england

  1. S

    Chaneli gani ya DSTV inaonesha Championship ya England?

    Uzi tayari
  2. JanguKamaJangu

    FA yamuwania Guardiola kuinoa Timu ya Taifa ya England

    Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola anatajwa na vyanzo mbalimbali kuwa yupo kwenye listi ya makocha wanaowaniwa na Chama cha Soka cha England (FA) kuinoa timu ya Taifa hilo. Uamuzi huo unaweza kuchukuliwa kwa kuwa kocha wa muda, Lee Carsley amejulishwa hatapewa ajira ya uhakika kuendelea...
  3. comte

    Hili ni sahihi kweli kwamba England haina katiba

    mwenye ufahamu anisaidie?
  4. Lady Whistledown

    Kocha wa Timu ya Taifa ya England ajiuzulu

    Gareth Southgate ametangaza rasmi kujiuzulu kwake kama meneja wa timu ya taifa ya England baada ya kuwa madarakani kwa karibu miaka minane. Southgate, ambaye alianza kazi yake mwaka 2016, ameiongoza England hadi fainali ya Euro 2024 na nusu fainali ya Kombe la Dunia la 2018. Shirikisho la...
  5. Dr Restart

    UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

    Naam, ni Hakika! Wakati ligi mbalimbali duniani zikielekea ukingoni, mashabiki kote duniani wanatarajia kwa hamu kuanza kwa tukio kubwa zaidi la soka barani Ulaya, UEFA EURO 2024. Mashindano haya ya kusisimua, yanayofanyika mara moja kila baada ya miaka minne, yataanza kutimua vumbi Ijumaa...
  6. Eli Cohen

    England waki "line up" hivi wanaweza chukua kombe la EURO

    1: Pickford 2: Walker 4: Branthwaite 5: Stones 3: Shaw 6: Rice 8: Mainoo 10: Bellingham 7: Saka 11: Foden 9: Kane
  7. J

    Here are the top players who picked England over Ghana

    Kobbie Mainoo has chosen to represent England over Ghana. But he's not the only Ghanaian to opt for the Three Lions. See also Biography of Andy Penn: Early life, education, career and family
  8. 2 of Amerikaz most wanted

    Garwth Southgate has named his England squad for the games against Brazil and Belgium

    Southgate : "Ben white didn't want to be selected and it's great shame he's player I really like"
  9. JanguKamaJangu

    Takwimu za Ligi Kuu ya England “Premier League” hadi Februari 12, 2024

    Ligi Kuu ya England “Premier League” msimu wa 2023/24 inaendelea, ilianza Agosti 11, 2023 na inatarajiwa kufika tamati Mei 19, 2024. Mechi ambayo hadi sasa ilishuhudiwa na mashabiki wengi uwanjani ni Manchester United 3-0 West Ham United (73,612), iliyoshuhudiwa na mashabiki wachache zaidi...
  10. Jaji Mfawidhi

    Wachezaji England kuanza sex kabla ya 18 ni sawa? Je, Tanzania nako ndivyo ilivyo?

    Kinda wa Manchester united Daniel Gore, kazaliwa 2004 ila anapeleka moto balaa. Garnacho ndio anaingia 20 years! Je, Tanganyika wachezaji wanwaka wazi wanawake zao?[siyo wake]. Je, utamaduni wa wanawake wa wachezaji wa Tanganyika, kama inavyosemekana kuzungukana ndio inafanya waone aibu...
  11. Erythrocyte

    TANZIA Kocha wa zamani wa England Terry Venables afariki

    Taarifa kutoka SkySports imethibitisha ======= Terry Venables was the man at the helm for England's unforgettable run at Euro 96; Former QPR, Tottenham and Barcelona manager died aged 80; Gary Lineker hails him as the "best, most innovative coach" Sunday 26...
  12. BARD AI

    TANZIA Mchezaji wa zamani wa England na Man United, Sir Bobby Charlton afariki dunia

    Mchezaji huyo mkongwe amewahi kuisadia Timu ya Taifa ya England kwa kucheza Mechi 106 na kufunga Magoli 49, pia alicheza michezo 758 na kufunga Magoli 249 katika kipindi cha miaka 17 akiwa mchezaji wa Manchester United, akishinda Kombe la Europa, Mataji 3 ya Ligi na Kombe la FA Baada ya...
  13. JanguKamaJangu

