erdogan

  1. J

    Recep Tayyip Erdoğan wa Turkey, tamaa yake ya kurudisha Ottoman Empire huenda ikamgharimu

    Kwa wale msiojua Rais wa Turkey Recep Tayyip Erdoğan ni Islamist kindakindaki. Kwa sasa Rais huyo kupitia chama chake cha Adalet ve Kalkınma Partisi, (AK Parti) ni muumini mkubwa wa Muslim brotherhood na hapo ndipo wanapokutana na Serikali ya Qatar ambayo ndiyo mfadhili mkubwa wa mbinu zote...
  2. Webabu

    Erdogan adhiihirisha tena si mtu wa kumtegemea,Anafanya kinyume na anavyotangaza

    Rais wa Uturuki katikati ya vita vya Gaza alitangaza ataingia Israel ili kuizuia Israel isiendelee kuwaua wapalestina, Hilo jambo hakulifanya kamwe. Anachokifanya sasa kuwapa silaha waasi na mamluki wa Marekani ili kumpinuda Bashar Al Assad ni msaada mkubwa kwa Israel ambaye imechanganyikiwa...
  3. Eli Cohen

    Watu kadhaa wameuawa katika shambulio la kigaidi dhidi ya Shirika la Viwanda vya Anga la Uturuki

    Pole kwa wahanga wa ugaidi huu nchini Turkey ulioacha baadhi ya watu kufariki. Several killed in a terrorist attack against Turkish Aerospace Industries (TAI) in Kahramankazan, Ankara
  4. Webabu

    Erdogan ahimiza umoja wa waislamu duniani kupambana na Israel.

    Kwa mara nyengine tena raisi wa Uturuki ,Tayyib Erdogan amekuja na pendekezo la kupambana na Israel ili kuwatetea wapalestina na kujikinga na hatari za kujitanua kwa Israel kwenye maeneo ya waislamu. Pendekezo hilo amelitoa hapo juzi kwenye hafla ya shule moja ya kiislamu nje kidogo ya jiji la...
  5. Webabu

    Erdogan asema Uturuki sasa kuingia Israel kuwasaidia Wapalestina

    Rais wa Uturuki ndugu Tayeb Erdogan amesema nchi yake inakusudia kuingia ndani ya Israel kuwasaidia wapalestina wanaouliwa na Israel. Hayo aliyasema kwenye mji aliozaliwa wa Rize wakari akizungumza na wanachama wa chama chake cha AK chenye kufuata mrengo wa dini ya kiislamu. Akifafanua kusudio...
  6. George Betram

    Erdogan azitaka nchi za kiislamu kuungana dhidi ya taifa la Israel

    Raisi wa Uturuki povu limemtoka, anataka mataifa ya Kiislamu yaungane dhidi ya taifa la Israel. Mimi naona huyu jamaa ni mnafiki kama wanafiki wengine.
  7. Webabu

    Nchi za kiarabu zaizuia Marekani kutumia ardhi zao kupigana na Houth huku Erdogan aungana na Elsisi kuionya Israel isiendelee kupiga Rafah

    Nchi kadhaa za kiarabu zimeanza kuingia akili kwa kukataa kuachia Marekani kutumia ardhi zao kuanzisha mashambulizi dhidi ya wanamgambo wa Houth wa Yemen.Hatua hiyo itaifanya Marekani kushindwa kuwazuia Houth na itakuwa ni msaada wa nchi hizo kwa Palestina. Nchi hizo ni zile ambazo zimekuwa...
  8. Webabu

    Rais Erdogan wa Uturuki aiambia Israel sitisha vita. El Sisi wa Misri aiambia ifungue mpaka

    Hali ndani ya Gaza imeelezwa kuwa ni balaa na machafuko huku majeshi ya Israel yakiwa yameingia kikamilifu eneo hilo na askari wa IDF wakipigana na watu mpaka kwenye kambi za wakimbizi. Katika hali ya machafuko kiasi hicho raisi wa Uturuki ameiambia Israel isitishe vita mara moja. Raisi wa...
  9. Webabu

    Erdogan anaongoza kwa kuwa Rais Ndumilakuwili duniani

    Mimi naiheshimu sana nchi ya Uturuki ambako nimekaa kidogo na kuwa ni taifa lenye historia muhimu kwetu waislamu.Zaidi ya hivyo ni nchi yenye kujali sana kuwaendeleza watu wake.Hata ukisikia uchumi umeyumba usidhani ni kama kuyumba kwa uchumi wa nchi zetu za kiafrika. Ukisikia hivyo basi ukiwa...
  10. benzemah

    Rais Samia ampongeza Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdoğan kwa Kuchaguliwa Tena

    Kupitia ukurasa wa mtandao wa Twitter, Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametoa salamu za pongezi kwa Rais Recep Tayyip Erdoğan kwa kuchaguliwa tena kuendelea kuwa Rais wa Uturuki. Ameandika: "Pongezi za dhati kwa Mheshimiwa Rais Recep Tayyip Erdoğan, kwa kuchaguliwa tena kuendelea kuwa...
  11. Herbalist Dr MziziMkavu

