Atukuzwaye
Senior Member
- Oct 5, 2026
- 191
- 250
Mbunge wa Bunda Mjini, Esther Bulaya amesema tathmini imeanza kufanyika kubaini kiwango cha athari kwa wananchi walioharibiwa makazi yao kutokana na mvua iliyoambatana na upepo mkali, iliyonyesha jimboni humo. Kwa mujibu wa Bulaya, mvua hiyo ilinyesha usiku wa kuamkia Oktoba 22, 2026 na kuleta madhara kwa wananchi wa Kata za Kabasa na Mchalo.
Bulaya ameyasema hayo Oktoba 22, 2026 alipotembelea maeneo yaliyoathiriwa na mvua hizo za El-na kutoa pole kwa waathirika. Amesisitiza umuhimu wa wananchi kuendelea kuchukua tahadhari ya El-Nino, akisisitiza bado inaendelea na kunahitajika utayari ili kujihadhari.
Duh El-Nino mbona imeanza kwa kasi hivi wakuu 🤔 tuendelee kuchukua tahadhari aisee mana hii ni hatari.