epuka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Candela

    Hamna tatizo la nguvu za kiume, epuka kutapeliwa

    Wadau naandika uzi huu kutokana na uzoefu wangu binafsi wa muda mrefu. Suala la nguvu za kiume linategemea sana na aina ya mwanamke unaelala nae kama anakupa mizuka au lah, Point zangu ziko hivi. Kwa muda mrefu nina mpenzi ambae nakuwa nae muda mwingi. Huyu mpenzi ana mazoea kwa hiyo hatunaga...
  2. R

    Niliuziwa pasi feki ya phillips kwa shilingi elfu 45, epuka haya kuuziwa mbuzi kwenye gunia

    Mwezi uliopita nilienda kutafuta pasi dukani, pasi yangu pendwa ni PHILLIPS, nilipoambiwa bei ni elfu 45 nikawa na imani kitu nachonunua ni original kumbe nimuziwa chambi, nashukuru alieniuzia ni mwelewa alinitafutia nyingine duka lingine Nafika nyumbani nikalinganisha pasi yangu ya zamani na...
  3. RIGHT MARKER

    Epuka kuweka vifaa vya kuwasha na kuwaka moto karibu na watoto

    Mhadhara (82)✍️ CHUKUA TAHADHALI KABLA YA HATARI. Watoto wa sikuhizi ni watundu sana, hivyo katika uzi huu tunakumbushana mambo madogo ambayo yanaweza kusababisha madhara makubwa ndani kwako. Wale wavuta sigara mnaotumia viberiti vya aina mbalimbali kwa ajili ya kuwashia sigara zenu. Wamama...
  4. F

    Epuka jinsi uwezavyo kuweka tatoo mwilini mwako

    Kadiri uwezavyo nakushauri kijana epuka sana kuchora tatoo katika mwili wako. Kuna mambo mengi yamejificha nyuma ya uchoraji wa tatoo katika mwili wa binadamu. Tatoo hata kama unachora tatoo ya msalaba au kitu unachofikiri ni kitakatifu, ulichofanya ni kitu kibaya na hakitakuacha salama. Tatoo...
  5. Econometrician

    Mbowe epuka makosa haya kukinisuru CHADEMA

    Wakuu habari ya muda. Kuna msemo kuwa Duniani hakuna jipya mengi yamisha fanyika ni muda tu ndio unafanya tuone mapya. Tutakumbuka hili swala la Lissu linaendana kabisa na issue ya Seif Sharif Hamad alipokuwa CUF.Ni ukweli ambao haukipingika kuwa CUF ilikufa baada ya Seif Sharif Hamad...
  6. mlinzi mlalafofofo

    Simamia mwenyewe kazi zako muhimu na epuka kufanya kazi kwa simu

    Miaka fulani uko nyuma nikiwa mkoani kwangu nilishuhudia uwanja mkubwa ulio jirani yetu ukisafishwa na bdae palifanyika ujenzi matata kabisa mahala pale. Kwa harakati zilizokuwa zinaonekana pale ni wazi walikuwa wanajenga kitu kikubwa sana km hoteli kubwa au kitu kinachofanana na hicho. Kwa...
  7. Mshamba wa kusini

    Kama unataka kupata ajira wekeza muda mwingi katika utafutaji ajira epuka biashara itakayokula muda wako

    Habari Hopefully wote mko salama. Leo nipo hapa kushare nanyi research yangu niliyoifanya baada ya kumaliza chuo na kuwa jobless kwa miaka kadhaa. Muda namaliza chuo mpaka napata ajira ya kudumu kuna kitu nimejifunza sana ambacho ningependa kushare na wahitimu mbalimbali wanaotafuta ajira...
  8. S

    Oa au Olewa na MCHA MUNGU na siyo MCHA DINI. Epuka matapeli

    MCHA MUNGU na MCHA DINI NI watu wawili tofauti. MCHA MUNGU anaishi kwa kumtii Mungu moyoni mwake tena kwa hiyari bila shurti lakini MCHA DINI anaishi kwa kuwatii viongozi wa dini yake zikiwemo sheria walizozitunga kwa ajili yake! MCHA MUNGU anatambua fika kwamba kila alitendalo liwe la Siri au...
  9. Man Middo tz

    My sister chrismass inakujà Epuka huu mtego

    My sister, Mpenzi wako atakufanyia visa ili ukasirike hivi karibuni, Lakini usije ukagombana nae, ni mtego huo. Krismasi ipo karibu, dada. Siri ya kambi
  10. mamma herbs

    FIBROIDS (uvimbe kwenye kizazi)

    Epuka kutumia mitishamba yenye athari kali bila ushauri wa kitaalamu. Tumia kwa kiwango kilichopendekezwa, kwani matumizi kupita kiasi yanaweza kusababisha madhara mengine. Hakikisha kupata ushauri wa daktari kwa sababu baadhi ya mitishamba inaweza kuathiri dawa unazotumia au hali yako ya...
  11. Cecil J

    Utandawazi usikuharibu, Epuka mahusiano na binti au vijana wa shule! Jela kupo na vyumba vya cell za polisi vinahitaji watu.

