The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,900
- 18,751
Hebu eleza abduli wanamu-incriminate vipi..acheni kuzunguka zunguka, tiss ndio mastermind wa uovu wote huu! Hakuna cha samia wala abduli..
TISS wanapata maelekezo pia. Ndiyo maana tangu Maza aingie Mombo ni wa nne kushikilia hiyo nafasi.