Mbunge wa Bunda Mjini, Esther Bulaya amesema tathmini imeanza kufanyika kubaini kiwango cha athari kwa wananchi walioharibiwa makazi yao kutokana na mvua iliyoambatana na upepo mkali, iliyonyesha jimboni humo. Kwa mujibu wa Bulaya, mvua hiyo ilinyesha usiku wa kuamkia Oktoba 22, 2026 na kuleta...