Evarist Chahali (JasusiTV): Dr Emmanuel Nchimbi Yuko mahututi; Taarifa kamili hii hapa

ACHA WAFU WAZIKE WAFU WAO........

Another page.......
FB_IMG_1787880642439.jpg
 
Na kama tukio hili la Nchimbi litakuwa ni la kweli..
Basi uwezekano wa Lissu kuhukumiwa kifo/kunyongwa kwa Shinikizo La Mamlaka za juu ni Mkubwa mno ...hata akikata Rufaa bado itatupwa kwa shinikizo pia...pasipo kujali ni wakati gani adhabu hiyo itatekelezeka au Lah!Akaja kupata msamaha wa Raisi hata mwaka 2050 huko au kama Chama kingine tofauti na CCM kikitawala.
 
Na kama tukionl hili la Nchimbi litakuwa ni la kweli..
Basi uwezekano wa Lissu kuhukumiwa kifo/kunyongwa ni Mkubwa mno....pasipo kujali ni wakati gani adhabu hiyo itatekelezeka au Lah!Akaja kupata msamaha wa Raisi hata mwaka 2050 huko au kama Chama kingine tofauti na CCM kikitawala.
Sure!
Hawa watu sio wakuwachekea kabisa
 
Na kama tukionl hili la Nchimbi litakuwa ni la kweli..
Basi uwezekano wa Lissu kuhukumiwa kifo/kunyongwa kwa Shinikizo La Mamlaka za juu ni Mkubwa mno ...hata akikata Rufaa bado itatupwa kwa shinikizo pia...pasipo kujali ni wakati gani adhabu hiyo itatekelezeka au Lah!Akaja kupata msamaha wa Raisi hata mwaka 2050 huko au kama Chama kingine tofauti na CCM kikitawala.
Hata Lissu anajua hatapona kwenye hili.
Mzee Sinde hofu ni kubwa kwasababu anaijua hatma
 
Back
Top Bottom