Hawa TBC sio watu wa michezo hawa ni wa kupamba na kusifia serikali na ndio sehemu pekee waliyofanikiwa hadi sasa.
Tamaa na ukiritimba imepelekea kutuhadaa watanzania kuwa wataonyesha mechi za kombe la dunia cha ajabu game inaonyeshwa moja moja tena wakati ambao umeme haupo.
TBC ni wahuni tu...
Huu ndio utabiri wangu kwa mechi baina ya Senagal na England inayoanza muda mfupi ujao.
Makartatasi yanaipa nafasi England, ila leo kibao kitageuka licha ya timu za Afrika mara nyingi kupoteza katika mashindano haya zinapocheza na timu kutoka mabara menginre.
Huu uzi ni mahususi kwa ajili ya matukio yote yanayoihusu timu ya mpira wa Miguu ya Uingereza.
Timu hii inajulikana kwa jina la Utani la Three Lions, yaani Simba Watatu. Jina hili limechochewa zaidi na nembo ya timu hiyo yenye alama ya Simba watatu (tazama picha)
Timu hii ipo chini ya...
Habari, kama kichwa kinavyojieleza! Mwaka huu bingwa wa Komne la Dunia ni Uingereza kwa vigezo hivi viwili vya kiimani;
1. Mara nyingi bingwa wa Euro au mshindi wa pili wa Euro huwa anachukuwa Kombe la Dunia linalofuata.
NB: Siyo mara zote.
2. Ukifuata mtiririko huu wa waliochukuwa kombe...
Wadau soon tu Kombe la Dunia linaenda kuanza,, je Nani atachukua? Kuna Wadau wanasema mshindi wa michuano ya EURO huwa wanafanyaga vizuri!! Well inawezekana, Euro ya mwaka juziii ule ufaransa alifika fainal, Portugal anachukua kibahati tu, kwenye Kombe la Dunia 2018 , France anachukua Ndoo...
RIPOTI kutoka Ubelgiji zinamhusisha mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania na nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta ‘Samagoal’ kutua Cardiff City ya Ligi Daraja la Kwanza England ‘Championship’.
Mshambulizi huyo mwenye umri wa miaka 29 ameonyeshewa malango wa kutokea huko Uturuki kwenye klabu...
Pazia la Ligi Kuu England msimu wa 2022/23 litafunguliwa Agosti 5, 2022 ambapo Crystal Palace itavaana na Arsenal kabla ya Manchester City kuanza kutetea taji hilo Agosti 7 dhidi ya West Ham
Chelsea itaanza mbio zake za kuwania Ubingwa dhidi ya Everton mnamo Agosti 6 na Kocha Erik ten Hag wa...
Kocha aliyeshindwa kuinoa Manchester united mnoshki ole ameitwa kwenye ligi hiyo pendwa ulimwenguni. Timu mojawapo iliyotajwa kutaka huduma yake ni Burnley ya nchini humo. Vile vile baadhi ya timu za Hispania ikiwa ni pamoja na Valencia zinamuhitaji mnorway huyo awape huduma.inasadikika kwamba...
Prostitutes and sex in Medieval England.
(Some of our new followers may have missed this post).
.If you are easily offended then perhaps best to give this one a miss.
“As for you, be fruitful and multiply; populate the earth abundantly and multiply in it .…” Genesis 9:7.
Prostitution is one...
Emir of Katsina Muhammadu Dikko (1865 - 1944) emerged from Midland Hotel barefooted shortly after his arrival in England on June 5, 1921. Behind the emir was his young son and successor, Usman Nagogo. The emir had audience with King George V on June 11 before he proceeded to Mecca for Hajj.
King George VI became king on this day in 1936. This photograph, depicting the new king with Queen Elizabeth and their young daughters Princess Elizabeth and Princess Margaret, was taken by Marcus Adams just four days after the accession and was intended to meet the demand for images of the...
Habari za asubuhi wakuu naamini mmeamka salama kabisa.
Ninaomba msaada namna nitakavyo weza kupata visa ya kwenda kwa Malkia ni process zipi nizifuate na pia gharama inaweza kuwa shilingi ngapi? Na nyaraka zipi niziandae kwajili ya hili zoezi na mda gani inaweza kukamilika.
Prince Alemayehu of Ethiopia ("abducted /stolen /taken by Britain) with his guardian Speedy, 1868
🇪🇹 🇬🇧
For 150 years, Ethiopians have been asking when Prince Alemayehu will come home. The orphan prince, a descendant of Solomon, was taken to England – some say “stolen” – after British...
August 1, 1192 - While Saladin's large army is besieging the crusader city of Jaffa, Richard the Lionheart arrives off the coast with a small force of knights and crossbowmen. Initially, Richard's men are disheartened, for Saladin's flags are already flying over Jaffa's walls. Most of the city...
Wakati mashabiki wakiwatuliza wachezaji chipukizi waliopoteza penati zao na kusababisha England ishindwe kuondoa nuksi ya miaka 55 ya ukame wa vikombe, Gary Naville amemtaka winga wa Arsenal, Bukayo Saka kutembea kichwa juu licha ya kushindwa kufunga penati muhimu ya tano dhidi ya Italia.
Saka...
Chama cha Soka cha Ulaya (Uefa) kimeishtaki England baada ya mashabiki wake kummulika usoni kipa wa Denmark, Kasper Schmeichel kwa tochi yenye mwanga mkali wakati wa mechi ya nusu fainali ya michuano ya Mataifa ya Ulaya (Euro 2020) iliyoisha kwa taifa hilo kuibuka na ushindi.
Picha...
MWAKA 1939, Elizabeth alikuwa binti mwenye umri wa miaka 13. Urembo wake haukuwa na kificho. Mwaka huo, Philip alikuwa kijana barubaru, umri wake tayari ulishatimia miaka 18. Ndipo wakakutana. Binti wa miaka 13 akaangukia kwenye penzi la kijana mwenye miaka 18.
Elizabeth na Philip wakawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.