Evarist Chahali (JasusiTV): Dr Emmanuel Nchimbi Yuko mahututi; Taarifa kamili hii hapa

Evarist Chahali (JasusiTV): Dr Emmanuel Nchimbi Yuko mahututi; Taarifa kamili hii hapa

WACHOCHEZI WAPO KAZINI KUIGAWA TANZANIA
VIPANDE VIPANDE 👹👈

WACHOCHEZI WALIKUWEPO PIA KULE LIBYA NK. 👹

TUWAPINGE KWA UMOJA
WETU 👈

WAO WAPO SALAMA UKO
WALIPO 👈

WACHOCHEZI WAO NDIO NGUZO YAO KUWEPO KWA WATU UKO WALIPO👹👹
Mchochezi namba moja ni Samia, nchi ikiendeshwa kwa haki hakutakuwa na unachokiita uchochezi bali itakuwa competing fairly and democratically. Neno uchochezi hutumiwa na madikteta kunyamazisha maoni kinzani(different opinions) ya watu.
 
Hilo liko wazi ila machoko wa UVCCM wanapambana sana ukweli usijulikane, Samia kampa mwanae madaraka ya kuiongoza(kui-control) TISS illegally ili kila watakalo liende wanavyotaka.
Kwa hiyo mjinga ni nani.. aliyempa mwanae mamlaka illegally..au wanaoamrishwa na mtu hajui hata ukomo wa madaraka yake, nani mjinga kati yao..
 
Kwa hiyo mjinga ni nani.. aliyempa mwanae mamlaka illegally..au wanaoamrishwa na mtu hajui hata ukomo wa madaraka yake, nani mjinga kati yao..
The whole bloody system ni mipumbavu, seniors have been completely corrupted and juniors are nothing but bunch of cowards. TISS ilikufa pale UVCCM ilipogeuzwa kuwa recruitment phase before joining the agency.
 

View: https://youtu.be/j3sXSrK1IgY?si=ciaUzrI93iD8PAfG
Kwa mujibu wa Evarist Chahali, mfanyakazi wa zamani wa TISS aliyeko uhamishoni Uingereza, kwa taarifa zilizothibitishwa ni kuwa Vice President Dr Emmanuel Nchimbi aliye wekwa kwenye kizuizi cha ndani (House Arrest) Yuko mahututi..

Inasemekana kama alivyokamatwa Humphrey Polepole, na Dr Nchimbi kakamatw kwa njia ileile...

Amekamatwa na kuhifadhiwa na habari za uhakika ni kuwa anapitia mateso makubwa na Kuna hatari akapoteza maisha. Ni katika wakati huo, ndipo ile barua yake ya kujiuzuru iliyoandaliwa na TEAM ABDUL mtoto wa kiume wa Samia Suluhu Hassan ikawekwa mitandaoni..

Sababu ya kuteswa ni kulazimishwa atoe taarifa muhimu ikiwemo zile taarifa nyeti za mauaji ya 29/10/2025 ambazo inasemekana Dr Emmanuel Nchimbi aliziwasilisha UN na ICC ambazo direct zinam incriminate Samia na huyo mwanae Abdul..

Kwa taarifa kamili, sikiliza video hiyo mpaka mwisho..

Jf ya umbeaumbea tu...
 
Ameshindwa kupigania katiba mpya akiwa ndani ya system matokeo yake ndo hayo


Afu si nlikuaga naskia nchimbi alikua msoja tena vyeo vya juu wengne wakaenda mbali na kusema nchimbi alikua kachelo wa serikal sasa inakuaje anaweka house arrest unataka sema alikua hana watu wa kumpigania
Mnataka sema hakutengeneza watu wake
 
Lkn mkuu utaratibu
ule sio Sheria 👈

Mifano ipo Profesa Mussa Assad CAG
Hakufanya makabidhiano
kama sijakosea❗️

Lkn Trump nayeye
hakuwepo kumkabidhi Ikulu Joe Biden

Na tena Biden hakuwepo kumkabidhi Ikulu Trump 🤠🤠
nchi huongozwa kwa Sheria, kanuni, taratibu na miongozo mbalimbali. Kukabidhiana ofisi ni jambo la muhimu sana ambalo halikwepeki katika jamii yeyote iliyostarabika. ukiona hakuna makabidhiano, ujue kuna ushenzi umeendelea
 
Hebu eleza abduli wanamu-incriminate vipi..acheni kuzunguka zunguka, tiss ndio mastermind wa uovu wote huu! Hakuna cha samia wala abduli..
Unakanushaje na kuanza kuwakingia kifua kina Samia bila kuweka supported documents?

