Evarist Chahali apuuzwe kwa kumsingizia Yericko kuwa shahidi wa siri kwenye kesi ya Lissu

Evarist Chahali apuuzwe kwa kumsingizia Yericko kuwa shahidi wa siri kwenye kesi ya Lissu

Yericko awe sehemu ya wazi muda wote wa kesi wakati mashahidi wa siri wanatoa ushahidi
 
Huu uzandiki unaofanywa na Chahali ni wa kupuuzwa. Shahidi wa siri kwenye kesi ya Lissu hajulikani kwahiyo kumtaja mtu ni kutaka kumharibia hadhi yake na hata kumhatarishia usalama wake. Ninampongeza Yericko Nyerere kwa kujitokeza hadharani na kupinga. Uongo sio wa kuuchekea.


View: https://www.instagram.com/p/DNVEzkkqAU-/?igsh=eTQ1djN6Y21qaGV4


Kwa nini tumuakini Yeriko na siyo Chahali?

Yeriko siku zote amekuwa muongo muongo na anaishi kijanja janja. Ni very possible kabisa ni shahidi wa kificho. Sasa tayari kawa exposed kuwa ni mtu wa kitengo. Ni kati ya waliokuwa wanakivuta shati Chadema kwa nyuma.
 
Unaweza kuta mwamba nae ni shahidi
Kabisa, yaani mashahidi wamo chauma....na wametoa masharti kwa boss kwamba chonde chonde isipokuwa ushahidi kwa njia ya SIRI basi hawako tayari kutoa ushahidi...na kwakuwa tukio zima limepangwa likapangika hakimu/jaji LAZIMA akubali hoja hiyo ya siri!!.
 
Back
Top Bottom