nzuri sana ya kisasa, iko Mikocheni Karibu na palm village, barabarani kabisa. Fully furnished, 3 master bedroom, kuna gym na swimming pool. Inauzwa $220,000 ( Dola laki mbili na ishirini) Ina mteja analipa kodi $1500 per month, Kama mtu anataka kuhamia mteja atapewa notice...
  8. W

    Plot4Sale ENEO LINAUZWA KISEMVULE KWA BEI YA OFA

    Eneo linauzwa lipo kisemvule lenye ukubwa wa square meter 1200, Eneo lipo na msingi wa nyumba ya sitting room, kitchen, vyumba viwili kimoja ni master room pamoja na public toilet Eneo lipo karibu na barabara na huduma za kijamii zinapatikana 💲Bei ni million 10.5 📞Mawasiliano Calls and sms...
  9. W

    Plot4Sale Eneo linauzwa Kisemvule

    Eneo linauzwa lipo kisemvule-kibamba lenye ukubwa wa square meter 1200. Eneo lipo na msingi wa nyumba ya sitting room, kitchen, vyumba viwili kimoja ni master room pamoja na public toilet. Eneo lipo karibu na barabara na huduma za kijamii zinapatikana. 💲Bei ni million 10.5 📞Mawasiliano Calls...
  10. Ochoa Real Estate

    Plot4Sale Eneo linauzwa Tsh. Milioni 8, lipo Tegeta A Goba Mpakani

    Eneo linauzwa lipo Tegeta "A" Goba mpakani mtaa wa Mlimani City Dakika 2 tuu kutoka barabara kuu ya Mtaa ambayo itawekwa lami hivi karibuni. Kutoka site mpaka Goba Center ni mwendo wa dakika zisizo zidi 15 kwa gari/pikipiki. Kiwanja kipo mjini haswaa. Kiwanja kina size ya mita 10 X 10 yaani...
  11. No SQL

    Plot4Sale Eneo linauzwa Kigamboni Mwasonga, heka 2

    Nauza eneo langu, lipo Kigamboni Mwasonga heka mbili BEi: 15 million Halijapimwa, lina document za mauziano za serikali ya mtaa Linafaa kwa kukata viwanja, kilimo, ufugaji, makazi n.k Hyo barabara hapo inaelekea Kimbiji ambayo imeanza kupigwa lami. karibu PM tuzungumze.
  12. E

    Plot4Sale Eneo linauzwa Tabata Changombe

    ENEO LINAUZWA MILIONI 7 LENYE UKUBWA WA (8×12) LINAPATIKANA TABATA CHANGOMBE (KWA DKT KUNDY) DOCUMENT ZOTE ZIPO 0687103112
  13. K

    ENEO LINAUZWA

    Eneo lipo Mwasonga Kigamboni lina ukubwa wa heka 14 ila zinazouzwa ni heka 6 tu bei ni 6M kwa heka moja. Mawasiliano 0784427363.
  14. E

    Plot4Sale Viwanja na Mashamba vinauzwa sehemu mbalimbali Dar na Pwani

    Kazi kazi Nina nyumba Kali inauzwa iko Tabata Kisukuru Ina hati Tsh250ML Nina kiwanja kinauzwa Tabata Kisukuru ukubwa ni mita 20x30 ila nafasi ya kuongeza kubwa wa eneo ipo, kina faa kujenga Sheli sababu barabara kubwa ya lami itapita hapo siku sio nyingi, bei Tsh 50ML. Nina kiwanja maeneo...
  15. Sonship

    Plot4Sale Nauza viwanja maeneo mbalimbali Dar

    Nunua kiwanja kwa bei chee. Mbezi Msakuzi Makabe 18×22 kiwanja kina nyumba kuu kuu ya vyumba 3 bei mln 20 Kiluvya Gogoni 22×25 bei mln 9 Kiluvya kwa Komba 20×20 mln 6 Kiluvya kwa Sumaye 40×40mln 18 Kiluvya kwa Sumaye 20×20 bei mln 6 Viwanja vyote umeme na maji yapo jirani
  16. sangaima

    Tenda kwa madalali wa uuzaji wa maeneo na nyumba

    Eneo lenye ukubwa wa Sqm 3626 Na lina Nyumba 7 [ Moja ni main house yenye vyumba vitatu kimoja master, sebure kubwa, dining kubwa, public toilet na jiko] Na nyumba zengine 6 kila moja imegawanyika katika ( chumba na sebure 3 hivyo kufanya jumla ya chumba na sebule 18 na zote zinawapangaji. Na...
  17. sangaima

    Plot4Sale Eneo lenye nyumba 19 linauzwa Kimara

    Eneo lenye ukubwa wa Sqm 3626 Na lina Nyumba 7 [ Moja ni main house yenye vyumba vitatu kimoja master, sebure kubwa, dining kubwa, public toilet na jiko] Na nyumba zengine 6 kila moja imegawanyika katika ( chumba na sebure 3 hivyo kufanya jumla ya chumba na sebule 18 na zote zinawapangaji. Na...
  18. W

    Plot4Sale Tunauza viwanja maeneno mbalimbali Dar es Salaam

    Kiwanja kwa bei ya OFA ya kufungia mwaka. kiwanja kipo Mbezi Msakuzi kwa Lipelanya Shule ya Makamba. Ukubwa ni 45 kwa 35 metres. Bei ni million 30 tu. Umbali kutoka barabarani ni km 2 Mawasiliano 0715128827
  19. MtanzaniaMakini

    Plot4Sale Eneo linauzwa Manzese Argentina

    Habari ndugu kuna Eneo linauzwa Manzese Argentina. Eneo linatazamana na barabara kuu ya Morogoro road jirani kabisa na kituo cha Mwendokasi cha Argentina Eneo linafaa ujenzi wa hotel, shell au kuweka kitega uchumi chochote Bei 400ml maongezi yapo kwa maelezo zaidi What's up number +255628891673...
  20. D

    Plot4Sale Eneo linauzwa Mbweni

    Kwa wale wenye kutaka kuishi humo au kuweka Sheli ya mafuta au biashara kubwa yyte hii sehemu inafaa. Kuna nyumba mbili zimeungana na PANAUZWA kwa pamoja .Eneo lipo karibu kbsa na main road .Ukubwa ni square meter 1400 .Call 0759600684
Back
Top Bottom