The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 4,249
- 11,592
View: https://youtu.be/j3sXSrK1IgY?si=ciaUzrI93iD8PAfG
Kwa mujibu wa Evarist Chahali, mfanyakazi wa zamani wa TISS aliyeko uhamishoni Uingereza, kwa taarifa zilizothibitishwa ni kuwa Vice President Dr Emmanuel Nchimbi aliye wekwa kwenye kizuizi cha ndani (House Arrest) Yuko mahututi..
Inasemekana kama alivyokamatwa Humphrey Polepole, na Dr Nchimbi kakamatw kwa njia ileile...
Amekamatwa na kuhifadhiwa na habari za uhakika ni kuwa anapitia mateso makubwa na Kuna hatari akapoteza maisha. Ni katika wakati huo, ndipo ile barua yake ya kujiuzuru iliyoandaliwa na TEAM ABDUL mtoto wa kiume wa Samia Suluhu Hassan ikawekwa mitandaoni..
Sababu ya kuteswa ni kulazimishwa atoe taarifa muhimu ikiwemo zile taarifa nyeti za mauaji ya 29/10/2025 ambazo inasemekana Dr Emmanuel Nchimbi aliziwasilisha UN na ICC ambazo direct zinam incriminate Samia na huyo mwanae Abdul..
Kwa taarifa kamili, sikiliza video hiyo mpaka mwisho..