ethiopia

  1. Rorscharch

    Tanzania Kununua Umeme Ethiopia ni Suala la Kimkakati na lenye Tija, Wanaopinga Wajifunze Sayansi ya Nishati!

    Mpango wa Tanzania kununua umeme kutoka Ethiopia kupitia Kenya umeibua mjadala mzito. Wapo wanaoupinga kwa hoja kwamba tunapaswa kuzalisha na kusambaza umeme wetu wenyewe bila kutegemea nje. Lakini je, hawaelewi au wanapinga kwa sababu tu ya siasa? Ukweli ni kwamba usafirishaji wa umeme umbali...
  2. G

    Walioshauri viongozi wetu kununua umeme Ethiopia km maelfu badala ya Nyerere wakamatwe wahojiwe km wahujumu uchumi ,Victoria inakuwaje chanzo mbadala

    Hapa ni pamoja na viongozi watetezi wao akiwepo Mzee wa Pp anayeona Marekani haikoseagi kiuchumi Huyu Anatuokotea Kila kitu nje Kama Dodoki bila kutuambia mazingira au Mfumo wa shirika la umeme la Marekani ukoje ni WA ushindani au Monopoly Nchi inapambana walau tuongeze export ya...
  3. S

    Kafulila utuelewe; hatukatai kununua umeme japo tuna ziada ya uzalishaji; hofu yetu ni kuambiwa tuna transmission cost kubwa na mbadala ni Ethiopia

    Nadhani hawa watu wanaojiita viongozi wetu aidha wana tatizo la kujieleza, au wanapenda kufanya mambo kwa kuficha ficha vitu. Sasa huyu Kafulila, ambaye siku hizi amejifanya msemaji wa serikali au Raisi Samia, anauliza kuna ajabu gani Tanzania kununua umeme toka nje wakati tuna ziada, akitoa...
  4. S

    Swali moja tu kwa Felchesmi Mramba wa Nishati; huo umeme wa Ethiopia anaosema leo ni bei nafuu, mkataba unawazuia Ethiopia kupandisha bei milele?

    Bado tuna majibu mepesi mepesi na ya kisiasa kuhusu suala la kununua umeme toka Ethiopia. Kwanza tuliwauliza kama sisi tuna transmission losses kubwa kupeleka umeme mikoa ya kaskazini, Ethiopia hawana? Mkajibu kuwa kununua umeme ni sehemu ya kuimarisha usalama wa power supply nchini -...
  5. Ngongo

    Habari za kununua umeme ETHIOPIA zinafikirisha sana.

    Heshima sana wanajamvi, Tumetangaziwa kwamba taifa litaanza kununua umeme Ethiopia !. Wanasiasa wa chama tawala na warasimu ndani ya serekali wamekuja na utetezi mwingi wa kitoto na wakibwege faida za kununua umeme Ethiopia. Sababu kuu ni upotevu wa umeme mwingi kutoka vyanzo vya uzalishaji...
  6. The Burning Spear

    Nilitegemea ununuaji wa umeme toka Ethiopia uwe ni Top story TZ badala yake Simba na yaga zimetamalaki.

    Hii hali inashsngaza sana. Toka sa11 alfajiri simba yanga simba yanga. Hizi radio zetu haziwezi kualika wataalsmu na wakatwangwa maswali directly ili watoe ufafanuzi wa kununua umeme Ethiopia. Yaani distance kutoka Ethiopia na rufiji imekaaje aisee.hizo TL losses. Tunapigwa mchana kweupee
  7. Crocodiletooth

    Anna Tibaijuka: Kuchukua umeme kutoka vyanzo mbalimbali nafuu, ni kwa usalama wa Taifa letu

    Ameandika prof. Anna tibaijuka katika ukurasa wake wa X: UMEME KUTOKA ETHIOPIA (km 1500) HADI ARUSHA UNAKUWAJE RAHISI KULIKO WA KUTOKA RUFIJI (Km 650)? Taarifa hii ilitushangaza na hata kutushtua wengi. Nikaona nijielimishe kwa wahusika Wizarani. Nikaelezwa umeme utanunuliwa kutoka Station ya...
  8. Determinantor

    Serikali yatoa ufafanuzi kuhusu Tanzania kupanga kununua umeme nchini Ethiopia

    Naam kama kawa kama dawa, Wazee WA UFAFANUZI wameshatoa UFAFANUZI kuwa umbali wa kutoka Ethiopia Hadi Same ni mfupi kuliko Mwalimu Nyerere Hydro Power pale Rufiji Hadi Same Soma Pia: Rais Samia: Serikali itanunua Umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini
  9. Bird Watcher

    Ununuzi wa Umeme Kutoka Ethiopia Sio Viable kabisa

    Wakuu Tumemsikia Msemaji wa Serikali Ndugu Greyson Msigwa akitoa Uchambuzi Juu ya Serikali kudhamiria Kununua Umeme Kutoka Ethiopia kupitia Kenya. Msemaji huyo amedai ununuzi huo wa Umeme utaenda Kuimarisha Hali ya Upatikanaji wa Umeme kwa Mikoa Ya Kaskazini Yani Arusha Na Kilimanjaro. Sasa...
  10. F

    Mahitaji ya watu wa mikoa ya kaskazini ni barabara za lami, reli na mipango miji na sio umeme kutoka Ethiopia!

