engineering

Engineering is the use of scientific principles to design and build machines, structures, and other items, including bridges, tunnels, roads, vehicles, and buildings. The discipline of engineering encompasses a broad range of more specialized fields of engineering, each with a more specific emphasis on particular areas of applied mathematics, applied science, and types of application. See glossary of engineering.
The term engineering is derived from the Latin ingenium, meaning "cleverness" and ingeniare, meaning "to contrive, devise".

View More On Wikipedia.org
  1. I

    Kada ya Engineering, ualimu Tamisemi

    Wakuu naomba tupeane tips jins ya kuomba hizo ajira za ualim kwa sisi wa kada ya engineering. Nimeona kwenye tangazo kua tuta ajiriwa kama walimu daraja la 111b kwa wenye astashahada na 111c kwa wenye shahada za civil, electrical na mechanical. Naomba tupeane elimu kidogo tunaombaje ombaje...
  2. U

    Msaada: Kati ya Bachelor Degree ya Air transportation and management operation na bachelor degree ya Air Craft and Maintanance Engineering

    Habari wakuu? Kati ya kozi ya Bachelor degree ya Air transportation and management operation na bachelor degree ya Air Craft and maintanance Engineering Hizo kozi naombeni ushauri zinatolewa bila shaka NIT, ni ipi kozi nzuri na isioumiza kichwa!
  3. Soko la Network Engineering Tanzania

    Wadau naomba ushauri juu ya soko (kwa upande wa ajira) mimi nasoma Bachelor of Computer Engineering, MUST, siko interested sana na coding. Nafkiria kuspecialize na Network & System Administration kwenye suala la ajira iko vp hii? Na ni sector zipi zina uhitaji wa ao watu wa network?
  4. Engineering Superintendent at Geita Gold Mining Ltd (GGML)

    Overview Geita Gold Mining Ltd (GGML) is Tanzania’s leading gold producer with a single operation in Geita Region. The company is a subsidiary of AngloGold Ashanti, an international gold producer headquartered in South Africa, with operations in more than ten countries, in four continents. The...
  5. BSc. Petroleum Chemistry Vs BSc. Petroleum Engineering. Ni kozi ipi ina uwanja mpana wa Ajira?

    Habari za Leo wakuu, Naombeni kuuliza kati ya hizo kozi mbili tajwa ni ipi ina uwanja mpana wa ajira kwa hapa Tanzania? Na ni ipi ipo wide? Natanguliza shukrani.
  6. Baadhi ya fani zenye ajira kubwa Duniani: Wazazi somesheni watoto nje Degree za Cyber Security na Aeronautical Engineering

    Kuna degree Tanzania hamna ila zina soko sana duniani, vijana wa PCM zinawafaa. Wazazi, mkiwa na pesa na mkiwa na watoto wazuri waliofaulu vizuri PCM pelekeni Ulaya au Marekani wakasome degree za Cyber Security na Aeronautical Engineering. Ni baadhi ya hot cake degrees, dunia nzima inawataka.
  7. Free Engeneering and Science Notes

    Notes zotePhysics, Engineering na Science bure, agalia link hapo chini, notes zote zipo upande wa kushoto kwenye page hii page Untitled 1
  8. Nafasi za kazi Orascom Construction and Engineering Co. (T) Ltd

    Overview Orascom Construction and Engineering Co. (T) Ltd. is a Tanzanian Company dealing with civil works, building contractor, decorations, timber works and other related activities situated in Dar es salaam, Ruangwa-Lindi and Dodoma. The Company has various vacant posts below of which...
  9. Anahitajika full technician Certificate/Ordinary Diploma in Civil Engineering

    Kampuni ya Ukandarasi iliyopo mbeya inahitaji. -Full Technician Certificate/Ordinary Diploma in Civil Engineering. -Lazima awe registered na Bodi ya Wahandisi yaan ERB -Ajira ni ya Mkataba wa miezi 4 hadi 6. -Uzoefu miaka mitatu nakuendelea wa kusimamia barabara. -Mshahara kulingana na Maelekezo...
  10. Engineering ghali tokea duniani

    Usije sema labda inaweza kua pyramid mimi sizani Mimi hata siamini kua hii inaweza kua ghali sana! Wengi mnaweza sema pyramid ilikua ghali sini kweli? Labda kwa kuangalia nikwa kiasi gani zimesimama bila kupotea bila kutengenezwa mara kwa mara (services), au, kwa kuangalia kimtizamo kua...
  11. I

    Wakuu nina bachelor degree ya mechanical engineering natafuta kazi

    Wakuu mimi ni kijana wa kitanzania na mwenzenu humu kwa miaka mingi kidogo nina bachelor ya mechanichal engineering pia nipo registered na erb natafuta kazi wakuu associated na fani yangu husika,..kama kuna mkuu yeyote yupo sehemu wanauhitaji huu au anaweza nisaidia natanguliza shukrani nyingi...
  12. R

    Naomba kujuzwa zaidi kuhusu kozi ya Biomedical Engineering

    Habarini Wana jamvi humu ndani. Naomba kuuliza kwa wenye ufuhamu na uelewa zaidi wa hii gani ya Biomedical eng (vifaa tiba) hususani katika swala la àjira zake kwa sasa na badae,je serikali itaweza kuajiri wahitimu kulingana na idadi yao na ukitazama nature hii kozi huwezi fanya tofauti na...
  13. R

    Naomba kujua kuhusu, bachelor of science in electrical engineering katika chuo cha SAUT

    Mwenye uzoefu naomba msaada wa taarifa kuhusu degree ya electrical engineering ya St Augustine University Mwanza .ikoje in terms of uwepo wa wakufunzi waliobobea na coverage ya material yani kwa kimombo tunasema academic rigour, au ndo ile bla bla tu ilimradi watu wamalize? Nafikiria kufanya...
  14. Launch Control (LC) na umuhimu wake (Automotive Engineering)

    Habari zenu wakuu, Kuna kitu ningependa tupeane elimu kwa kiasi chake. Pale nitakapokosea msisite kunielekeza maana mimi pia najifunza hapa kwa wanajamvi na ma injinia mliotukuka humu JF. Launch control system hii husaidia gari ikamate ardhi,inasambaza uzito uwiane katika gari,inasaidia gari...
  15. I

    Nini tofauti ya Software Engineering na Computer Science

    Hivi nini tofauti ya Software Engineering na Computer Science. Je ni fields tofauti au ni the same? Pia kama ni tofauti ipi ni bora zaid kusoma kozi yake?
  16. Nafasi ya kazi NIT, Tutor/ Instructor II in Manufacturing Engineering

    Employer: National Institute of Transport (NIT) Date Published: 18 November, 2019 DUTIES AND RESPONSIBILITIES: Teaches up to NTA level 6 (Ordinary Diploma) and may assist teaching in higher NTA Levels, Conduct tutorials for NTA 7, Assist to carryout Research and consultancy and works, Assists...
  17. O

    One of Tanzania's cargo barges constructed by Kenya's SECO engineering! SECO have been given two orders for the barges construction.

    Pictures of one of the barges undergoing construction in Mombasa! News source: SECO engineering Facebook page.
  18. A Place to Meet, Learn and Create Innovative Products

    Salamu wandugu. Nimeombwa na marafiki ambao wanatafuta kuwekeza kwenye innovation/incubation of ideas and local product development. For artist, technologists, engineers, application developers, etc. The Idea ni kuwa na sehemu ambayo itawapa fursa like-minded people kubadilishana mawazo na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…