Hata mlete watoto 1000 kutoka bonyokwa wanaopiga ung'eng'e kama wa Scotland, siwezi mtoa mtoto English Elementary eti nipeleke Kayumba
Hao wenyewe waliomuandaa afike pale apige kiingereza mbele ya hadhara jana, watoto wao wapo elementary πππ
Moderator mbona mnaweka heading ambayo mimi...
Wazazi wengi wanahangaika kupeleka watoto olimpio tu. Huku wanaishi mbali na mjini.
Hizi ni baadhi ya shule za msingi za serikali zilizobadilishwa kuwa english medium.
Ambazo sijazitaja , sizijui naomba wengine mzitaje ili wote tuzijue
1. Chang'ombe Duce primary school ipo ndani ya Duce...