Evarist Chahali - Jasusi: Ugaidi is a very stupid and poor CCM's political strategy kukabaliana na CHADEMA. Hii ni dalili kuu ya kushindwa kwao!

Evarist Chahali - Jasusi: Ugaidi is a very stupid and poor CCM's political strategy kukabaliana na CHADEMA. Hii ni dalili kuu ya kushindwa kwao!

The Palm Beach

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Posts
4,249
Reaction score
11,592
Screenshot_20260728-161338.png
 
Chahali amemaliza kilakitu kwenye hiyo article...huu ni ukweli wa asilimia 100
 
Lucas Mwashambwa
Atawabishia police kuwa Tanzania hakua ugaidi wakati. Msemaji wa Police alitangazia dunia nzima kuwa Tanzania kuna magaidi
 
yaani mtu ni muoga yupo mafichoni kajificha,
halafua anawapotosha na kuwashauri watu waliopoteza uelekeo kisiasa na hawajui hata wanadai au kupigani nini. Hivi hii porojo inaweza kumake sense kweli kwa wanaojielewa?

I think this is a very stupid and ignorant distortion. :1Head:
Utatumia nini ili uelewe alichoandika?
 
yaani mtu ni muoga yupo mafichoni kajificha,
halafua anawapotosha na kuwashauri watu waliopoteza uelekeo kisiasa na hawajui hata wanadai au kupigani nini. Hivi hii porojo inaweza kumake sense kweli kwa wanaojielewa?

I think this is a very stupid and ignorant distortion. :1Head:
Tanzania kuna ugaidi au haupo!!??
Tanzania kuna magaidi au hawapo!!??
Watalii wanaweza kwenda kwenye nnchi ambayo kuna ugaidi na magaidi zaidi ya 50 wamekamatwa!!!??

Tafadhali,jibu kama binadamu na si kama "bolt"
 
Mambo ni matatu.
1: Wizara ya mambo ya ndani imeamua kuua uchumi wa nchi kwa makusudi kabisa yaani hakuna mtalii wala mwekezaji atakuja nchini.
2: Wizara ya mambo ya ndani imeamua kwa makusudi kabisa kufuta legacy ya Samia na ccm nchini kwa kuutangazia ulimwengu uwepo wa wahaini nchini.
3: Polisi wameamua kumwangusha kwa lazima Samia mbele ya dunia na ni kama wapo kwenye mission ya kusaidiana na wapinzani kumvuruga ili ashindwe kuongoza nchi.
Ushauri: Alivunje jeshi la polisi na kuliunda upya baada ya kuwafukuza kina wambura na wale wote walioua wananchi oct 29 na kumfuta kazi waziri ambaye ni pandikizi la chadema ndani ya serikali.
 
Ugaidi upo Tz na tunaiomba chadema na wanaharakati waziandikie FIFA na CAF kutoruhusu Afcon kufanyika Tz maana sio salama tena!!.
 
Back
Top Bottom