    England: Kimenuka, baada ya kuwekwa benchi, Jadon Sancho amjia juu kocha wake hadharani

    Winga Jadon Sancho amedai sio kweli kuwa amekuwa hapati nafasi ya kucheza kwenye kikosi cha Manchester United kwa sababu hajaonesha kiwango kizuri kama kocha wake, Erik ten Hag alivyodai bali hivyo ni visingizio dhidi yake. Kabla ya kupoteza kwa magoli 3-1 dhidi ya Arsenal, Ten Hag alisema...
  14. JanguKamaJangu

    England: De Bruyne aumia, kuwa nje kwa wiki kadhaa

    Kevin De Bruyne amepata majeraha ya nyama za oaja wakati timu yake ya Manchester City ikishinda magoli 3-0 dhidi ya Burnley katika mchezo wa kwanza wa Premier League. Kocha wa City, Pep Guardiola amesema madaktari watamfanyia vipimo De Bruyne kujua ukubwa wa tatizo lakini kuna uwezekano atakuwa...
  15. T

    Je, inawezekana Waziri pale Uingereza kusafiri na timu ya mpira kama Man UTD au Man City au ni hapa kwetu tu?

    Imenishangaza sana kuona waziri mzima wa michezo badala ya kuwa bize kushughulikia sera ili ziinue michezo kuhakikisha taifa letu linag'ara kimichezo badala yake anazurula na ndege hadi Algeria. Nadhani tuna tatizo kubwa sana linalopelekea tuwe na safari ndefu la kuinua michezo kama watungaji...
  16. Thailand

    Ushauri kuhusu kusoma England

    Habarini ndugu, Namshukuru Mungu niliomba chuo kipo England (Norwich city) kinaitwa University of East Anglia (UEA) course niliyo kubaliwa Masters of science in Economics and Data science kwa mwaka mmoja. Napenda sana hizo mambo za uchumi, changamoto nimepata ufadhili pound £4000 ila...
  17. JanguKamaJangu

    England: Leicester City yamfukuza Brendan Rodgers

    Uamuzi huo umefikiwa baada ya kocha huyo kushuhudia timu yake ikifungwa mechi ya 5 kati ya 6 zilizopita za Premier League. Rodgers aliyeteuliwa kuifundisha timu hiyo FebruarI 2019 na kuiongoza kutwaa Kombe la FA Mwaka 2021. Mwenyekiti wa Leicester City, Aiyawatt Srivaddhanaprabha amesema...
  18. Frumence M Kyauke

    Uume wa bandia uliotumika na watu wa kale wagundulika Uingereza

    Uume wa bandia uliotumika na watu wa kale wagundulika huko Uingereza. Umetengenezwa kwa mbao. Wataalam wa mambo ya kale wanasema ulitumika katika karne ya pili. Wataalam wanasema ulikuwa unatumiwa na wanawake kama dildo. Dildo hilo lina urefu wa sentimita 16, kwa kawaida uume wa binadamu...
  19. The Assassin

    Kanisa la Anglican la Uingereza (Church of England) linajadili kutumia maneno yanayomhusu Mungu yasiyowakilisha jinsia yoyote (gender neutral terms)

    Kanisa la Anglican linajadili uwezekano wa kutokutumia jinsia pale unapotaja Mungu. Yaani mungu sio baba ama mama. Lengo la kufanya hivyo ni kuhakikisha kwamba dini inaendana na muda na wakati wa sasa na dini inakua jumuishi. Dini kua jumuishi ama inclusive ni kutambua haki za mashoga na watu...
  20. mdukuzi

    Mliowahi kuishi Uingereza ni kweli ile nchi ina masikini wengi?

    Nimestaafu mwezi uliopita Nasubiri kiinua mgongo changu kama milioni kadhaa. Napenda sana mpira nikiangalua EPL napata wazimu. Natamani nikaishi England nifie huko Kinachonishangaza kuna uzi wa magari ulikuja humu jamaa anauliza kwa nini waingereza hawanunui magari ya landrover na range,kuna...
Back
Top Bottom