Khanji kapoor
JF-Expert Member
- Oct 19, 2024
- 3,861
- 9,909
Ni propaganda tuSasa kwanini hawaelewani
wahuni wanatengeneza habari za uongo ili tule upumbavu wao
wasielewane kwa lipi hao mafisadi?
Ni propaganda tuSasa kwanini hawaelewani
Na wewe uliona urefu wa dola siyo!? Kwa hiyo kila mtu alimsoma mwenzake. Waandamanaji waliiona nguvu ya dola na pia polisi walionja the real kazi ya AskariYa mo29 ulibeza nini kilitokea?
Basi kama huyu wa hovyo, kaa ukijua sampoli hii wapo wengi huko kitengoni, ndio wanamlisha matango pori bosi wako kasuku.Jamaa niliacha kumfollow huko Instagram baada ya kujua ni kiazi,anasema alikua TISS, recruitment ya ovyo kabisa
Mawaziri tu wanajua kuwa wanasikilizwa mawasiliano yao, itakua makamu wa rais
Mimi aliposema hivyo na kudai Abdul kaingiza silaha ndiyo zikitumika,nikaacha kumfollow,nikajiuliza anafanya kusudi akitaraji kuingiza kingi wajinga au kweli anaamini hivyoPale anaposema TISS inachukuwa maelekezo kutoka kwa Abdul ndipo huwa natilia shaka vyanzo vyake.
Hakuna sextape yoyote ya Clinton na Monica.Clinton alikua anambandua Lewinsky ofisi ya rais,video zake zipo japo hazikutolewa hadharani,anayeaminiwa sana ndiye anayefuatiliwa sana
Upewe dhimma ya nchi usifuatiliwe!?
Video zipo ila hazikutolewa mahakamani kijanaHakuna sextape yoyote ya Clinton na Monica.
Kuna ushahidi wa gauni tu lililodondokea manii ya huyo mzee.
Monica alitunza gauni liwe souvenir.
Samahani mkuu, ina maana tumeshindwa kutambua na kukubali kuwa sikukuu za kitaifa ni ngumu kufanya maandamano kwa sababu pamoja na mengine yote usafiri wa umma unakuwa ni kama umesitishwa?! Kwa nini maandamano yasifanyike siku yoyote ya kazi?Kwa Nini usikilize mawasiliano ya mtu?Uko wapi uhuru wa faragha?Tarehe 12 January ajiandae maandamano makali yenye moto wa nyika hadi atajuta kujipachika urais wakati watu hawamtaki.
Dah!Maandamano ya humu Jamii forum, huko nje ukitoa pua yako utasababisha jamaa zako wakodi turubai walitundike hapo nyumbani.
Wewe uliziona?Video zipo ila hazikutolewa mahakamani kijana
LA HASHA! SI UUNGWANA, UKAUE MTOTO WA POLISI KISA POLISI KAUA NDUGU ZENU KWA NINI MSIWAWINDE WAO, HAO WATOTO HAWANA HATIA MKUUWapumbavu wakubwa nyie. Hamna akili au mnajizima data?
Swala la maandamano ya wazi limeshashindikana, ingieni chimbo pangeni mikakati mingine. Ikiwa ya underground itakuwa njema sana.
Polisi waliowaua si wanaishi mitaani, mbona mnashindwa hata kuwasua kwa mawe kwa kuwavizia??
Polisi waliowaua si wana watoto?
Polisi walio waua si wana wazazi??
Mnashindwa hata kuwawinda hao ili muwape maumivu ya kuuawa??
Washenzi mmekomaa na maanndamano tu pumguani nyie
Wataacha vipi kuelewana wakati wote wapo madarakani bila ridhaa ya wananchi?Sasa kwanini hawaelewani
Napenda sana kukubaliana na maandishi yako hapa kuhusu hawa 'TISS'; ila inapofika kwenye swala la wao kuwa mali ya Samia Suluhu Hassan, sifa zote hizo ulizowamwagia zinakuwa hazina maana yoyote.Akili hana anajifanya kapita TISS anasahau kuwa Tiss pia moja ya oparation zao ni kuwa feed wanaharakati taarifa za uongo kulingana na wanachotaka ku achieve hata mange wamekuwa wakim feed habari za kuposha ndio zimefanya sasa hata baadhi ya wafuasi hawamuamini
Kwenye intelligence kuna vitu vifuatavyo
Psychological Operations (PSYOP / PSYOPS)
Counterintelligence deception / controlled disinformation leak.
Sasa TISS gani mjinga huyo hajui analishwa matango
Fungua Code mzeeBig mmoja ametemeshwa mbugi...
Kumechemka kwelikweli...
Utawala uliofitinika, kamwe hauwezi kusimama..!!!!
Kazi kweli kweliwatafunane wenyewe tumesha wachoka.View attachment 3521363