Evarist Chahali apuuzwe kwa kumsingizia Yericko kuwa shahidi wa siri kwenye kesi ya Lissu

Chahali ameandika kumtaja YERIKO... Lakini Yericko Nyerere yeye kajitokeza kujibu na kukanusha...
Katika kukanusha badala ya kukanusha kilichoandikwa yeye kaibua tuhuma zingine kabisa!
Hivi kweli yule Chahali ana miaka zaidi ya 70??
Hivi kwanini Yericko Nyerere amepaniki?
Kwani umri wa70 huwezi kutetea haki na kukataa dhuluma. Aliwahi kukanusha umri wake ? Mbona hajasema kilichomkimbiza nchini. Ushahidi zaidi ukitolewa kwamba alikuwa Shahidi wa siri atakanusha ?
 
Huu uzandiki unaofanywa na Chahali ni wa kupuuzwa. Shahidi wa siri kwenye kesi ya Lissu hajulikani kwahiyo kumtaja mtu ni kutaka kumharibia hadhi yake na hata kumhatarishia usalama wake. Ninampongeza Yericko Nyerere kwa kujitokeza hadharani na kupinga. Uongo sio wa kuuchekea.

View: https://www.instagram.com/p/DNVEzkkqAU-/?igsh=eTQ1djN6Y21qaGV4

Huyu kwa kupanic huku na kujielezea bila doubt ni kweli.

Mwenendo wako unaonyesha wazi kwamba jamaa ni snitch.

Yeriko hamuungi mkono Tundulissu why ashindwe kuwa msaliti wake?

Yeriko anamtegemea Mbowe kama mume wake wa kiuchumi why ashindwe kumchukia Tundulissu baada ya mumewe kutolewa kwenye wadhifa ambao ulikuwa ukimpa maslahi hata yeye?

Yeriko kwasasa anaonekana kuhangaika kupata political mileage maana kule CHADEMA werevu walishamtambua na kumkataa.

Yeriko sio mjenga hoja ni mbabaifu tazama maneno ambayo amekuwa akitoa tokea Tundulissu kutangaza nia mzalendo huwa hawi kigeugeu na misimamo ya kinafiki namna hiyo
 
Huyo anachotaka ni maharage yake yamwagwe hadharani.
 
Mimi hua najiuliza sijui alipataje milage chadema??? Unazakuta chadema ndio waasisi wa uchawa kupitia Mbowe na hivi vimada vyake ccm wakaiga
 
Huu uzandiki unaofanywa na Chahali ni wa kupuuzwa. Shahidi wa siri kwenye kesi ya Lissu hajulikani kwahiyo kumtaja mtu ni kutaka kumharibia hadhi yake na hata kumhatarishia usalama wake. Ninampongeza Yericko Nyerere kwa kujitokeza hadharani na kupinga. Uongo sio wa kuuchekea.

View: https://www.instagram.com/p/DNVEzkkqAU-/?igsh=eTQ1djN6Y21qaGV4

Yaani tupuuze ukweli? Mnatuona sisi ni wapuuzi. Tena wengi wa hao mashahidi wa kupangwa ni team Mbowe waliohamia Chauma. Wanaogopa kufahamika maana wanajua ushahidi wao ni wa uongo.
 
Mimi hua najiuliza sijui alipataje milage chadema??? Unazakuta chadema ndio waasisi wa uchawa kupitia Mbowe na hivi vimada vyake ccm wakaiga
Huyo kilichompa jina kwanza ni kujibrand kwa kujiita Yeriko Nyerere,akijinasibu kuwa ni kijana na kijukuu cha Nyerere kisiasa na anakwenda kwa kanuni za baba wa taifa za uzalendo.

Alikuwa anafanya uchambuzi wa matukio ya kijasusi mtandaoni nadhani huko Facebook. Then baadae akajiingiza katika uandishi wa kitabu ambacho hadi leo anakiuza kwa Discount tokea akipublish huku akitishia kuwa nakala zimebakia chache.

Hana impact yoyote huku ground zaidi ya kubwabwaja na kunukuu maneno au mistari ys watu mashuhuri.
 
Huu uzandiki unaofanywa na Chahali ni wa kupuuzwa. Shahidi wa siri kwenye kesi ya Lissu hajulikani kwahiyo kumtaja mtu ni kutaka kumharibia hadhi yake na hata kumhatarishia usalama wake. Ninampongeza Yericko Nyerere kwa kujitokeza hadharani na kupinga. Uongo sio wa kuuchekea.

View: https://www.instagram.com/p/DNVEzkkqAU-/?igsh=eTQ1djN6Y21qaGV4

Kuna waliokuwa wanachama wa CDM wengine kadri kesi inavyoendelea watajikuta kujutia maisha yao kwa usaliti wa ubwabwa kukubali kwenda kumshuhudia ndugu yao uongo ili atiwe hatiani.