    Hawezi shindwa: Erdogan achaguliwa kama Rais wa Uturuki kwa mara nyingine tena

    Baraza Kuu la Uchaguzi nchini humo (YSK) litatangaza matokeo ya mwisho na rasmi ya ushindi wa Erdogan mnamo Juni 1. REUTERS/Murad Sezer Duru ya pili ya uchaguzi Jumapili ilikuwa ya kwanza katika historia ya nchi kwani hakuna mgombea hata mmoja aliyepata kura za lazima za asilimia 50 katika...
  12. Herbalist Dr MziziMkavu

    Taarifa za moja kwa moja: Erdogan atangaza ushindi katika uchaguzi wa marudio Uturuki

    Jumla ya masanduku 191,885 ya kupigia kura yameundwa kwa ajili ya wapiga kura nchini. / Picha: TRT World Rais wa sasa wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan ametangaza ushindi katika duru ya pili ya uchaguzi wa rais. Akiwahutubia wafuasi wake jijini Istanbul siku ya Jumapili, Erdogan alisema Uturuki...
  13. Mpinzire

    Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdoğan, amepatwa na mshtuko wa moyo

    Hali ya Rais wa nchi ya Uturuki Recep Tayyip Erdoğan amegua gafla na kukimbizwa Hospital baada ya kupata mshtuko wa moyo akiwa akijindaa kwenda kwenye mahojiano na kituo kimoja wapo cha Television nchini mwao. Uturuki inatarajiwa kufanya uchaguzi May 14, 2023 ambapo Rais wa Uturuki Edogan...
  14. HERY HERNHO

    Erdogan amshukuru Putin kwa kurefusha mkataba wa nafaka

    Rais wa Uturuki, RecepTayyip Erdogan amefanya mazungumzo na Rais wa Urusi Vladmir Putin na kujadili namna ya kuboresha mahusiano kati ya mataifa yao Katika mazungumzo yao ya Jumamosi, yaliyofanyika kwa njia ya simu, viongozi hao wamejadili pia juu ya yanayoendelea katika vita nchini Ukraine...
  15. Shujaa Mwendazake

    Uturuki na Urusi wakubaliana kupeleka nafaka bila malipo kwa nchi Masikini - Erdogan

    Wapokeaji watakuwa nchi maskini kama vile Djibouti, Somalia, na Sudan, Ankara inasema Marais wa Urusi na Türkiye walikubaliana katika simu ya hivi majuzi kuhusu kutuma nafaka kwa mataifa maskini zaidi duniani bila malipo, kiongozi wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan, amefichua. Alisema hayo...
  16. 5

    Rais Erdogan wa Uturuki: Putin yuko tayari kumaliza vita

    Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amesema anaamini kuwa mwenzake wa Urusi anatafuta njia ya kukomesha vita alivyoanzisha Ukraine, na kwamba "hatua muhimu" itachukuliwa. Alisema mtazamo wake kutokana na mazungumzo ya hivi majuzi na Vladimir Putin ni kwamba alitaka "kumaliza mzozo huu haraka...
  17. MakinikiA

    Katika watu ambao siwaelewi ni Rais wa Uturuki, ni Ndumila kuwili hivi...

    Istanbul, Turkey – Turkish President Recep Tayyip Erdogan will meet his Russian counterpart on Friday in Sochi, after brokering a grain shipment deal between Moscow and Kyiv and as a new Turkish military intervention in Syria remains a possibility. The summit with Vladimir Putin comes in the...
  18. N

    Naomba kumfahamu Reccep Tayyip Erdogan na Uturuki kwa ujumla

    Nilikuwa namchukulia mwepesi kwa wakubwa wa ulaya kama Romania au Estonia tu. Ila naona kama inabidi nimtafakari mara mbili mbili; Alipinduliwa na ghafla mapinduzi yakazimwa, walioshiriki wote wamesakwa jeshini na wameshakamatwa. Alifika mpaka tz huyu mtu, sijui alimwambia nn jpm lakini...
  19. Analogia Malenga

    Turkey’s Erdogan rejects interior minister’s resignation after last-minute curfew announcement triggers chaos

    Turkish President Recep Tayyip Erdogan has rejected resignation of his interior minister after the latter took responsibility for mass panic that saw thousands swarming shops across Turkey ahead of a 48-hour curfew. "The minister submitted his resignation to the President and the President has...
  20. MZK

    Mazungumzo kati ya rais Putin na Erdoğan baada ya shambulizi la Idlib

    Rais wa Urusi Azungumza na rais Erdoğan kufuatia shambulizi dhidi ya jeshi la Uturuki na kusababisha maafa. Urusi na Uturuki zavunja ukimya baada ya shambulizi lililowalenga wanajeshi wa Uturuki Idlib na kupelekea vifo vya askari 33 wa Uturuki. Waziri wa Urusi wa mambo ya je Sergey Lavrov...
Back
Top Bottom