Mchezo wa UEFA Europa League, Arsenal dhidi ya PSV Eindhoven uliopangwa kuchezwa Septemba 15, 2022 kwenye Uwanja wa Emirates Jijini London umesitishwa.
Shirikisho la Soka la Ulaya (UEFA) limesema mchezo huo utapangiwa siku nyingine kutokana na hofu ya ulinzi kuwa mdogo kwa kuwa asilimia kubwa...