Evarist Chahali: Good News, vita ya Samia na Dr. Nchimbi inaelekea kileleni

The Palm Beach

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Posts
4,249
Reaction score
11,592

View: https://youtu.be/endgC8fyOjA?si=IF8MCBwCTo2a76m-
• Huko ndani ya CCM na ndani ya serikali hakuko shwari....

• Si tu Dr Nchimbi na Boss wake, ni kila makubwa, hakuna kuaminiana na kila movement na communication za kila kiongozi ziko highly monitored...

• Kilichowashitua hawa monitors, ni kujua kuwa Dr Emmanuel Nchimbi ni subscriber wa mtandao wa App ya SIGNAL ambao unaaminika kuwa ndiyo mtandao salama ktk mawasiliano ya Siri...

• Signal ni tofauti na Telegram au WhatsApp ambapo mawasiliano yake hayana usiri kwa kuwa rahisi kuwa hacked au kuingiliwa...

• Hili limewashitua sana Team Abdul na Samia. Wako kwenye mtafaruku...

♦️♦️Msikilize vizuri Evarist Chahali katika audio video hiyo♦️♦️

Source: JasusiTV
 
watafunane wenyewe tumesha wachoka.
FB_IMG_1766820106035.jpg
 
Nonsense
 
Yaache yamalizane
 
Itakuwa ni jambo jema Kama watavurugana wao Kwa wao.Maana huyu kenge katuulia watanganyika wenzetu mamilioni na mamilioni siku ya 29)10/2025. Na akae akijua kuwa siku ya mapinduzi ya zanzibar tarehe 12/1/2026 watanganyika tutafanya maandamano nchi nzima kumfukuza huyu dikteta jike.
 
Jamaa niliacha kumfollow huko Instagram baada ya kujua ni kiazi,anasema alikua TISS, recruitment ya ovyo kabisa
Mawaziri tu wanajua kuwa wanasikilizwa mawasiliano yao, itakua makamu wa rais
Kwa Nini usikilize mawasiliano ya mtu?Uko wapi uhuru wa faragha?Tarehe 12 January ajiandae maandamano makali yenye moto wa nyika hadi atajuta kujipachika urais wakati watu hawamtaki.
 
Clinton alikua anambandua Lewinsky ofisi ya rais,video zake zipo japo hazikutolewa hadharani,anayeaminiwa sana ndiye anayefuatiliwa sana
Upewe dhimma ya nchi usifuatiliwe!?
 
Itakuwa ni jambo jema Kama watavurugana wao Kwa wao.Maana huyu kenge katuulia watanganyika wenzetu mamilioni na mamilioni siku ya 29)10/2025. Na akae akijua kuwa siku ya mapinduzi ya zanzibar tarehe 12/1/2026 watanganyika tutafanya maandamano nchi nzima kumfukuza huyu dikteta jike.
Wapumbavu wakubwa nyie. Hamna akili au mnajizima data?

Swala la maandamano ya wazi limeshashindikana, ingieni chimbo pangeni mikakati mingine. Ikiwa ya underground itakuwa njema sana.

Polisi waliowaua si wanaishi mitaani, mbona mnashindwa hata kuwasua kwa mawe kwa kuwavizia??

Polisi waliowaua si wana watoto?
Polisi walio waua si wana wazazi??

Mnashindwa hata kuwawinda hao ili muwape maumivu ya kuuawa??

Washenzi mmekomaa na maanndamano tu pumguani nyie
 
View: https://youtu.be/endgC8fyOjA?si=IF8MCBwCTo2a76m-
• Huko ndani ya CCM na ndani ya serikali hakuko shwari....

• Si tu Dr Nchimbi na Boss wake, ni kila makubwa, hakuna kuaminiana na kila movement na communication za kila kiongozi ziko highly monitored...

• Kilichowashitua hawa monitors, ni kujua kuwa Dr Emmanuel Nchimbi ni subscriber wa mtandao wa App ya SIGNAL ambao unaaminika kuwa ndiyo mtandao salama ktk mawasiliano ya Siri...

• Signal ni tofauti na Telegram au WhatsApp ambapo mawasiliano yake hayana usiri kwa kuwa rahisi kuwa hacked au kuingiliwa...

• Hili limewashitua sana Team Abdul na Samia. Wako kwenye mtafaruku...

♦️♦️Msikilize vizuri Evarist Chahali katika audio video hiyo♦️♦️

Source: JasusiTV

Hizo ni propaganda zenu za miaka yote
Viongozi wetu pigeni kazi tunawaamini sana ndo maana tuliwapigia kura
 
Back
Top Bottom