eswatini

  1. Lady Whistledown

    Afrika Kusini: Kiongozi wa Upinzani wa Eswatini apewa Sumu

    Chama Kikuu cha Upinzani (PUDEMO) Nchini Eswatini, kimesema hali ya Afya ya Kiongozi wake, Mlungisi Makhanya inaendelea kuimarika baada ya kulishwa sumu akiwa Uhamishoni Afrika Kusini, katika jaribio la Kumuua Mlungisi Makhanya, (46) ambaye amekuwa akiishi uhamishoni nchini Afrika Kusini kwa...
  2. W

    Binti wa Jacob Zuma achumbiwa na Mfalme Mswati III

    Nomcebo Zuma, 21, atakuwa mke wa 16 wa Mfalme Mswati Il. Binti huyo alikuwa miongoni mwa mamia ya wasichana waliocheza ngoma kwa ajili ya Mfalme wa Eswatini katika sherehe za kitamaduni siku Jumatatu, kuthibitisha uchumba wake na mfalme huyo. Mfalme Mswati Ill ana umri wa miaka 56...
  3. Stephano Mgendanyi

    Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa PSPF Kutoka ESWATINI Wafurahia Mafanikio NSSF

    MFUKO WA HIFADHI YA JAMII WA PSPF KUTOKA ESWATINI WAFURAHIA MAFANIKIO NSSF Mhe. Patrobas Katambi asema NSSF inazidi kuimarika, unaweza kulipa mafao bila kutetereka Na MWANDISHI WETU, Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe...
  4. Heparin

    SI KWELI Mfalme Mswati III atangaza kuwanunulia nyumba na kulipia gharama za harusi wanaume wanaooa wanawake watano kwenye nchi yake

    Kumekuwepo na barua inayiosambaa Mtandaoni ikionesha kuandikwa na Mfalme Mswati III ametoa tangazo linalodai kuwa kutokana na uhaba wa Wanaume kwenye nchi yake, amewaomba wananchi wanaoishi Kusini mwa Jangwa la Sahara kuomba uraia kwenye nchi yake, na kila mwanaume atayeoa walau wanakwake 5...
  5. JanguKamaJangu

    Eswatini: Wabunge waliopinga utawala wa Mfalme Mswati III kuhukumiwa

    Wabunge wawili Mduduzi Bacede Mabuza na Mthandeni Dube walioshiriki katika maandamano ya Mwaka 2021 wameshtakiwa kwa makosa ya mauaji na ugaidi na wanaweza kuhukumiwa kifungo cha hadi miaka 20 jela japokuwa wamekana mashtaka ya kuchochea machafuko. Waandamanaji walidai kukasirishwa na kuzorota...
  6. beth

    Maandamano Eswatini: Mfalme Mswati akubali nia ya kufanyika mazungumzo

    SADC imesema Mfalme Mswati III wa Eswatini amekubali nia ya kufanya mazungumzo ya kitaifa baada ya maandamano kuongezeka. Miongoni mwa walioandamana ni Wanafunzi na Madereva. Wanaharakati wanasema Mfalme huyo amekuwa akipuuza wito wa mabadiliko ambayo yangehamisha Eswatini kuelekea Utawala wa...
  7. beth

    Eswatini: Jeshi na Polisi wapelekwa shuleni kuzuia maandamano

    Makundi yanayotetea demokrasia katika taifa la kusini mwa Afrika, Eswatini, yanaeleza kwamba serikali imepeleka wanajeshi na polisi katika shule ambazo wanafunzi wamekuwa wakiendelea na maandamano kwa wiki kadhaa wakitaka mageuzi ya kisiasa. Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari katika...
  8. beth

    Eswatini yakiri watu 27 kuuawa kwenye maandamano ya kudai mageuzi

    Serikali ya Eswatini imekiri kutokea vifo katika maandamano wiki iliyopita. Waziri wa Biashara, Manqoba Khumalo ameeleza hayo katika mahojiano na Kituo cha Habari cha AFP Amesema nguvu ilibidi kutumika katika kudhibiti maandamano hayo na kwamba haikuwa nia, lakini kuna nyakati ilibidi risasi...
Back
Top Bottom