Kumekua na sintofahamu kuhusu sheria mpya ya mifuko ya hifadhi ya jamii hasa baada ya SSRA kuja na kanuni zenye kikokotoo cha 25%, ukipita kote kwenye mitandao ya kijamii kumekua na kulaumiana kati ya Wabunge kama wawakilishi wa wananchi na wafanyakazi, kila kundi likilaumu jingine. Wabunge wa...