Tutarajie visasi vya kutisha pamoja na kwamba mashahidi walioandaliwa wanadaiwa ushahidi wao utatolewa kwa siri bila utambulisho wao. Hata hivyo mashahidi hao hao baadhi yao watasanua uovu huo na watajulikana ndipo kimbembe cha damu kumwagika mitaani kitakapo tamalaki.

Haiwezekani mtu mmoja akahamsisha Watanzania kupindua serikali zaidi ya ushawishi wa JPM aliokuwa nao. Lissu alitakiwa aachwe aseme kila kitu kilichomo moyoni mwake na Watanzania wengchuja; kama kweli alitamka maneno yenye dalili ya uasi kwanini kwa sasa kwa mateso anayopitia na wananchi kujawa na huruma kwanini hawamasiki kuasi?

Uasi dhidi ya serikali ni sharti pawepo ushirika wa wanajeshi lakini kwa sasa hakuna kwa hiyo Lissu ana mshirika wake yupi na mwenye nguvu za kijeshi kupindua utawala?

Srikali inashauriwa hili suala lilitakiwa kupelekwa kwa msajili au tume ya uchaguzi maana ndio mamlaka ya kisiasa.
 
Huyo kilichompa jina kwanza ni kujibrand kwa kujiita Yeriko Nyerere,akijinasibu kuwa ni kijana na kijukuu cha Nyerere kisiasa na anakwenda kwa kanuni za baba wa taifa za uzalendo.

Alikuwa anafanya uchambuzi wa matukio ya kijasusi mtandaoni nadhani huko Facebook. Then baadae akajiingiza katika uandishi wa kitabu ambacho hadi leo anakiuza kwa Discount tokea akipublish huku akitishia kuwa nakala zimebakia chache.

Hana impact yoyote huku ground zaidi ya kubwabwaja na kunukuu maneno au mistari ys watu mashuhuri.
Ninamfahamu na nshakaa nae ka miaka mwili ilipita tukiwa kama watu wanne alituambia siasa ni biashara za watu sikumuelewa mpaka siku godfather wake qlivyonyimwa uenyekiti.

PUMBAVU kabisa huyu
 
Kwani umri wa70 huwezi kutetea haki na kukataa dhuluma. Aliwahi kukanusha umri wake ? Mbona hajasema kilichomkimbiza nchini. Ushahidi zaidi ukitolewa kwamba alikuwa Shahidi wa siri atakanusha ?
Yericko alinukuliwa akisema siku Lisu akiondoka Chadema atarudi maana ndio tatizo

View: https://www.youtube.com/watch?v=L9JDawcFFAE

Kwa hiyo huyu kijana kimazingira ushahidi unamlenga kidole pasipo kupindisha ni moaja kati ya vijana walioaminiwa kumbe walikuwa chui ndani ya ngozi ya kondoo.

Asijitetee kwa vyovyote tayari amenasika kutokana na uropoji wake. Ukiwa shahidi unatakiwa usiwe mropokaji na mpayukaji ovyo kwa watu wakati ukimwekea kifaa cha 'LIe Detector' hapo alipo atanasika kirahisi sana.
 
Attachments

  • Uropokaji.mp4
    3.2 MB
Serikali kuna watu wema na Lissu kuna wanaompenda Serikalini wengi Sana
 
Kwani umri wa70 huwezi kutetea haki na kukataa dhuluma. Aliwahi kukanusha umri wake ? Mbona hajasema kilichomkimbiza nchini. Ushahidi zaidi ukitolewa kwamba alikuwa Shahidi wa siri atakanusha ?
Muongo mmoja kwenye jambo jepesi kama umri wa Chahali ni ishara ya ndani kwamba Yeriko Yohannesy Nyerere amepaniki sana!
 
Huu uzandiki unaofanywa na Chahali ni wa kupuuzwa. Shahidi wa siri kwenye kesi ya Lissu hajulikani kwahiyo kumtaja mtu ni kutaka kumharibia hadhi yake na hata kumhatarishia usalama wake. Ninampongeza Yericko Nyerere kwa kujitokeza hadharani na kupinga. Uongo sio wa kuuchekea.

View: https://www.instagram.com/p/DNVEzkkqAU-/?igsh=eTQ1djN6Y21qaGV4

Hakuna siri ya watu wawili. Huyo shahidi hatakutana na watu hata 1? Jee hao watu ataowapa huo ushahidi unawaamini vipi?
 
Mbona kama Yericko Nyerere amepaniki huyu jamaa nimeanza kumkataa tangu makengeze atolewe wenyekit amekuwa kigeu geu sana pia naona kigogo nae kamtaja kuwa shahid huende mzandiki Yericko Nyerere alikuwa anatutafuna ndan kwa ndan
 
Back
Top Bottom