ester matiko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Ester Matiko achukua fomu ya ubunge kuomba ridhaa ya CCM jimbo la Tarime Mjini

    Aliyekuwa kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Ester Matiko amechukua fomu ya kuwania kugombea ubunge katika Jimbo la Tarime Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM). Soma,pia: Esther Matiko sasa ni mwanachama wa CCM
  2. JamiiForums Tanzania Matiko atimkia CCM, achukua fomu kuwania ubunge jimbo la Tarime mjini

    Mbunge wa Viti Maalum, Esther Matiko leo Jumapili Juni 29, 2025 ametangaza kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) na kuchukua fomu ya kugombea ubunge Jimbo la Tarime Mjini. Endapo atafanikiwa kupitishwa na CCM na kufanikiwa kushinda uchaguzi, hii itakuwa ni mara ya pili kuongoza jimbo hilo...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kumbe hii Simba jike ya CHADEMA ni Simba kweli kweli, Pengo la Halima Mdee sasa limepata mzibaji

    https://youtu.be/3F8yBt6lrOY?si=stTHOPf0ioqfr114 Huyu dada ndio mtu pekee anaweza kuziba pengo la Halima Mdee pale BAWACHA. CHADEMA itumieni vizuri hii tunu mliyopewa na Mungu, Dada anaujasiri kama wa Simba na amenyooka kama Lissu Tofauti ya Mdee na Simba ni majina tu hakika CHADEMA inahazina...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…