Tumemsikia Mkuu wa Majeshi Mstaafu Generali Mabeyo akisimulia hivi karibuni jinsi Magufuli alivyouguzwa hadi kufariki.
Katika maelezo yake, Generali anadhihirisha kuwa Magufuli alifariki tarehe na muda uliotajwa na Mhe. Samia alipokuwa akitangaza kifo hicho.
Lakini akina Evaristi Chahali na...
Nilinunua kitabu cha "KUPANDA NA KUSHUKA KWA KIPILIMBA ALIYEKUWA MKURUGENZI WA TISS" kilichoandikwa na Bwana Evarist Chahali.
Kwa kweli lazima nieleze kuwa Mimi nina uchu sana wa kujua masuala ya usalama wa Taifa tangu nikiwa mdogo.Huwa najiuliza kwa nini sipati jibu. Nilikuwa na mategemeo...
Kumekua na sintofahamu kuhusu sheria mpya ya mifuko ya hifadhi ya jamii hasa baada ya SSRA kuja na kanuni zenye kikokotoo cha 25%, ukipita kote kwenye mitandao ya kijamii kumekua na kulaumiana kati ya Wabunge kama wawakilishi wa wananchi na wafanyakazi, kila kundi likilaumu jingine. Wabunge wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.