https://youtu.be/j3sXSrK1IgY?si=ciaUzrI93iD8PAfG
Kwa mujibu wa Evarist Chahali, mfanyakazi wa zamani wa TISS aliyeko uhamishoni Uingereza, kwa taarifa zilizothibitishwa ni kuwa Vice President Dr Emmanuel Nchimbi aliye wekwa kwenye kizuizi cha ndani (House Arrest) Yuko mahututi..
Inasemekana...
afcon
afcon 2027
caf
chadema
dalili
evaristchahali
fifa
gani
hii
iko
jasusi
kushindwa
kuu
kwao
maana
msigwa
peter msigwa
political
poor
salama
samia
strategy
ugaidi
ujumbe
wanajua
wenzake
Samia ataondoka. Hilo halina mjadala...
Ila SiSiEmu kuondoka ni pasua kichwa na itahitajika njia na mbinu nyingine. Why?
Kwa sbb SiSiEmu ni zaidi ya chama cha siasa, ni mfumo wa kiharamia wenye symbiotic relationship na vyombo vya dola...
Mfumo wa namna hii mara nyingi huwa ngumu sana...
https://youtu.be/endgC8fyOjA?si=IF8MCBwCTo2a76m-
• Huko ndani ya CCM na ndani ya serikali hakuko shwari....
• Si tu Dr Nchimbi na Boss wake, ni kila makubwa, hakuna kuaminiana na kila movement na communication za kila kiongozi ziko highly monitored...
• Kilichowashitua hawa monitors, ni kujua...
Huu uzandiki unaofanywa na Chahali ni wa kupuuzwa. Shahidi wa siri kwenye kesi ya Lissu hajulikani kwahiyo kumtaja mtu ni kutaka kumharibia hadhi yake na hata kumhatarishia usalama wake. Ninampongeza Yericko Nyerere kwa kujitokeza hadharani na kupinga. Uongo sio wa kuuchekea...
Tumemsikia Mkuu wa Majeshi Mstaafu Generali Mabeyo akisimulia hivi karibuni jinsi Magufuli alivyouguzwa hadi kufariki.
Katika maelezo yake, Generali anadhihirisha kuwa Magufuli alifariki tarehe na muda uliotajwa na Mhe. Samia alipokuwa akitangaza kifo hicho.
Lakini akina Evaristi Chahali na...
Nilinunua kitabu cha "KUPANDA NA KUSHUKA KWA KIPILIMBA ALIYEKUWA MKURUGENZI WA TISS" kilichoandikwa na Bwana Evarist Chahali.
Kwa kweli lazima nieleze kuwa Mimi nina uchu sana wa kujua masuala ya usalama wa Taifa tangu nikiwa mdogo.Huwa najiuliza kwa nini sipati jibu. Nilikuwa na mategemeo...
Kumekua na sintofahamu kuhusu sheria mpya ya mifuko ya hifadhi ya jamii hasa baada ya SSRA kuja na kanuni zenye kikokotoo cha 25%, ukipita kote kwenye mitandao ya kijamii kumekua na kulaumiana kati ya Wabunge kama wawakilishi wa wananchi na wafanyakazi, kila kundi likilaumu jingine. Wabunge wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.