Evarist Chahali (JasusiTV): Dr Emmanuel Nchimbi Yuko mahututi; Taarifa kamili hii hapa

Evarist Chahali (JasusiTV): Dr Emmanuel Nchimbi Yuko mahututi; Taarifa kamili hii hapa

Just imagine!! Huyu mother anaweza amejigeuza mungu mtu
Well katiba ndio imetaka imempa hayo mamlaka. Is why tunahitaji katiba itakayo punguza hayo mamlaka, mahaka ipewe nguvu kikamilifu. Na vyombo vya ulinzi na usalama viwe separated from politics kabisa.


Hali iliyopo ccm kama chama inaweza amuru chombo chochote kudanya lolote na ikafanya
 
Kumbe hiyo TISS mkurugenzi wake (DGIS) ni nani unadhani? Ni huyo unayemjua, au siyo..?

Hujui kuwa mkuu wa TISS ni Abdul mtoto wa Samia?
Hizi mambo zenu mnatoa wapi aisee, hata huyo Chahali mnapataje nguvu ya kumuamini ndugu zetu?
 
Nadhani lengo la hizi taarifa kama za Abdul kuwa ni mkubwa wa TISS au Ndejembi kuwa ni mpemba ni kukoroga dimbwi la maji ili yasinyweke. Wanaozaa taarifa hizi ni watu wenye akili.
Lakini inawaondoa wahusika wenyewe kwenye public scrutiny mnabaki mnahangaika na watu wasio na tija yoyote kushughulika nao.
 
Sawa kusoma haujui hata picha hauoni?.
Utaratibu ukoje wa kubadilishana uongozi.si anatakiwa awepo umemuona wapi tuambie

Lkn mkuu utaratibu
ule sio Sheria 👈

Mifano ipo Profesa Mussa Assad CAG
Hakufanya makabidhiano
kama sijakosea❗️

Lkn Trump nayeye
hakuwepo kumkabidhi Ikulu Joe Biden

Na tena Biden hakuwepo kumkabidhi Ikulu Trump 🤠🤠
 
Kumbe hiyo TISS mkurugenzi wake (DGIS) ni nani unadhani? Ni huyo unayemjua, au siyo..?

Hujui kuwa mkuu wa TISS ni Abdul mtoto wa Samia?
Hilo liko wazi ila machoko wa UVCCM wanapambana sana ukweli usijulikane, Samia kampa mwanae madaraka ya kuiongoza(kui-control) TISS illegally ili kila watakalo liende wanavyotaka.
 
WACHOCHEZI WAPO KAZINI KUIGAWA TANZANIA
VIPANDE VIPANDE 👹👈

WACHOCHEZI WALIKUWEPO PIA KULE LIBYA NK. 👹

TUWAPINGE KWA UMOJA
WETU 👈

WAO WAPO SALAMA UKO
WALIPO 👈

WACHOCHEZI WAO NDIO NGUZO YAO KUWEPO KWA WATU UKO WALIPO👹👹
 
..danganya wajinga km wewe
Nyie UVCCM wote ni ma-zombie, huwa mnapinga likishadhihirika ndipo mnakuja na vistori uchwara vya justifications. Mlidai(back then) kuwa Lissu kajipiga risasi, mlidai Ali Kibao hajauawawa, mkasema Mdude kajificha tu hajatekwa bali anaogopa madeni, mkasema Polepole hajatekwa yaani the list is endless lakini huwa inafika mnaaza kula matapishi yenu wenyewe.
 
Back
Top Bottom