GE2025 Ester Matiko achukua fomu ya ubunge kuomba ridhaa ya CCM jimbo la Tarime Mjini

GE2025 Ester Matiko achukua fomu ya ubunge kuomba ridhaa ya CCM jimbo la Tarime Mjini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Aliyekuwa kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Ester Matiko amechukua fomu ya kuwania kugombea ubunge katika Jimbo la Tarime Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).

Soma,pia: Esther Matiko sasa ni mwanachama wa CCM
1751375041232.png
 
Aliyekua kada wa chadema
Hapo mnamaanisha nini, chadema alikwishafukuzwa long long time ago, semeni tu kada wa ssm
 
Sasa anagombea kama covid 19 au kama mwanachama wa ccm???
 
Aliyekua kada wa chadema
Hapo mnamaanisha nini, chadema alikwishafukuzwa long long time ago, semeni tu kada wa ssm

mkuu kwani hakuwahi kuwa kada wa Chadema? mbona muna makasiriko kiasi hicho?
 
Back
Top Bottom