Nimefuatilia sana hawa wa Oromo wa Ethiopia nimekuja kujiridhisha pasipo shaka kwamba ndio hao hao wa Mbulu ambao wao wali hama wakajikuta wamefika Tanzania.
mwo Oromo akiwa amejichora, kumbuka waambulu pia walikuwa wanajichora hivyo ingawa kwa sasa ni kama wamecha vile.
Wa Oromo ni kabila...
Mwalimu wa Historia alitumbua kuwa chanzo kimojawapo cha udumavu wa bara la Afrika kimaendeleo ni ukoloni wa Kimagharibi!
Lakini pia alitufundisha kuwa Ethiopia haikutawaliwa na Wazungu. Labda ndiyo maana Waafrika walipachagua pawe makao makuu ya AU?
Lakini nilisahau kumwuliza kuwa ikiwa...
Nchi hii iliyojaa vigogo wasioweza kufanya jambo bila maslahi yao binafsi kuwepo sasa inaenda kununua umeme toka Ethiopia. Ingefaa tuambiwe vizuri kama ni kwa faida ya nani maana jambo muhimu hapa kwa mwananchi wa kawaida ni kuona juhudi ambazo zimekua zikiendelea kwa kasi nzuri kusambaza umeme...
Match Day.
KIKOSI CHA TANZANIA KINACHOANZA LEO
Mpira ndio unaanza sasa.
Updates
Game on
05'
Tanzania wanafanya mashambulizi hafifu kidogo kwenye lango la Ethiopia.
Tanzania wanatawala game.
06'
Msuva anakosa goli la wazi kabisa hapa,
Amepata assist nzuri sana toka kwa Samatha.
Namna gani...
Hizo nchi inajulikana wananchi wao hawaogopi vyombo vya usalama, wapo tayari kupambana hata na wanajeshi au polisi pale wanapoona hawatendewi haki.
Kenya tumetoka shuhudia juzi hapa vijana wadogo wanaingia bungeni na kuchoma bunge.
Nilichogundua kumbe serikali nyingi za Africa ndizo chanzo cha...
🇪🇹 Ethiopia surpasses export revenue goals, reaching $1.5 billion in first quarter of the current fiscal year
Ethiopia’s Ministry of Trade and Regional Integration has reported that export revenue has achieved 132% of its target, state media ENA reported. This marks an increase of over $700...
Aliyekuwa Rais wa Ethipia Sahle-Work Zewde (kushoto) na Rais mpya wa nchi hiyo Taye Atske Selassie (kulia)
Taye Atske Selassie, aliyekuwa Waziri wa mambo ya nje tangu Februari, 2024, ameapishwa mbele ya Bunge kuwa Rais wa Nchi hiyo huku mamlaka ya kisiasa ikiwa kww Waziri Mkuu, Abiy Ahmed...
Ethiopia ni moja ya nchi bora africa kwa barabara zenye viwango ambazo Tanzania huwezi zikuta.. Tamroad jifunzeni.
Najiuliza wakati mnajenga barabara mfano ya kimara to kibaha kwanini hamkuwaza wapi mtaweka taa. Kwanini msinge acha nafasi katikati nfio taa zikakaa. Nasikia eti tanroad...
Kuna mpango kabambe wa kuwezesha kukua kwa kiwango cha upatikanaji/wingi wa umeme...Ambapo nchi yetu ipo katika majadiliano ya kununua takribani Megawatts 100 kutoka nchi ya Ethiopia
Chini ya mkakati wa EAPP (Mradi wa kuwezesha nchi za Afrika mashariki kushirikiana na mauziano na usambazaji...
Kikosi cha Yanga kwa kundi la pili limepaa leo alifajiri kuifuata CBE SA ya Ethiopia kwa ajili ya mchezo wa mkondo wa kwanza wa raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
Wachezaji walioondoka leo ni wale ambao walikuwa hawana majukumu kwenye timu zao za taifa, wakati mastaa kama Djigui Diarra...
Kwa tunaofatilia haya mashindano utaona team ndogo zimekuja na mkakati wa kuzikamia team kubwa
Hii ilianzia kwenye AFCON pale Ivory coast na naona inaendelea hivyo hivyo ambapo team Giants Afrika ikiwemo Taifa Stars chini ya manguli Mgunda na Moroco zimekutana na ukamiaji huo.
Ila naamini...
Watanzania wengi wamekariri
Wanauchukulia team ya Taifa Ethiopia kizamani
Ethiopia walianzia kwenye project za vijana na Sasa inaanza kuwalipa kwenye senior team.
Ethiopia ni hivi majuzi kampiga Egypt The Pharaoh goli 2 bila
Taifa stars haijaifunga Ethiopia mechi 7 mfululizo, Sasa maajabu Gani...
Timu zinazoshiriki kutafuta nafasi kushiriki ya Michuano ya Mabingwa Ya Afrika Kwa Wanawake Kuwakilisha nchi wanachama wa CECAFA ni :
Commercial Bank of Ethiopia (Ethiopia)
Kenya Police Bullets (Kenya)
Yei Joint FC (South Sudan)
Simba Queens (Tanzania)
PVP Buyenzi (Burundi)
Kawempe...
Ethiopia
Serikali ya Ethiopia bado haijapona.
Wakati imetoka kumaliza vita kutokana na mgogoro wa Tigray uliodumu miaka miwili 2020-2022🪙
Imejikuta ikiingia kwene migogoro mingine ikiwemo huu wa jeshi la FANO la jimbo la Amhara.
Ikikumbukwe hili jeshi liliwasaidia jeshi la muungano la Ethiopia...
Mchambuzi wa kihabesha anadai Eritrea ina jeshi lenye nguvu Africa mashariki nzima ukiiondoa Ethiopia
Nini maoni yako👇🏾
https://x.com/shaebiaeritrea2/status/1820370630744719614
Coast ya Somalia kwasasa inamilikiwa na uturuki!!
Lakini huwezi wakutaka wakiongea. Ila nguvu zote wameelekeza kwa somaliland ambayo imempa kipisi tu Ethiopia ijenge Bandari!!
Ni chuki au Akili ya kufirikir ndo tatizo
Hii ni ETHIOPIA, wanaongoza kwa kupata treni ya kisasa mapema, ndege nyingi, barabara za juu kwa juu, nk ktk Africa Mashariki.
Lakini najiuliza kwanini Waethiopia wanaongoza kwa kukimbia nchi yao ili kuishi Ukimbizini Ilhali Ethiopia hakuna VITA? naomba majibu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.