europa league

  1. MulengaMulenga

    Piga Kura: Nani atashinda Europa League Final leo? Atalanta au Leverkusen?

    BAYER 04 LEVERKUSEN VS ATALANTA BC Mabingwa wa bundesliga bayer leverkusen kumenyana na atalanta fainali ya ligi ya europa. Naomba kujua maoni yenu! Klabu gani itashinda Europa League Finali leo na kwa nini?
  2. Greatest Of All Time

    Seville Vs AS Roma | Uefa Europa League Final | Puskas Arena | 31.05.2023

    Muda mchache ujao pale katika dimba la Puskas Arena jijini Budapest nchini Hungary kutapigwa mchezo wa fainali ya Europa League. Ni Sevilla Vs AS Roma Ikumbukwe Sevilla hajawahi kufungwa pindi akiingia kwenye fainali ya Europa League wakati Mourinho naye hajawahi kufungwa mchezo wa Fainali...
  3. JanguKamaJangu

    Europa League: Mchezo wa Arsenal, PSV waahirishwa

    Mchezo wa UEFA Europa League, Arsenal dhidi ya PSV Eindhoven uliopangwa kuchezwa Septemba 15, 2022 kwenye Uwanja wa Emirates Jijini London umesitishwa. Shirikisho la Soka la Ulaya (UEFA) limesema mchezo huo utapangiwa siku nyingine kutokana na hofu ya ulinzi kuwa mdogo kwa kuwa asilimia kubwa...
  4. Shadida Salum

    Ligi ya Europa: Mbivu na mbichi za fainali kujulikana leo

    Michezo miwili ya nusu fainali ya Europa kurindima hii leo majira ya saa 4:00 usiku katika viwanja viwili tofauti ,ambapo Roma itakuwa nyumbani kuialika Manchester United huku Arsenal ikiikaribisha Villarreal Ili Roma kutinga fainali inatakiwa kushinda goli 4-0 Kwingineko Arsenal inahitaji...
  5. isajorsergio

    UEFA yatishia kuzipiga 'ban' klabu kubwa barani ulaya kwenye michuano yote

    UEFA wamezitahadharisha vilabu vya ulaya vianvyojihusisha na kwenda Super Legue kwamba wanaweza kupigwa marufuku kwenye ligi zao za ndani na mashindano ya kimataifa kama wakiunda mshindani wa kombe la klabu bingwa barani Ulaya. Tamko la pamoja na uongozi wa ligi za Hispania, Uingereza na...
Back
Top Bottom