Jf imekuwa na watu wa hovyo sana hii!
 
The whole bloody system ni mipumbavu, seniors have been completely corrupted and juniors are nothing but bunch of cowards. TISS ilikufa pale UVCCM ilipogeuzwa kuwa recruitment phase before joining the agency.
..iwe wmetokana na uvccm au takataka zingine, tiss ndio wapumbavu, huwez kuwekewa incharge hana mbele wala nyuma km abduli na wewe unakubali unatii order anazokupa..
 
Unakanushaje na kuanza kuwakingia kifua kina Samia bila kuweka supported documents?

Jf imekuwa na watu wa hovyo sana hii!
..wao wmeweka za abduli kuwa incharge wa tiss..hata hizo za samia kuwaamrisha wateke watu, wewe unazo..
 
..iwe wmetokana na uvccm au takataka zingine, tiss ndio wapumbavu, huwez kuwekewa incharge hana mbele wala nyuma km abduli na wewe unakubali unatii order anazokupa..
Si Tiss tu, hata ukuu wa Majeshi Abdul anaweza pewa bila kuhenya depo, maana mamake jeshi ni lake.

Kwa sababu hakuna taasisi yenye meno wala mamlaka ya kujipangia.

Leo Mkuu wa majeshi kusema, wajibu wao mojawapo ni kuilinda Katiba na huku Katiba hiyo ikivunjwa mikononi mwake wazi wazi, ndipo tujue kwamba hapo alipo hana meno na ni simba wa karatasi.

Anaweza kung'olewa muda wowote Samia anapojisikia na akapewa mtu yeyote mwingine na bila ya yeye kufanya fyoko.
 
Si Tiss tu, hataukuu wa Majeshi Abdul anaweza pewa.

Kwa sababu hakuna taasisi yenye mamlaka ya kujipangia.

Mkuu wa majeshi anaweza kungolewa muda wowote na kupewa mtu yeyote mwingine na bila ya kufanya fyoko.
..wanachagua mapunga ndio maana yanatii hata order haramu zisizoeleweka kisheria.
 
Kwa hiyo mjinga ni nani.. aliyempa mwanae mamlaka illegally..au wanaoamrishwa na mtu hajui hata ukomo wa madaraka yake, nani mjinga kati yao..
Obviously wote but in different ways, wanaoamrishwa ni makunguru maoga aliyempa mwanae utawala kwake yeye ni mjanja(japo werevu mwingi mbele kiza) kwani anaibagaza Tanganyika atakavyo na kila anayempinga yanamkuta ya kumkuta.
 

View: https://youtu.be/j3sXSrK1IgY?si=ciaUzrI93iD8PAfG
Kwa mujibu wa Evarist Chahali, mfanyakazi wa zamani wa TISS aliyeko uhamishoni Uingereza, kwa taarifa zilizothibitishwa ni kuwa Vice President Dr Emmanuel Nchimbi aliye wekwa kwenye kizuizi cha ndani (House Arrest) Yuko mahututi..

Inasemekana kama alivyokamatwa Humphrey Polepole, na Dr Nchimbi kakamatw kwa njia ileile...

Amekamatwa na kuhifadhiwa na habari za uhakika ni kuwa anapitia mateso makubwa na Kuna hatari akapoteza maisha. Ni katika wakati huo, ndipo ile barua yake ya kujiuzuru iliyoandaliwa na TEAM ABDUL mtoto wa kiume wa Samia Suluhu Hassan ikawekwa mitandaoni..

Sababu ya kuteswa ni kulazimishwa atoe taarifa muhimu ikiwemo zile taarifa nyeti za mauaji ya 29/10/2025 ambazo inasemekana Dr Emmanuel Nchimbi aliziwasilisha UN na ICC ambazo direct zinam incriminate Samia na huyo mwanae Abdul..

Kwa taarifa kamili, sikiliza video hiyo mpaka mwisho..

Ni mpumbavu tu anaweza kukuamini
 
Well katiba ndio imetaka imempa hayo mamlaka. Is why tunahitaji katiba itakayo punguza hayo mamlaka, mahaka ipewe nguvu kikamilifu. Na vyombo vya ulinzi na usalama viwe separated from politics kabisa.


Hali iliyopo ccm kama chama inaweza amuru chombo chochote kudanya lolote na ikafanya
Pamoja na katiba Ina mapungufu hayo.

Ila mda mwingine tumekosaa Kiongozi mwenye maadili, hekima, na Busara.
 
Back
Top Bottom