Engineering is the use of scientific principles to design and build machines, structures, and other items, including bridges, tunnels, roads, vehicles, and buildings. The discipline of engineering encompasses a broad range of more specialized fields of engineering, each with a more specific emphasis on particular areas of applied mathematics, applied science, and types of application. See glossary of engineering.
The term engineering is derived from the Latin ingenium, meaning "cleverness" and ingeniare, meaning "to contrive, devise".
Wakuu nilikuwa naomba kujua kiundani juu ya kozi hii ya electrical and biomedical engineering.
Je, unaposoma cozi hiyo utajishughulisha na ufundi wa vifaa vya tiba au na umeme kwa ujumla.
Ahsanteni
Wakuu nilikuwa naomba kujua kiundani juu ya kozi hii ya electrical and biomedical engineering.
Je, unaposoma cozi hiyo utajishughulisha na ufundi wa vifaa vya tiba au na umeme kwa ujumla.
Ahsanteni
Technical Education in Engineering ni course inakuwa offered hapa chuo cha must Mbeya lakini mtaani haitambuliki marketing yake ni ndogo mno ni ngumu kupata ipo kwa wanafunzi wanaosoma Technical Education tunaomba marketing associations zisaidie wanafunzi wamekata tamaa kabisa.
Yupi ana fursa zaidi za kujiajiri na kuajiriwa kati ya aliyehitimu Bachelor of Science in Chemistry na aliyehitimu Bachelor of Science in Chemical and Process engineering?
Aaah wakuu naomba kusaidiwa katika hili kama Kuna mtu mwenye uelewa juu ya content yenye faida. Nimesoma prospectus zote lakin nimefeli kuelewa ipi ipo Nondo na ipi ipo unga 🙂
Ndomana nime kuja kuomba msaada Kwa wanaojua kuhusu hili...
"Always say less than nessesary"
Nature of offshore geotechnical engineering ni utaalamu unaohusiana na uchunguzi na uhandisi wa vifaa vya ardhi chini ya bahari. Maana yake, inazingatia sifa za ardhi, tabia za udongo, mchanga, na miamba chini ya bahari, pamoja na mazingira ya bahari kama mawimbi, mkondo, na athari za mchanga...
POST LECTURER (MARITIME TRANSPORT/MARINE ENGINEERING)(RE-ADVERTISED) – 1 POST
EMPLOYER DMI
APPLICATION TIMELINE: 2024-04-16 2024-04-29
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i. To teach and conduct seminars up to NTA level 9 (Master Degree);
ii. To guide and supervise students in building...
Habari wandugu,
Je kwa level gani ya Elimu ya Automobile Engineering (namaanisha Certificate, Diploma au ni lazima iwe Bachelor Degree) mtu anaweza kufanya yafuatayo:-
Kufanya Diagnosis, Ku-interpret na ku-analyse data
Engine swapping
ECU Remapping
Electrical system maintainance
Mechanical...
Mimi mdogo wenu nimemaliza kidato cha nne mwaka Jana na ufaulu wangu ni kama ifuatavyo
Phy D math D chemia C Biology C.
Huo ndio ufaul wang na Nia yangu ilikuwa ni kwenda chuo nikasomee mechanical engineering badala ya kwend advance maan combination zinabalance arts na mm Sina Nia ya kusoma arts
Habari wadau wa JF,
Natumai mu wazima. Mimi ndoto yangu ni kuja kusomea uengineer wa ndege ila sina idea sana kuhusu hiyo kozi kwa hapa Tanzania.
Nimejaribu kutafuta ma experts wa io kozi sijapata na pia mitandaoni wanaongelea juu juu. Jivyo nilikua naomba kama kuna mtu anaejua zaidi kuhusu...
Mhandisi wa kompyuta huchanganya uhandisi wa umeme na sayansi ya kompyuta ili kutegeneza teknolojia mpya. Wao hupanga, kujenga, na kuratibu vifaa vya kompyuta katika kompyuta za kisasa.
Wahandisi hawa wanazingatia kuunganisha vifaa(hardware) na programu(software) katika mfumo mmoja...
Wadau mnaendeleaje,
Kijana wangu anapenda ,course ya Aircraft Eng, nilipenda kozi aisomee nje ya nchi hasa canada, Je kuna mtu yeyote anafahamu vyuo vinavyo toa kozi hii na gharama zake ikiwezekana.
Asanteni
Habari wadau?
Najiuliza why board ya uhasibu ina best students kwenye mitihani yao ya kupata CPA
Why Law school haina mambo ya nani best student?
Why ERB haina mambo ya best student?
Habari za wakati huu!! Mimi ni muhitimu wa ngazi ya diploma in Civil Engineering mwaka 2017 pia namalizia masomo yangu ngazi ya Bachelor in Civil Engineering katika chuo cha DIT. Kwa sasa natafuta nafasi ya kazi katika kampuni ama mradi wowote kama Civil Technician au pia hata kufanya kazi za...
Nina dogo langu kamaliza diploma in civil engineering (DIT) mwaka 2022 hapo tu, ana overall GPA ya 2.8, lakini GPA yake ya mwaka wa mwisho ni 3.1.
Sasa swali langu ni kwamba je, TCU wanaangalia overall GPA ya miaka yote mitatu ya diploma aliosoma au ya mwaka wa mwisho?
Maana siku za dirisha...
Salaam WanaJamii.
Naomba kujuzwa zaidi juu ya hii Course;
#Wahitimu ni Waalimu (wa Ngazi gani?)
#Je ni Ma-Engineer (kwa viwango gani)?
#Au ni Walimu na MaEngineer kwa wakati mmoja.
#Wanaweza kufanya Shughuli zipi mtaani na kwenye mataasisi?
Kingine chochote ukijuacho nje ya hivyo unaombwa...
Habari ndugu zangu,
Wenye ujuzi hapo juu naombeni kufahamu niende kozi ipi kati ya hizo mbele hasa yenye ajira na ujira kwa nchi yetu hii.
Nitashukru kama nitapata ufafanuzi mzuri
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.