"Mwalimu wetu hapendi keleleee,
Anapenda nyimbo na vigelegelee,
Akivaa kanga inamzuzua,
Akivaa kitenge mawingu na mvua"
"Naweza kuhesabu namba,12345678910,
Vidole vya mikono yangu jumla yake 10,
Huku 5 na kule 5 jumla yake 10..
Huwa nikikumbuka nilipotoka,enzi zile utotoni mpaka sasa...