    Mikoa ya kaskazini imekuwa na umeme tangu zamani. Kwa mfano Kilimanjaro kila kijiji kimeunganishwa na gridi ya Taifa. Kama rais Samia anatafuta kitu cha kuwafanyia watu wa mikoa ya kaskazini basi afanye haya: 1. Barabara za lami 2. Reli ya mpya (SGR) 3. Mipango miji 4. Viwanda Kusema ataleta...
  11. Mr Q

    Umeme uliokuwa unapelekwa mikoa ya kaskazini utapelekwa wapi baada ya kununua mwingine kutoka ETHIOPIA?

    Mkulima analima mahindi. Baada ya kuvuna, anapata uvivu wa kupeleka mashineni yasagwe na kupata unga wa kula kwa kuona kwamba ni gharama kuyaosha na kuyaanika juani na baadae kuyasaga. Anaamua kuyauza na kisha kwenda dukani kwa mangi kununua sembe. Nauliza, umeme uliokuwa unapelekwa mikoa ya...
  12. K

    Manunuzi ya umeme wa Ethiopia ni wizi tusiwe wajinga!

    Ni wizi na kutafuta njia za kuiba tu. Umeme wa kusini mwa Tanzania unakuaje mbali kuliko umeme wa Ethiopia? Lakini pili kuna bomba la gas toka mtwara kwanini wasipeleke bomba kaskazini la gas halafu Dar wakatumia umeme wa bwawa!? Ukweli ndugu zangu ni mazingira ya wizi kwa watoto na ndugu wa...
  13. P

    Rais nakushauri tu achana na hii biashara ya kununua umeme Ethiopia

    Tunashuhudia unyanyasaji mwingi katika hizi za kutegemea huduma kutoka nchi zingine hususani pale ambapo mausiano ya kidiplomasia yanapozorota. Lakini pia Tanzania kwa sasa tunazalisha umeme zaidi ya maitaji yetu sasa mtu unapata ukakasi wa kuanza kununua kitu unachokizalisha. Kwa vyovyote...
  14. Sun Zu

    Ethiopia Yaanzisha mashambulizi ya Anga nchini Somalia kuwalenga Al Shabab

    Jeshi la anga la Ethiopia limefanya mashambulizi ya anga dhidi ya wanamgambo wa al-Shabab katika Mkoa wa Shabelle ya Kati nchini Somalia, Shirika la Fana Broadcasting Corporate liliripoti hapo jana (Ijumaa). Mashambulizi hayo ya anga yametokea baada ya kutiwa saini kwa mkataba wa usalama kati...
  15. Technophilic Pool

    waziri mkuu wa Ethiopia asema sasa wanauwezo wa kutengeneza Risasi zao wenyewe na Hata kuuza??

    akikagua kiwanda cha Silaha Ethiopia Huyu jamaa ana akili nyingi ndo maana mabepari walitaka wamuondoe
  16. L

    Tazama namna Rais wetu akipitia nyaraka kwa umakini mkubwa wakati wengine wakionekana pichani wakisinzia huko Ethiopia

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika tuna Rais Imara,kwa hakika Ikulu yetu Imepata Mtu Makini,shupavu , madhubuti,imara,hodari na Mwenye Utimamu wa Akili na Mwili. Tanzania tumepata Neema ya kuwa na Rais Anayejua nini anapaswa kufanya katika kuwakilisha Taifa letu . Tumepata Neema na upendeleo...
  17. Mkalukungone mwamba

    Rais Samia kufanya ziara Ethiopia kuanzia tarehe 15 - 16 Februari, 2025 kushiriki Mkutano wa Kawaida wa 38 wa Wakuu wa Nchi na AU

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya ziara ya kikazi Addis Ababa nchini Ethiopia kuanzia tarehe 15 - 16 Februari, 2025 kushiriki Mkutano wa Kawaida wa 38 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU). Soma Pia: Dar: Rais Samia ashiriki...
  18. Hypersonic WMD

    Ethiopia iliwezaje kushinda vita ya Tigray waliokua wanakaribia Adis Ababa afu DRC inashindwa na m23 kisa vifaaa?? Inashindwa kukopy na kupaste

    Jeshi la kongo na Ethiopia yote yapo top 10 ya majeshi yenye nguvu. Lakini kama unavo jua Technologia huwa haimsamehe mtu. Anaeendana nae mara zote huwa na faida kubwa kwene vita. Jeshi la Waasi wa tigray waliku na support ya Western technologically. Hapa n pamoja na kuwavujishia satellite na...
  19. Yoda

    Ethiopia yenye nguvu ilishindwaje kupenya baharini kupata bandari pembe ya Afrika?

    Ethiopia huwa inahesabika kama taifa lenye nguvu na mojawapo la himya za kale zaidi katika bara la Africa, kinachonishangaza ni wao kukosa upenyo wa baharini kuwawezesha kuwa na bandari yao tena wakiwa karibu kabisa na bahari za Hindi na Red Sea. Karne zote hizo wamishindwaje kumpata mnyonge...
  20. Ojuolegbha

    CCM na PP kuimarisha uhusiano wa Tanzania na Ethiopia - Balozi Dkt. Nchimbi

    KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema urafiki kati ya CCM na Prosperity Party, chama tawala cha Ethiopia, ni hatua muhimu katika kuboresha na kuimarisha uhusiano wa nchi hizo mbili, pamoja na watu wake. Balozi Nchimbi amesema kuwa ushirikiano mzuri...
Back
Top Bottom