Engineering is the use of scientific principles to design and build machines, structures, and other items, including bridges, tunnels, roads, vehicles, and buildings. The discipline of engineering encompasses a broad range of more specialized fields of engineering, each with a more specific emphasis on particular areas of applied mathematics, applied science, and types of application. See glossary of engineering.
The term engineering is derived from the Latin ingenium, meaning "cleverness" and ingeniare, meaning "to contrive, devise".
Ukikaa na kijana wa kiyahudi (Israeli) anachowaza ni kuvumbua, mtoto analelewa tangu mtoto kuwa yeye anaakili sana na anapaswa kuzitumia kuvumbua.
Tuje kwetu kijana anahitimu degree hajaenda field na hajui atafanya kazi gani baada ya kuhitimu na hata ukimwajiri tofauti yake na form four ni...
Wadau samahanini!
Mimi ni graduate engineer hususan mambo ya ujenzi...nilikuwa napenda kujua ili upate nafasi ya seap ndani ya taasisi Fulani inakuwaje?
Msaada tafadhali
wakuu, kuna mdogo wangu ni graduate engineer, amefanya kazi miaka mitano kwenye kampuni ya mambo ya umeme, na sasa anaandika report ya kuwasilisha ERB ili aweze kusajiliwa awe professional engineer. je taratibu ni zipi. kuna mtu anafahamu taratibu zozote?
Habarini! Hapa naomba msaada nahitaji kusomea software engineering hapo DIT.
Maswali yangu:
1.Je inaitaji kombi gani kwamimi sijasoma chemistry nina physical tu?
2.ufaulu kiasi gani?
3.Je ada yake ikoje kwa mwaka?
4.ninaweza anza na diploma moja kwa moja au mpk certificate.
NAWAKILISHA.
Hello wakuu,
Naomba msaada nimehitimu kidato Cha nne kwaka Jana 2020 na kupata grade C flat na nataka niingie college
Je, kati ya course mbili hizi civil na electrical & hydro power engineerings niipi iko marketable hapa Tanzania ngazi ya diploma
Note; Electrical and Hydropower engineering ni...
Discipline: Architecture
1. Position Title: Architecture Designer 2 Posts
Location of Work: Mwanza or Shinyanga
Requirement for Experience: 3 years experience in Architecture relevant work as minimum
Discipline: Electrical
2. Position Title: Power supply Designer 2 Posts
Location of Work...
Habari wadau!
Nilikuwa nataka kujua je board ya wahandisi au engineering (ERB) inaumdwa na watu wangapi na majina yao kama yapo..!
Je yule mzee Dokta wa Civil engineering pale Kilimani mwenye kuingia na camera kama camera man ili ukicheat tu anakupiga picha anaposimamia mithiani yupo kwenye...
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania (Traffic Engineers) eti;
Ni vigezo gani vya kitaalam huzingatiwa na engineers katika kufanya maamuzi ya kufunga "traffic lights" au kuweka "roundabout" kwenye makutano ya barabara za mijini?
(1) Kama...
Habari wana jamii, natafuta ajira yeyote inayohusiana na maswala ya madini.
Elimu yangu ni shahada ya uhandisi wa uchimbaji madini(Bsc Mining Engineering), nimesajiliwa ERB kama graduate engineer, nina uzoefu wa miaka mitatu nimefanya kazi quarry mine na gypsum mine, na uwezo wa kutumia design...
Habari za leo wadau Great Thinkers,
Sasa leo naombeni mnipe mwonozo maana nimechoka kugoogle mimi nimehitimu degree in civil engineering mwaka 2018 na nina GPA ya 3.1 na hapa nina wadau wangu wanaoishi USA na Canada, sasa wamenipa ofa nifanye application nione kama naweza kupata chap USA na...
Position title
Engineering surveyor
Introduction
Tanzania Photomap Limited specializes in Aerial photography, Engineering surveys, Orthophoto /DTM , Line / Vector mapping and hydrographic surveys, the company is based in Moshi, Tanzania.
Tanzania Photomap Limited intends to recruit qualified...
Habarini za leo ndugu na marafiki.
Uzi huu utakua maalumu kwa maswali na majibu, ya science, engineering, accounting na management.
Nimeandaa maswali na majibu mengi tu ambayo yanafaa kwa uma wa Watanzania kwaajili ya kujifunza mambo mbalimbali. Natumai sasa ndugu na marafiki wataweza kupata...
Kiukweli napenda sana kusoma Computer Engineering kutoka moyoni ila sikuweza kusoma sayansi o-level pia sikuweza kupata ufaulu mzuri nilipohitimu kidato cha nne.
Nimepata D - 5 zote za Sanaa. Swali langu naweza nikasoma Computer Engineering baada ya kuhitimu IT ngazi ya cheti.
Wakuu wangu shikamoo zenu.
I'm super excited kwanza.
Mdogo wenu Jombi nimefanikiwa kumaliza Salama degree yangu ya uhandisi. Nakumbuka miaka 4 iliyopita mlinishauri vizuri sana Mdogo wenu kuhusu haya mambo ya shule .
Kwa kuwa na Mimi nimemaliza salama basi nitashare experience yangu ya...
An artists impression of a floating bridge.
The Kenya National Highways Authority (KeNHA) on Sunday, September 13, released an illustratory video of Kenya's first floating bridge under construction at the Likoni Channel.
Dubbed the Likoni Floating Bridge, the mega project is estimated to cost...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.