Sasa abduli anaingiaje hapo kwa taarifa anazopewa mama yake, kwanza kazi yao si kumfanyia sa100 wnafanyia nchi..na wao kwa maovu yao ya wizi, ufisadi na mauwaji wnamblackmail sa100 iwe km wanafanya kwa faida yake..katiba kwa mfano hiv rais anaweza kuwa kikwazo wakat anakaa hapo miaka 5 au 10 anaondoka, kwa nini azuie katiba wakati ataondoka? Lkn hao tiss kwa sabb wao wmejifanya masultani kwenye kazi hiyo, wao ndio victims wakubwa mabadiliko yoyote ya katiba yakifanyika, na hivyo wao ndio kikwazo kwa mabadiliko yoyote ya katiba!TISS wanamfanyia nani kazia kama siyo Sa100? Kwa taarifa yako TISS inamtumikia Rais.
Iwe mda wa kukataa hii mipango ovu, kuwe na mgomo nchi nzima walimu na Madactari wa Serikali kushinikiza hili. Kama yanayosemwa ni kweli huyu mtu alijitowa muhanga kwa jili ya wananchi. Tuone kama watatumia polisi wawe walimu na madaktari.Mbona hilo linajulikana!
HawatofanikiwaMbona hilo linajulikana!
Yuko mahututi tayariHawatofanikiwa
Kwenye mgomo ondoa waalimuIwe mda wa kukataa hii mipango ovu, kuwe na mgomo nchi nzima walimu na Madactari wa Serikali kushinikiza hili. Kama yanayosemwa ni kweli huyu mtu alijitowa muhanga kwa jili ya wananchi. Tuone kama watatumia polisi wawe walimu na madaktari.
Alijitoa Muhanga wapi wewe .ni wale wale tu....acha wapatilizane wao kwa wao wamalizane wote....ndipo tutaandamana Nchi Nzima Kushangilia hilo..Iwe mda wa kukataa hii mipango ovu, kuwe na mgomo nchi nzima walimu na Madactari wa Serikali kushinikiza hili. Kama yanayosemwa ni kweli huyu mtu alijitowa muhanga kwa jili ya wananchi. Tuone kama watatumia polisi wawe walimu na madaktari.
Yuko wapi?Mbona PolePole hajafa. Kwa ufupi Polepole ni mzima hajafa
Elewa ni mzima.Yuko wapi?