MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Huu uzandiki unaofanywa na Chahali ni wa kupuuzwa. Shahidi wa siri kwenye kesi ya Lissu hajulikani kwahiyo kumtaja mtu ni kutaka kumharibia hadhi yake na hata kumhatarishia usalama wake. Ninampongeza Yericko Nyerere kwa kujitokeza hadharani na kupinga. Uongo sio wa kuuchekea.
View: https://www.instagram.com/p/DNVEzkkqAU-/?igsh=eTQ1djN6Y21qaGV4
View: https://www.instagram.com/p/DNVEzkkqAU-/?igsh=eTQ1djN6Y21qaGV4