    Habari wana Jamiiforums. Ni matumaini yangu muwazima wa afya! Naomba niende moja kwa moja kwenye mada, miaka ya hivi karibuni kutokana na ukuaji wa Teknolojia ya habari na Mawasiliano taarifa nyingi za mahusiano baina ya wanafunzi na walimu au hata watu wengine tu ambao si walimu zinafika...
  12. Mende mdudu

    Mwanaume, fanya hivi kuepuka kuchunwa

    Kumekua na janga kubwa la wanaume si vijana kwa wazee kuchunwa, kutumia pesa nyingi kwa mwanamke bila manufaa yoyote na lengo kuu la mwanamke huyo ni kutumia pesa au mali zako na mwisho wa lengo lake anakuacha na msongo wa mawazo na pressure. Kuepuka kutumika na mwanamke fanya yafuatayo * Weka...
  13. REM GROUP

    SOFTWARE SOFTWARE : Simamia Biashara Yako / Fuatilia Stock, Mauzo, Matumizi na Faida / Epuka Udanganyifu

    Kwa usahihi na usalama: Fuatilia stock, mauzo, matumizi na faida. Simamia biashara yako popote ulipo! Hakuna kuumiza kichwa. Pata kila kitu unachohitaji kwa ujasiri kuendesha Biashara yako. Mfumo wetu huu unauwezo wa kufuatilia na kurecord Mauzo, Faida Hasara, Kodi, Mfumo wa Mauzo yani POS...
  14. Hypersonic WMD

    Epuka kuwambia watu huna kazi au huna mchongo! Hutapata wa kukukopesha wala kukusaidia

    Wakuu Ukiulizwa unapiga mishe gani we wambie watu unapga kazi fulani. Usiwambie sina kazi wanaanza kukuepuka Kumbuka kua 1.Kila mtu anahitaji mchongo 2.Kila mtu anahitaji connection 3.kila mtu anajisogeza kwa mwenye uafadhari 4.Kila mtu anataka ajuane na mtu mwenye msaada hata kwa baadae 5.Kila...
  15. Natafuta Ajira

    Epuka kuwa na circle kubwa ya wanawake

    Kadiri unavyokua na idadi kubwa ya wanawake kwenye circle yako iwe kimapenzi au kirafiki ndivyo unavyojiandalia maisha ya kuishia kwenye umasikini. For every 10 women you attract into your life only one genuine woman might respect and value you, other nine just want a piece of your success...
  16. G

    Nguvu ya wachache walioweza kufanikiwa sehemu ngumu inafanya wengi wawe masikini, epuka huo mkumbo !! fanya kitu cha uhakika vingine weka plan b

    Bakhresa, GSM, Mo Dewji na wafanyabiashara wachache hapa Tanzania wamechana msamba, ni ndoto za abunuwasi kudhani unaweza fika hapo kwa kuacha kitu cha uhakika unachoweza fanya bila backup plan, connections, resources, n.k. utashangaa mtu anaacha kazi na hajawahi kufanya biashara eti hakuna...
  17. G

    Unawaza mnunue kiwanja mjenge mwenzako anawaza anunue kabati amtuze shoga yake kwenye shughuli, Epuka hizi type kama unajitafuta, utazeekea magetoni.

    Unamkuta binti mrembo ana shape, sura, n.k. lakini afya ya akili za kimaendeleo ni F yenye resit, epukana nao kama unajitafuta. Unamweka ndani mpo kwenye maisha ya chumba na sebule unawaza hela uliyopata kwenye mishe utafute kiwanja mjenge yeye anawaza na anaweza hata kuiba hizo pesa aende...
  18. W

    Epuka kupakua Application nje ya 'Play Store' na 'App Store'

    Hakikisha unapakua Application kutumia 'Play Store' na 'App Store' Kupakua 'Application' nje ya Play Store na App Store: - Kunaweza kusababisha "virus" kwenye vifaa vyako kama Kompyuta na simu - Kusababisha kudukuliwa kwa vifaa vyako Kupakua 'Application' nje ya Play Store na App Store...
  19. U

    Ndugu zangu ushauri wa bure, ukitaka kwenda morogoro tafadhali panda treni SGR usipande bus. Epuka usumbufu

    Wadau hamjamboni nyote? Usumbufu niliopata Leo nikienda Morogoro nimejuta kupanda bus Sitarajii kutumia tena usafiri huo nikienda Morogoro au Dodoma Panda treni usipoteze muda wako kupanda bus labda kama unao muda wa kupoteza. Mchana mwema
  20. A

    Msafiri epuka kupitia Nairobi/JKIA maandamano hadi airport?

    Gen Z wamepanga kuvamia sehemu tofaut tofauti ikiwemo Airport ya Nairobi/JKIA kama njia ya kushinikiza matakwa Yao, Hivyo kama unapanga safari fikiria mara mbili. Usije kujuta ugenini. https://nation.africa/kenya/news/-cabinet-tuesday-youths-plan-new-round-of-protests-ruto-4696998
Back
Top Bottom